Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

lWelcome back Mosdef you were missed alot, especially after Jurgen Departure announcement.
But guess what.!!! Jinsi msimu umemalizika majority tumemuelewa Klopp aliposema ameishiwa nguvu.

Imekituliza kidonda cha january, its ok let him go and rest, may be Bayern or German NT will be his next stop. Ilifaa wakati huu ufikie ila sio kama hivi” I personally respect his decision and i’m healed already regardless of coming seasons results.

What i know i trust Edward inanipa confidence sana. Salah over Julian Brant Maner over Gotze, good thing Edward alitaka kumchukua Rodrygo at £3m ila akachagua kubaki kwao kabla Madrid hawajamuona na kumchukua.

I trust Edward alot as i used to Klopp. I have huge hope we are still safe with what Klopp left for us.

YNWA

Thanks Brother.


Man, ukisema unamuamini Edwards, unakosea sana, maybe tunawaza tofauti sana, but mtu wa kumuamini na kuweka matumaini yetu kwake ni Arne Slot, maana yeye ndiyo atakuwa na mikoba ya kuhakikisha uelekeo wetu kwenye new era/his era unakuwa imara zaidi.

History, inasema kuwa no matter what ambacho Club itafanya nje ya uwanja (adminstrative procedures), uimara na uelekeo wa club huwa unakuwa defined NDANI YA UWANJA, hence kuna Coaches/managers walipewa WC players na wakashindwa ku-deliver, na mzizi wa kujenga Club imara (financially & Culiturally), unaanzia NDANI YA UWANJA. so Arne Slot ndiyo the most important piece kwenye hii new era.


Man, see.. Mane was a Klopp signing, he wanted him at Dortmund, kabla Mane hajaenda Southampton, Klopp HAD a chat with Mane kabla hajaenda Southampton, its true kuwa Klopp first choice was Gotze, but, haikuwa tabu kupata option nyingine kabisa, because it was either Gotze or Mane.

Kwa Salah, personally nimekuwa nikisema kuwa, Dave Fallows & Barry Hunter, deserves a lot of praises, kwa kuwa-convince Klopp & Edwards about Salah, Klopp & Eswards were working on Draxler deal kabla haija-collapse, utakuwa unakumbuka we even made a bid kwa Wolfsburg, wao walikubali but Draxler rejected us kwa kuchagua kwenda PSG, then we tried kwa Brandt and failed (he rejected our approaches), then Dave Fallows & Hunter came in with Salah data, presented if to Edwards, kabla ya kumhusisha Klopp, naweza kusema kuwa they discovered Salah, because we nearly signed him under Brendan Rogders kabla hajaenda Chelsea kutokea FC Basel, na kipindi hiki tulikuwa tuna-operate under our TC, ambayo ilikuwa inaongozwa na Dave Fallows, so walichofanya ni ku-revisit file la Salah, na kuli-update zaidi.


Edwards gained a huge reputation kwa kufanya kazi na Klopp, same thing iliyotokea kwa Zorc at Dortmund, you see, kazi yako as DOF huwa inakuwa rahisi kama ukiwa unafanya kazi na Manager mwenye uwezo mkubwa sana wa ku-develop talents.

Edwards alikuwa ni one of the top figures kwenye Transfer Committeee iliyoidhinisha signings za kina Markovic, Aspas, Lovren, Lallana, Borini, Lambert, Balotelli etc there were a lot of misses than hits.

Sasa, kwanini inabidi tu-place our trust & hopes kwa Slot, because kwenye other Universe, players kama Markovic, Aspas, Borini, Luis Alberto, Moreno etc, wouldve turned out to be TOP SIGNINGS kama Brendan Rogders angekuwa na uwezo mkubwa wa ku-develop TALENTS, na PIA, kwenye other UNIVERSE, players kama Mane, Salah, Firmino, Matip, Gini, Fabinho, Robertson etc wouldve turned out to be BIG FLOPS kama Klopp angekuwa na uwezo mdogo sana wa ku-develop TALENTS.

