Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game ya jana naona imetumika ku pad statististics za forwards. Utasikia mchezaji flani ana goal contributions 20+, ataitwa "world class" na kuongezewa hype kumbe alikuwa anacheza na Sparta Prague. Mashabiki wapenda numbers utawaona wakimsifia sana mchezaji wa hivi na kujisemea kwamba wamelamba dume kwa mchezaji huyo.

Faida ya hii ni mchezaji akienda vizuri na vibe, anapata confidence ambayo anaipeleka kwenye Premier league na kujikuta ameongeza magoli na assists zaidi ya matarajio. Mambo yakienda vizuri zaidi mnajikuta mmeshinda kombe.
Naona wivu wa kike umefika

Stats are stats
 
Naona wivu wa kike umefika

Stats are statst
Hicho ndicho ulichopokea/kujifunza kwenye hilo bandiko?

Nimeongea kuhusu mbinu ya kumuongezea mchezaji confidence ili kumsaidia kujiboresha uwanjani na hatimae kuongeza mchango wake kwa timu. Ni kitu cha kawaida kwenye mpira na maisha. Hata sisi kuna penalty (dhidi ya Brentford kama sijakosea) tulimpa Kai Havertz apige ili aanze kupata magoli.
 
Hicho ndicho ulichopokea/kujifunza kwenye hilo bandiko?

Nimeongea kuhusu mbinu ya kumuongezea mchezaji confidence ili kumsaidia kujiboresha uwanjani na hatimae kuongeza mchango wake kwa timu. Ni kitu cha kawaida kwenye mpira na maisha. Hata sisi kuna penalty (dhidi ya Brentford kama sijakosea) tulimpa Kai Havertz apige ili aanze kupata magoli.
Unaleta siasa kwenye soka
 
Unaleta siasa kwenye soka
Siyo siasa mkuu. Ni mbinu tu za kuhakikisha unatumia wachezaji wako kwa full potential yao. Si ulimsoma Marvelous juzi juzi hapa anasema mna mwanasaikolojia wa timu kabisa? Unafikiri kwa nini? Wachezaji wanahitaji confidence boost mara kwa mara na njia moja ni kuwapanga wacheze hata na vitimu vilaza kama mlivyofanya nyie kwa Sparta Prague.
 
Umeahakuwa obsessed na urefu wa huyu dogo tena ? Captain Marvelous umeona hii kauli ya Miss wetu ? Matip (dumped), TAA (Sijui itakuwaje) Mahaba ni Quansah Sasa 😂😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 Huyu Miss Liverpool has a thing na men wenye shingo fulani fulani na wasiwe na tattoo 🤔🤣.. Hapo humtoi anaanza kuomba connection kwa MosDef ya chap chap.

YNWA
 
Kinacho wa cost Sparta ni kucheza open game building from the back. Hawawezi ku resist press yetu na ndio maana magoli mengi tumewafunga kutokana na errors zao.

Kama second half wakiendelea hivi tunaweza kupata goal nyingine mbili unless Klopp aamue kupumzisha key players aingize makidi.
Nilivyoona zile goli 3 chap chap nikaona ni ujumbe tosha kwenda pale Trafford...

Vijana wanasema FA, EPL, Europa zitue Anfied.

YNWA
 
Klopp on Salah:

"He is an exceptional guy and a world-class player. The way we dealt without him is unbelievable. But it’s much better to have him around
Klopp on Salah:

"He is an exceptional guy and a world-class player. The way we dealt without him is unbelievable. But it’s much better to have him around."
."
 
Back
Top Bottom