Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤸♀️🤸♀️🤸♀️Wameyakanyaga pale juu ndio hatutoki tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤸♀️🤸♀️🤸♀️Wameyakanyaga pale juu ndio hatutoki tena.
Edward akinitolea hiyo takataka nitafanya sherehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila shaka hili nili Diaz
Umeona ile comeback? Livanyeto bila kupewa penat ya mchongo ilikua tayari mmeumiaLeo mtupe point zetu 3,mkaendelee kupambania nafasi ya 5 huko
USELESS wa kiwango cha juuSalah so useless now
Yaah hata mimi nilikuwa najaribu kuchallenge utabiri wako mkuu.Kaka post inasema PREDICTION nadhani unajuwa maana ya hilo neno
Mmeangalia mpira kweli?[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila shaka hili nili Diaz
Klopp bora alivotangaza kuondoka, huwa inajulikana tuu mechi za hivi hawezagi kushinda kamwe, Pep hanaga ujinga wa hivoSijaona sababu ya Watu kupanic na kuanza kutukana kocha na Wachezaji.
Tatizo la sasa Madogo wanaingia uwanjani na matokeo mfukoni hata tunapowaelekeza sura ya mchezo ilivyo huwa hataki kukubali hatimae mambo yakiwa sivyo walivyotarajia wanaanza kupanic na kurusha matusi.
Ngwaba, Kila mtu anayo haki ya kuwa na Personal Judgement kwa mchezaji.Sijaona sababu ya Watu kupanic na kuanza kutukana kocha na Wachezaji.
Tatizo la sasa Madogo wanaingia uwanjani na matokeo mfukoni hata tunapowaelekeza sura ya mchezo ilivyo huwa hataki kukubali hatimae mambo yakiwa sivyo walivyotarajia wanaanza kupanic na kurusha matusi.
Dah so Diaz ni kiazi?! Mnaangaliaga mpira au mnasikiliza redioni. Mtu anafanya movement relentlessly 90' every match (kakosa utulivu kidogo tu) toa Diaz unaweka nani kule pembeni atakaeclick vizur?!hii timu tumejaza takataka!
angekuwepo jota tungekua tumeshinda hii game, diaz ni kiazi sana!
only one Match?....Ana mchango Gani wa kutupia nyavuni mpk sasa?![emoji848][emoji848]Salah so useless now
Mkuu Ulitaka Football player 30+years graph ipande kwenda juu na sio level?Tukubari tukatae Salah kiwango kimeshuka
Nimekaa palee[emoji117]Hawatukamati yani mpk nasikia raha kuvaa jezi yangu kitaani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndo alipobugiKonate mzima unaanzisha mbwa wako
[emoji16]Ndo utaratibu kijana sio mpira wa Cha ndimu ule.Kwan hamna mpiga penalt mwingine mpaka Salah?