Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IamMrLiverpool....tunakuhitaji hmu ndani...kutwa kuja kuwanga kule kwny jukwaa letu wakati hali yenu ni tete🤠🤠🤠....bdo mna jambo na Aston Villa...sisi tulineng'eneka tukala 2...sasa nyny na hiki kigenge chenu sijui itakuwaje
 
Wakicheza mchezo wao wa 34 uwanjani goodison park, (merseyside derby)wekundu hao wamekubali kichapo cha mbili mtungi mbele ya wapinzani wao wa jiji la liverpool everton.

Tuonane msimu ujao tena, msimu huu nyie na manu hamna tofauti

1713994447624.png
 
Katika derbies nikizokuwa nadharau, hii ya Merseyside inaongoza. Kwa ubovu wa Everton na uteja wao kwa Liverpool miaka hii ya karibuni, nilijua Livakuku atajipigia tu. Kumbe sivyo.
 
Hili kombe tunabeba...jana tulikuwa tunafanya mazoezi...weekend hii ndo tunacheza mechi sasa🤠🤠
Sura halisi ya Pep ndipo inapokuja kuonekana wakati kama huu.

unakumbuka games za mwisho alikuwa anacheza na Aston Villa dkk ya 70 amepigwa mbili lkn mpaka dkk ya 85 anaongoza 3 😂 sasa yule ndie Pep.
 
Katika derbies nikizokuwa nadharau, hii ya Merseyside inaongoza. Kwa ubovu wa Everton na uteja wao kwa Liverpool miaka hii ya katibuni, nilijua Livakuku atajipigia tu. Kumbe sivyo.
Everton ni mbaya sana game za mwisho, kumbuka hata msimu uliopita alifufukia kwetu arsenal.
 
Back
Top Bottom