Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mimi nawashangaaga kwanini wanatuweka ndege Kila siku wakati nepbo yetu ni Kali sanaWangeweka hivyo ingekuwa unyama zaidi, ile nembo inapendeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nawashangaaga kwanini wanatuweka ndege Kila siku wakati nepbo yetu ni Kali sanaWangeweka hivyo ingekuwa unyama zaidi, ile nembo inapendeza sana
MosDef yupo anfieldMimi nawashangaaga kwanini wanatuweka ndege Kila siku wakati nepbo yetu ni Kali sana
lWelcome back Mosdef you were missed alot, especially after Jurgen Departure announcement.
But guess what.!!! Jinsi msimu umemalizika majority tumemuelewa Klopp aliposema ameishiwa nguvu.
Imekituliza kidonda cha january, its ok let him go and rest, may be Bayern or German NT will be his next stop. Ilifaa wakati huu ufikie ila sio kama hivi” I personally respect his decision and i’m healed already regardless of coming seasons results.
What i know i trust Edward inanipa confidence sana. Salah over Julian Brant Maner over Gotze, good thing Edward alitaka kumchukua Rodrygo at £3m ila akachagua kubaki kwao kabla Madrid hawajamuona na kumchukua.
I trust Edward alot as i used to Klopp. I have huge hope we are still safe with what Klopp left for us.
YNWA
Hahah mkuu umenishika pabaya sana.
Nilitarajia tuchallange top four sikuamini saaaaaana kama tungeweza kuwa kwenye tittle race tena mpaka April hivi. It was a bit surprise even to Klopp himself.
YNWA.
MosDef yupo anfield
Tumpe haya maoni ayapeleke
Summerville is more realistic.Liverpool have contacted Real Sociedad over a move for Kubo.
[@SamC_reports]
Does Fabio Carvalho have a future at Liverpool under Arne Slot next season?
Has has 9 goals and 2 assists for Hull City since signing on loan in January.
Liverpool wanazinguaga tu mbona miaka ya nyuma ilikua inawekwa full nembo inamaana umuhimu wameuona miaka hii wawe wabunifu bhana jezi nzuri ila Kila mwaka nembo la liver bird peke yake ndio inaaribu jezi miaka yote Liverpool ndio wanatoa jezi nyekundu Kali pale uingereza ila tangia waweke nembo ya Liver bird peke yake zinakua za kawaida sana Mimi ni mbunifu wa mavazi najua siku Liverpool wakiweka full nembo kama zamani nakuambia hamna jezi ya kuikamata kidogo mwaka huu mwamemuweka liver bird Kwa rangi ya njano inapendeza sababu sisi tunatengeneza jezi ya damu ya mzee wenzetu arsenal na man u wanatengeneza nyekundu kabisaNi Liver Bird.
History yake ni ndefu.
But, kifupi, ni utambulisho/ alama ya Jiji la Liverpool, ni kama Twiga anavyotumika kama alama ya Nchi ya Tanzania.
Everton or even Tranmere Rovers wanaweza kutumia hiyo symbol kwenye their jerseys pia, ni urithi na utambulisho/alama ya Jiji, na ina historia ndefu, si chini ya miaka 900.
Liverpool wanazinguaga tu mbona miaka ya nyuma ilikua inawekwa full nembo inamaana umuhimu wameuona miaka hii wawe wabunifu bhana jezi nzuri ila Kila mwaka nembo la liver bird peke yake ndio inaaribu jezi miaka yote Liverpool ndio wanatoa jezi nyekundu Kali pale uingereza ila tangia waweke nembo ya Liver bird peke yake zinakua za kawaida sana Mimi ni mbunifu wa mavazi najua siku Liverpool wakiweka full nembo kama zamani nakuambia hamna jezi ya kuikamata sababu sisi tubatengeneza jezi ya damu ya mzee wenzetu arsenal na man u wanatengeneza nyekundu kabisa
Ooh okay nimeona sehemu addidas tutakua nao 2025/26 wanaweza kuweka full nemboIts been 13+ years tangu tuache kutumia crest ndogo kwenye kits, na hii ni baada ya mkataba wetu na Adidas kuisha.
Warrior Sports, chini ya parent company, New Balance, ndiyo wali-reintroduce tena, nembo ya Liver Bird kwenye our kits, ilikuwa ni kuanzia 2012 nadhani, na hii ilikuwa ni baada ya miaka si chini ya 30, tangu tuache kuitumia.
And, New Balance, waliendelea kuitumia, hata baada ya kampuni yao ndogo (Warrior sports) kupewa kitengo kingine, na New Balance ku-take over kwenye football.
Then, mpaka sasa, Nike pia wameendelea kuitumia.
Kivipi Mkuu huyu Graven atanufainika na ujio wa SLOT?Yeah, he has a future, kama akiamua ku-embrace competition.
But, i think, kati ya players wote kwenye our MF, ni Gravenberch ndiyo atanufaika zaidi na ujio wa Slot.
Welcome Next Takumi Minamino [emoji23]Liverpool have contacted Real Sociedad over a move for Kubo.
[@SamC_reports]
Graeme Souness is concerned that Virgil van Dijk is unconvinced by Arne Slot and will seek a move away from Liverpool this summer.
Souness pointed to comments the club captain made about his future back in January in which he hinted that his next steps might lie away from Anfield
Van Dijk has already spoken about countryman Slot’s impending arrival, describing him as 'one of the best Dutch coaches' around currently
The 32-year-old has just 12 months remaining on his contract and faces a crossroads this summer
Souness fears that the Netherlands international is leaning towards an exit, mooting that he is “obviously unhappy” at Liverpool and could look for one last big career move
Souness
“The fact that Virgil van Dijk’s contract end is coming up worries me, he’s 33 in July, and if his agent were to call up the sporting director at Real Madrid, they’d take him.
“I just look at him now and the noise he’s been making, which he hasn’t done throughout his career, and I think he’s obviously unhappy.”
Souness added:
“He’ll [Van Dijk] have asked questions about the new manager already and will be the one that Arne Slot has to win over.
“Slot must get Van Dijk onside – he’s the captain – but Van Dijk might not fancy him.
“He might’ve heard something on the grapevine and may think that this guy won’t take the team where they want to be, the clock is ticking on his career, maybe he needs to go someplace else to win more silverware.
“He has won two of the big ones with Liverpool, but he’s not a serial winner