Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Haya mambo ya working behind the scenes hua yanachosha sana japo vile vile hua yanaweka mashabiki attention maana hatuelewi ni mchezaji yupo anaefuatiliwa kwa karibu nadhan hii pia inawapa muda wanaoshiriki mazungumzo wawe na muda wa ku bargain baada ya idara ya scout kufanya analysis ya wachezaji husika..Sina pressure kwa sababu sina matarajio makubwa kuelekea msimu ujao.
Ila kabla ya usajili wowote naenda kuangalia hizi mechi nne za pre season kisha nitaleta msimamo wangu bila usajili na baada ya usajili kwa analysis ya mechi nne
Vs Arsenal
Vs Utd
Vs Sevilla
Vs Sociedad
Sina imani kabisa na hiki kikosi maana wengine wanaimarisha sana vikosi vyao sisi na huku tupo tunaambiwa wanafanya mchujo kwa hio ni subira na subira yavuta kheri...
YNWA