Mfano mdogo tunao at UTD, Jadon Sancho flopped there, kosa ni la nani? Manager or Uongozi? can you fault uongozi hapa? uongozi umekuletea one of the biggest talents in Europe, tena siyo kwa pesa ndogo, (Yeah, utalaumu uongozi kwa kuwa reckless kwenye ku-spend), but talent kama Sancho ina-flop vipi? Poch is struggling with TALENTS like Caicedo & Enzo kwenye his MF, ana Gallagher pia on top of that (ushawahi kufikiria presence ya Gallagher under Klopp?) Ten Hag & Poch wanaweza kuwa na valid reasons why wana-struggle ku-implement their styles/mifumo kwa hawa youngster (Suala la Profiling) but huwezi kuona excuses zozote kwa kina Pep, Klopp, Carlo etc, hatusemi kuwa hawajawahi kuwa na flops kwenye their teams, but huwa wana-take responsibilty, because ni DUTY yao ku-make sure players walionao wanafanikiwa ku-deliver under their watch.

So, ninachowaza hapa kila siku ni kuwa, how will ARNE do with Trent?, Alexis?, Szobo?, Gravenberch?, Eliott?, Jones?, Nunez?, Gakpo? Salah?, Diaz? Bradley?, Konate?, VVD?, Bajcetic?, etc? kipindi ataongeza, kipi atupunguza? atakuwa able ku-motivate hawa players? style yake of play ni relatable na Premier League demands? what are our chances kwenye league kwa kuzingatia his profile? kama aki-fail, kipi kitafuata? hence naona ni muhimu sana kumuamini yeye, maana ndiyo kabeba MOYO wa club wa kwasasa, LFC ikipoteana uwanjani, hakuna kitu kitakachobaki salama, na whether kama kuna fan hajapenda Klopp kuondoka AU hajapenda appointment ya new coach, hatakuwa na budi zaidi ya KUMUAMINI Slot, kwasababu ndiye atakaye-define our new chapter, ikiwa na maana Club kuendelea na kupaa zaidi ya hapa ilipo sasa au kurudi katika zama za siku za giza.
 
Hahah mkuu umenishika pabaya sana.

Nilitarajia tuchallange top four sikuamini saaaaaana kama tungeweza kuwa kwenye tittle race tena mpaka April hivi. It was a bit surprise even to Klopp himself.

YNWA.


You see..

Expectations, expectations.

Baada ya ule msimu wa 22/23, (last season), shabiki gani aliamini kuwa we wouldve challenged this season?

Au, tunataka tuanze kudanganyana? nani aliyekuwa ana expect kuwa tungeweza kwenda toe to toe na Man City/Arsenal mpaka April? kwa kipi tulichokuwa nacho? new faces kwenye MF? au big injuries kwa team?

This was supposed to be our transitional season, we needed a rebuild, kuondoa old faces/legs na kuleta watu wapya.

Fabinho left, Hendo left, Milner left, Ox left, Keita left, Firmino left, kwa haraka, ukiondoa Ox & Keita, ndani ya dirisha la usajili moja tuliondokewa na FOUR firsr teamers, was it necessary? Yes tena big yes, we needed a change, so we went on to buy FOUR new MFs (ALEXIS, SZOBO, ENDO, RYAN), we wanted to bring in a CB but funds hazikutosha, so tukaona tuanze kwanza na upande wa MF, maana ndiyo engine ya team (wewe ni mtu wa mpira, unajua effect za kuondoa first teamers ndani ya 1 TW)

So, tukaanza new season na new MF kabisa, tukitegemea kuwa Curtis, Harvey & Thiago watasaidia kidogo katika kuwa-ease in hawa wapya, at the same time, hatukugusa upande wa Backline bacause hatukuwa na funds, so we had to approach new season with VVD, 2 injury prone CBs (Konate & Matip), pamoja na a youngster, Quansah.

