Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho mtatombwaFriends of Man City tunacheka tuu 😂
Friends of Man City tunacheka tuu 😂
Kama nyie mlivofanywa leo na Everton 😂 tena bao mbili jamaa ht hajachomoa ameunganisha humo humo 😂Mwisho mtatombwa
Everton wanavyoshangilia utadhani wamebeba kombe kumbe hawaendi kokote...kwli mchawi wako hatoki mbali aisee🤣🤣Mwendo mmeumaliza imani Mmeilinda😂
Mm n Man City kitambo, Chelsea nilikosea njia tuu mzee wangu 😂Hangaika na timu yako ilokula kono la nyani jana🤠🤠...wacha kudandia timu za watu shehe
Kwan nyie mnaoongoza ligi mnakwenda wap.?Everton wanavyoshangilia utadhani wamebeba kombe kumbe hawaendi kokote...kwli mchawi wako hatoki mbali aisee🤣🤣
Hili kombe tunabeba...jana tulikuwa tunafanya mazoezi...weekend hii ndo tunacheza mechi sasa🤠ðŸ¤Kwan nyie mnaoongoza ligi mnakwenda wap.?
Sura halisi ya Pep ndipo inapokuja kuonekana wakati kama huu.Hili kombe tunabeba...jana tulikuwa tunafanya mazoezi...weekend hii ndo tunacheza mechi sasa🤠ðŸ¤
Mtoe Arsenal hapo, unachafua comment yako mkuuView attachment 2973204
mbio za Ubingwa ni arsenal na man city.
Wanatafta angalau europa au conference?Man u leo wametembeza kipigo kinaitwa DOGO USINIZOEE.
Leo kama Shefield wangeshinda timu nzima ingeparanganyika.
Everton ni mbaya sana game za mwisho, kumbuka hata msimu uliopita alifufukia kwetu arsenal.Katika derbies nikizokuwa nadharau, hii ya Merseyside inaongoza. Kwa ubovu wa Everton na uteja wao kwa Liverpool miaka hii ya katibuni, nilijua Livakuku atajipigia tu. Kumbe sivyo.
Sasa nimuweke nani?Mtoe Arsenal hapo, unachafua comment yako mkuu