Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Nilisham ignore huyo huwa anapost za kitoto sana na huwa zinaondoa mood kabisaWE dogo akili yako ya mtoto wa miaka 14
Huwa huwezi kutengeneza hoja kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisham ignore huyo huwa anapost za kitoto sana na huwa zinaondoa mood kabisaWE dogo akili yako ya mtoto wa miaka 14
Huwa huwezi kutengeneza hoja kabisa.
Kwahiyo EPL na UEFA ndani ya miaka 9 si lolote?Kwahiyo kwakua kaitoa ikiwa imepotea ndio abebe EPL 1 miaka 9 hii kali kwahiyo Liverpool bila Klopp isingetoka kule ilipokua milele?
Liverpool Ina UEFA 6 EPL 19 kwahiyo hamna jipya alilofanya hapo full stop hamna umwamba wowote zaidi ya kudharirika Kila anapokutana na Madrid tena ikiwa mbovu mda mwingine atulie amuone mwenzake msimu huu anavyomfunga MadridKwahiyo EPL na UEFA ndani ya miaka 9 si lolote
Huoni kama tulikaa miaka 30 mikono mitupu bila EPL
Ila unakuja kushangaa miaka 9 Mkuu.
Arsenal mwaka wao wa 20 huu Toka 2004 hadi leo wanasugua benchi hakuna EPL.
Klopp bado ni Mwamba licha ya mapungufu yake madogo.
Hebu mpe timu meneja yeyote Kwa bajeti aliyopewa Klopp uone atafika wapi.
Kwa mtazamo wakoLiverpool Ina UEFA 6 EPL 19 kwahiyo hamna jipya alilofanya hapo full stop hamna umwamba wowote zaidi ya kudharirika Kila anapokutana na Madrid tena ikiwa mbovu mda mwingineatulie amuone mwenzake msimu huu anavyomfunga Madrid
Mwamba ni slot anakuja kubeba hivyo vikombe ndani ya mwaka huu anachukua kimoja wapo kati ya UEFA au EPLKwa mtazamo wako
Unadhani nani ni Mwamba sasa?
Kumbuka Slot kaikuta timu nzuri tayari ,hajaitoa matopeni kama KloppMwamba ni slot anakuja kubeba hivyo vikombe ndani ya mwaka huu anachukia kimoja wapo kati ya UEFA au EPL
Kama ni nzuri mbona yeye klopp alishindwa msimu uliopita na akaishia kuwa wa 3 ligi na kikombe Cha Europa hata fainali hakufika na hii hii timu ambayo anayo slot tulia timu isukwe dada na mtaalamu slot kocha kijana sio klopp alishazeeka akiliKumbuka Slot kaikuta timu nzuri tayari ,hajaitoa matopeni kama Klopp
Haha😄Bora uwe dogo mwenye miaka 14 na akili za kitoto sio uwe kama wewe kubwa jinga unamiaka 57 huna kitu kichwani umejaa umasikini tu maana hapo hamna kibaya nilichoandika ila umekurupuka kwakua ni masikini unanjaa unaona kushobokea wanaume mtandaoni ndio njaa zako zitaisha
Tema mate chini aisee[emoji23]
Mimi wa 70 huko
Shukrani mkuu umenielewa Kwa asilimia 100%Moja ya kitu kigumu kukiishi ni kuishi na maumivu.
Najaribu kumuelewa Christopher tofauti na wengi walivyomchukulia. Kwa nilivyomsoma kwanza:-
Huyu ni aina ya wale mashabiki lia lia maarufu die hard mwenye uwezo mdogo wa kuhimili maumivu.
2022 na 2024 we were close kupita na quadrapple ila at the end 2022 tukaishia kupata mawili na 2024 tukapata kombe 1. Jamaa Chriss matarajio yake yalikuwa so high kitu ambacho kisipotokea MAUMIVU yake yanazima reasoning ability na kila ukikumbuka lazima utafute namna ya kutolea, na yeye pa kutolea ni kwa Klopp.
Sio yeye tu kuna wengi tu friends of mine are LFC fans, ila huwezi waambia Klopp katufanyia mazuri na wakakuelewa watakuambia 1 EPL in a period of nine yrs, and it said probably best in Europe and world.
Again kushindwa kuifunga Madrid two finals ? And two group stage die hards hapa ndio hawakuelewi kuhusu Klopp kuwa mwamba ndani ya LFC, but hamna namna inabidi uende nao hivyo hivyo.
Worse thing ni disrespect anayompa Klopp, mie kuna angle sikukubaliana na Klopp and never will, ila i cant deny ability and quality to redeem us, from proper mid table team to tittle contenders (doubters to believers)
Saint Anne nimeona umeendesha mdahalo na jamaa bila hisia za ki alfu mbili mbili. [emoji81]
YNWA
Mwenyewe namuelewaMoja ya kitu kigumu kukiishi ni kuishi na maumivu.

Kwahiyo ulikuwa unaniona Mimi wa elfu2 mwenzio🤣🤣🤣🤣🤣nimeona umeendesha mdahalo na jamaa bila hisia za ki alfu mbili mbili. [emoji81]
YNWA
Siku Moja nitaweka picha yangu humuHEHEHEH
Halafu ukute una kamwili kadogo kadogo hivi”,. Ndio kabisa unashahabiana na comments zako humu jamvini
YNWA
Klopp ana heshima yakeKama ni nzuri mbona yeye klopp alishindwa msimu uliopita na akaishia kuwa wa 3 ligi na kikombe Cha Europa hata fainali hakufika na hii hii timu ambayo anayo slot tulia timu isukwe dada na mtaalamu slot kocha kijana sio klopp alishazeeka akili
Slot ni kocha ambae wengi mnamchukulia kawaida kawaida ila msimu huu tunabeba kombe Moja kati ya haya EPL au UEFA na watu hawatoamini unaweza ukaona kama masihara ila Mimi kocha Bora namuona mapema sana nimemfuatilia pre season na hizi games 3 nimesha gonga mhuri huyu ni mtu sahihi 100% na Madrid akija pale anfield atateseka sana msimu huuKlopp ana heshima yake
Usimkosee Klopp heshima Kwa kumpinganisha na Slot tena mapema hivi
slot hajaikuta timu aliyoikuta Klopp
Hatujamchukulia poaSlot ni kocha ambae wengi mnamchukulia kawaida kawaida ila msimu huu tunabeba kombe Moja kati ya haya EPL au UEFA na watu hawatoamini unaweza ukaona kama masihara ila Mimi kocha Bora namuona mapema sana nimemfuatilia pre season na hizi games 3 nimesha gonga mhuri huyu ni mtu sahihi 100% na Madrid akija pale anfield atateseka sana msimu huu
Sio kwamba nimemdharau klopp ila nimeongea uhalisia ambao wengi mnaona kama Dharau ila huo ndio ukweli klopp hakupaswa aondoke Liverpool na kombe 1 la EPL sababu uwezo wa kuchukua zaidi ya 1 alikua nao Kwa asilimia kubwa sanaHatujamchukulia poa
Lakini kumuheshimu yeye haimaanishi tumdharau Klopp
Iweke usiku wa saa saba tuione wachache, halafu ufute kabla ya asubuhiSiku Moja nitaweka picha yangu humu
Mnione shangazi yenu nilivyo pande la mtu😂
Iweke usiku wa saa saba tuione wachache, halafu ufute kabla ya asubuhi