Meanwhile, City lost Gundogan and signed Kovacic & Nunes, hawakuwa na gaps kubwa kwenye their backline but they managed to sign Josko, sisi ambao tulikuwa na gaps kubwa kwenye our backline, tulishindwa kufanya hivyo kwasababu ya limited funds.

Arsenal paid maxmum fee for a World Class MF.

We missed out on Caicedo & Lavia, and had to settle for Wataru Endo, (a very good squad player), but History imetufundisha nini LFC fans? kuwa hata Klopp mwenyewe alianza ku-challenge ipasavyo kwenye league baada ya kupata signature ya Fabio Henrique Tavarez (Fabinho), sasa mpaka kufikia April, we were going toe to toe na Clubs zenye Rodri & Rice kama anchors kwenye MFs zao, sisi tukiwa na Endo au sometimes Alexis at 6, who DOES that?

Ukiachana na new signings, Kelleher kacheza games ngapi msimu kwasababu ya kukosekana kwa Alisson? Quansah kacheza games ngapi msimu huu kwasababu ya kukosekana kwa Konate mara kwa mara? Matip aliumia mapema tu, hence Quansah had to step in, Bradley kacheza games ngapi msimu huu kwasababu ya kukosekana kwa Trent? what about Jota? What about Salah tangu january? What about Robertson?, What about Jones? Endo? What about Gakpo baada ya ile spurs game? kuna muda karibia first teamers wote walikuwa out with injuries, ni VVD, Diaz na Alexis wamekuwa fortunate na injuries msimu huu.

But, Klopp managed to challenge, fatigue ni lazima ingetupata tu kwenye run-in, na unajua effects za fatigue & injury riden season inavyokuwa. how can you blame the manager for over-achieving? tatizo la kuanzia late march/april ilikuwa ni kushindwa ku-sustain possession/pressure, na utafanya hivyo kwa kuwa na players ambao wapo kwenye their "last" legs? na wapya wanaorudi kutoka majeruhi, wanahitaji time ya kurudisha their forms? tena wengi wakiwa kwenye pain killers? why Szobo ameshindwa kurudisha form yake ya kabla ya December? why Salah ameshindwa kurudisha form yake kabla ya January? Why Endo alianza ku-struggle baada ya injury yake ya EFL cup final?, why Jones ameshindwa kurudisha form yake baada ya injury? ni kwasababu they needed time, we rushed them back kwasababu tulikuwa tunawahitaji sana, hence we had to use pain killers/injections kwa baadhi ya players, hizi injuries ilikuwa ni lazima zije kutuharibia mahesabu in the long run, tulishindwa/fail ku-manage our fitness rotations kipindi cha Jan-feb, kwasababu ya injuries. you cant blame the manager for this.
 
MosDef yupo anfield
Tumpe haya maoni ayapeleke

Ni Liver Bird.

History yake ni ndefu.

But, kifupi, ni utambulisho/ alama ya Jiji la Liverpool, ni kama Twiga anavyotumika kama alama ya Nchi ya Tanzania.

Everton or even Tranmere Rovers wanaweza kutumia hiyo symbol kwenye their jerseys pia, ni urithi na utambulisho/alama ya Jiji, na ina historia ndefu, si chini ya miaka 900.
 
Does Fabio Carvalho have a future at Liverpool under Arne Slot next season?

Has has 9 goals and 2 assists for Hull City since signing on loan in January.

Yeah, he has a future, kama akiamua ku-embrace competition.

But, i think, kati ya players wote kwenye our MF, ni Gravenberch ndiyo atanufaika zaidi na ujio wa Slot.
 
Ni Liver Bird.

History yake ni ndefu.

But, kifupi, ni utambulisho/ alama ya Jiji la Liverpool, ni kama Twiga anavyotumika kama alama ya Nchi ya Tanzania.

