Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna kila dalili hiki kiatu Haaland asikipate.
Screenshot_20240403_083921_Sofascore.jpg
 
Relax mkuu. Mko 2 points mbele. Au umesahau kuwa 2 points ni muhimu kuliko GD? Mnataka mmpige Sheffield wa watu nyingi wakati tayari maisha yake magumu kinoma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua kwa nini anapooza koo?
..
View attachment 2950994
Wababe wa ligi tukitoa Ramsdale tunaweka Raya. Waswahili wanasema 'toa chuma, weka chuma'. Na bado next season tutaongeza vyuma vingine sekta mbali mbali. Watu wataelewa kwa nini mkorea anasemaga 'watu wataita maji mma' na 'timu hazitaingia uwanjani'
Yule mwamba Jurrien Timber namkubali sana mlipata chuma aisee
 
Vipi. Bado tuko pamoja kumkimbiza Kipara au leo mtapigwa na Sheffield na kutuachia sisi hii kazi tuifanye wenyewe?
 
Back
Top Bottom