Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hizi mechi zilizobakia Haaland atakuwa anakutana na Gabriel na Saliba? 😂Kuna kila dalili hiki kiatu Haaland asikipate.
View attachment 2952479
Huu ni mpangilio mzuri wa viboksi vya pinki. Uwanjani mambo yatakuwa tofautiNa iwe hivi 😊
View attachment 2952114
Salah asingeenda afcon angekua anaongozaKwamba hizi mechi zilizobakia Haaland atakuwa anakutana na Gabriel na Saliba? [emoji23]
Dah nilitamani Jota ahusike kwenye mchezo wa MUFCJurgen Klopp:
“Curtis Jones is in full training and is in contention. Diogo Jota and Trent Alexander-Arnold hopefully from next week in parts of team training.”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Relax mkuu. Mko 2 points mbele. Au umesahau kuwa 2 points ni muhimu kuliko GD? Mnataka mmpige Sheffield wa watu nyingi wakati tayari maisha yake magumu kinoma?
Yule mwamba Jurrien Timber namkubali sana mlipata chuma aiseeUnajua kwa nini anapooza koo?
..
View attachment 2950994
Wababe wa ligi tukitoa Ramsdale tunaweka Raya. Waswahili wanasema 'toa chuma, weka chuma'. Na bado next season tutaongeza vyuma vingine sekta mbali mbali. Watu wataelewa kwa nini mkorea anasemaga 'watu wataita maji mma' na 'timu hazitaingia uwanjani'
Dah natamani Jota angekuwepoJuma pili vs Nyumbu , Klopp Aingie na GEGENPRESSING pure nyumbu afe kipindi cha kwanza.