Everton or even Tranmere Rovers wanaweza kutumia hiyo symbol kwenye their jerseys pia, ni urithi na utambulisho/alama ya Jiji, na ina historia ndefu, si chini ya miaka 900.
Liverpool wanazinguaga tu mbona miaka ya nyuma ilikua inawekwa full nembo inamaana umuhimu wameuona miaka hii wawe wabunifu bhana jezi nzuri ila Kila mwaka nembo la liver bird peke yake ndio inaaribu jezi miaka yote Liverpool ndio wanatoa jezi nyekundu Kali pale uingereza ila tangia waweke nembo ya Liver bird peke yake zinakua za kawaida sana Mimi ni mbunifu wa mavazi najua siku Liverpool wakiweka full nembo kama zamani nakuambia hamna jezi ya kuikamata kidogo mwaka huu mwamemuweka liver bird Kwa rangi ya njano inapendeza sababu sisi tunatengeneza jezi ya damu ya mzee wenzetu arsenal na man u wanatengeneza nyekundu kabisa
 
Liverpool wanazinguaga tu mbona miaka ya nyuma ilikua inawekwa full nembo inamaana umuhimu wameuona miaka hii wawe wabunifu bhana jezi nzuri ila Kila mwaka nembo la liver bird peke yake ndio inaaribu jezi miaka yote Liverpool ndio wanatoa jezi nyekundu Kali pale uingereza ila tangia waweke nembo ya Liver bird peke yake zinakua za kawaida sana Mimi ni mbunifu wa mavazi najua siku Liverpool wakiweka full nembo kama zamani nakuambia hamna jezi ya kuikamata sababu sisi tubatengeneza jezi ya damu ya mzee wenzetu arsenal na man u wanatengeneza nyekundu kabisa

Its been 13+ years tangu tuache kutumia crest ndogo kwenye kits, na hii ni baada ya mkataba wetu na Adidas kuisha.

Warrior Sports, chini ya parent company, New Balance, ndiyo wali-reintroduce tena, nembo ya Liver Bird kwenye our kits, ilikuwa ni kuanzia 2012 nadhani, na hii ilikuwa ni baada ya miaka si chini ya 30, tangu tuache kuitumia.

And, New Balance, waliendelea kuitumia, hata baada ya kampuni yao ndogo (Warrior sports) kupewa kitengo kingine, na New Balance ku-take over kwenye football.

Then, mpaka sasa, Nike pia wameendelea kuitumia.
 
Its been 13+ years tangu tuache kutumia crest ndogo kwenye kits, na hii ni baada ya mkataba wetu na Adidas kuisha.

Warrior Sports, chini ya parent company, New Balance, ndiyo wali-reintroduce tena, nembo ya Liver Bird kwenye our kits, ilikuwa ni kuanzia 2012 nadhani, na hii ilikuwa ni baada ya miaka si chini ya 30, tangu tuache kuitumia.

And, New Balance, waliendelea kuitumia, hata baada ya kampuni yao ndogo (Warrior sports) kupewa kitengo kingine, na New Balance ku-take over kwenye football.

Then, mpaka sasa, Nike pia wameendelea kuitumia.
Ooh okay nimeona sehemu addidas tutakua nao 2025/26 wanaweza kuweka full nembo
 
Yeah, he has a future, kama akiamua ku-embrace competition.

But, i think, kati ya players wote kwenye our MF, ni Gravenberch ndiyo atanufaika zaidi na ujio wa Slot.
Kivipi Mkuu huyu Graven atanufainika na ujio wa SLOT?
 
IMG-20240503-WA0217.jpg
 
As part of Michael Edwards’ strategy, Liverpool aims to identify players who best fit their style of play through extensive data analysis, regardless of price. They intend to pursue the most suitable players, whether they cost £8m or £80m, prioritizing fit over cost.
 
Kwa hiyo hatujadili tena mechi ijayo, mikakati na mambo ya nani aanze, nani awe sub? Ni mwendo wa Edward, sijui transfer policy, mara Kubo...
 
One important commodity that Klopp was given, unlike managers elsewhere, was time. Time to build his team, create a winning mentality and win silverware.

It is something Klopp hopes Slot will be given, as patience to see Liverpool 2.0 flourish will be needed to see the “bright future” he has pictured become a reality.

“Liverpool 2.0 does not end with me,” Klopp stressed. “It’s just the new Liverpool. It’s just the start, they [the new coaching team] can make the next steps.

“We all stand here like, ‘Yeah they could be champions’. It’s all a question of perspective.

“What you put on them next year. If you say, ‘OK last year (this season) was third, now you have to become champions’.

“We had the time when we started. Do they have to wait four or five years? But if you give them time again, there’s a chance. We will see that.


“Who wins that battle, the patient ones or the other ones who waited long enough. There’s a really bright future I’m sure.”
IMG-20240504-WA0010.jpg
 
And that love certainly extends to the squad, which he hailed as one that will give the new man in charge a ‘great basis’ from which to build, despite falling short of the title this season.


Klopp said: “[They inherit a] fantastic squad. It was like, we could do this, we could do that, we need that.

“Thank God it’s not my job any more. That’s exactly the thing I don’t want to do any more. The people who [come into] this club will be calm enough.

“They will all look at the information about the squad we have during the season. The age group is great, what’s coming up from the academy, positions, can you improve from outside?
 
Graeme Souness is concerned that Virgil van Dijk is unconvinced by Arne Slot and will seek a move away from Liverpool this summer.
Souness pointed to comments the club captain made about his future back in January in which he hinted that his next steps might lie away from Anfield
Van Dijk has already spoken about countryman Slot’s impending arrival, describing him as 'one of the best Dutch coaches' around currently
The 32-year-old has just 12 months remaining on his contract and faces a crossroads this summer
Souness fears that the Netherlands international is leaning towards an exit, mooting that he is “obviously unhappy” at Liverpool and could look for one last big career move

Souness
“The fact that Virgil van Dijk’s contract end is coming up worries me, he’s 33 in July, and if his agent were to call up the sporting director at Real Madrid, they’d take him.
“I just look at him now and the noise he’s been making, which he hasn’t done throughout his career, and I think he’s obviously unhappy.”

Souness added:
“He’ll [Van Dijk] have asked questions about the new manager already and will be the one that Arne Slot has to win over.
“Slot must get Van Dijk onside – he’s the captain – but Van Dijk might not fancy him.
“He might’ve heard something on the grapevine and may think that this guy won’t take the team where they want to be, the clock is ticking on his career, maybe he needs to go someplace else to win more silverware.
“He has won two of the big ones with Liverpool, but he’s not a serial winner
 
Graeme Souness is concerned that Virgil van Dijk is unconvinced by Arne Slot and will seek a move away from Liverpool this summer.
Souness pointed to comments the club captain made about his future back in January in which he hinted that his next steps might lie away from Anfield
Van Dijk has already spoken about countryman Slot’s impending arrival, describing him as 'one of the best Dutch coaches' around currently
The 32-year-old has just 12 months remaining on his contract and faces a crossroads this summer
Souness fears that the Netherlands international is leaning towards an exit, mooting that he is “obviously unhappy” at Liverpool and could look for one last big career move

Souness
“The fact that Virgil van Dijk’s contract end is coming up worries me, he’s 33 in July, and if his agent were to call up the sporting director at Real Madrid, they’d take him.
“I just look at him now and the noise he’s been making, which he hasn’t done throughout his career, and I think he’s obviously unhappy.”

Souness added:
“He’ll [Van Dijk] have asked questions about the new manager already and will be the one that Arne Slot has to win over.
“Slot must get Van Dijk onside – he’s the captain – but Van Dijk might not fancy him.
“He might’ve heard something on the grapevine and may think that this guy won’t take the team where they want to be, the clock is ticking on his career, maybe he needs to go someplace else to win more silverware.
“He has won two of the big ones with Liverpool, but he’s not a serial winner

Kwa kusoma hii, sioni kama Souness ana hoja nzito.
 
Back
Top Bottom