Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwahiyo kwakua kaitoa ikiwa imepotea ndio abebe EPL 1 miaka 9 hii kali kwahiyo Liverpool bila Klopp isingetoka kule ilipokua milele?
Kwahiyo EPL na UEFA ndani ya miaka 9 si lolote?
Huoni kama tulikaa miaka 30 mikono mitupu bila EPL
Ila unakuja kushangaa miaka 9 Mkuu.

Arsenal mwaka wao wa 20 huu Toka 2004 hadi leo wanasugua benchi hakuna EPL.

Klopp bado ni Mwamba licha ya mapungufu yake madogo.
Hebu mpe timu meneja yeyote Kwa bajeti aliyopewa Klopp uone atafika wapi.
 
Kwahiyo EPL na UEFA ndani ya miaka 9 si lolote
Huoni kama tulikaa miaka 30 mikono mitupu bila EPL
Ila unakuja kushangaa miaka 9 Mkuu.

Arsenal mwaka wao wa 20 huu Toka 2004 hadi leo wanasugua benchi hakuna EPL.

Klopp bado ni Mwamba licha ya mapungufu yake madogo.
Hebu mpe timu meneja yeyote Kwa bajeti aliyopewa Klopp uone atafika wapi.
Liverpool Ina UEFA 6 EPL 19 kwahiyo hamna jipya alilofanya hapo full stop hamna umwamba wowote zaidi ya kudharirika Kila anapokutana na Madrid tena ikiwa mbovu mda mwingine atulie amuone mwenzake msimu huu anavyomfunga Madrid
 
Kumbuka Slot kaikuta timu nzuri tayari ,hajaitoa matopeni kama Klopp
Kama ni nzuri mbona yeye klopp alishindwa msimu uliopita na akaishia kuwa wa 3 ligi na kikombe Cha Europa hata fainali hakufika na hii hii timu ambayo anayo slot tulia timu isukwe dada na mtaalamu slot kocha kijana sio klopp alishazeeka akili
 
Bora uwe dogo mwenye miaka 14 na akili za kitoto sio uwe kama wewe kubwa jinga unamiaka 57 huna kitu kichwani umejaa umasikini tu maana hapo hamna kibaya nilichoandika ila umekurupuka kwakua ni masikini unanjaa unaona kushobokea wanaume mtandaoni ndio njaa zako zitaisha
Haha😄
 
Moja ya kitu kigumu kukiishi ni kuishi na maumivu.

Najaribu kumuelewa Christopher tofauti na wengi walivyomchukulia. Kwa nilivyomsoma kwanza:-

Huyu ni aina ya wale mashabiki lia lia maarufu die hard mwenye uwezo mdogo wa kuhimili maumivu.

2022 na 2024 we were close kupita na quadrapple ila at the end 2022 tukaishia kupata mawili na 2024 tukapata kombe 1. Jamaa Chriss matarajio yake yalikuwa so high kitu ambacho kisipotokea MAUMIVU yake yanazima reasoning ability na kila ukikumbuka lazima utafute namna ya kutolea, na yeye pa kutolea ni kwa Klopp.

Sio yeye tu kuna wengi tu friends of mine are LFC fans, ila huwezi waambia Klopp katufanyia mazuri na wakakuelewa watakuambia 1 EPL in a period of nine yrs, and it said probably best in Europe and world.

Again kushindwa kuifunga Madrid two finals ? And two group stage die hards hapa ndio hawakuelewi kuhusu Klopp kuwa mwamba ndani ya LFC, but hamna namna inabidi uende nao hivyo hivyo.

Worse thing ni disrespect anayompa Klopp, mie kuna angle sikukubaliana na Klopp and never will, ila i cant deny ability and quality to redeem us, from proper mid table team to tittle contenders (doubters to believers)

Saint Anne nimeona umeendesha mdahalo na jamaa bila hisia za ki alfu mbili mbili. [emoji81]

YNWA
 
Shukrani mkuu umenielewa Kwa asilimia 100%
 
Mwenyewe namuelewa
Hata Mimi kiukweli niliumia sana msimu jana kukosa ubingwa wakati Toka mwanzo tulicheza vizuri
Mechi zetu dhidi ya utd nilijificha wiki nzima sitoki nje maana niliongea sana kabla ya mechi

Msimu ule wa 2018 sijui 19 kupindi hicho nimeanza angalau kuangalia mechi za Liverpool halafu tukafungwa final UEFA
Kitu hicho hicho kikajirudia tena majuzikati Kuna Hendo wakatuchoma Madrid hiyohiyo ikatufunga tena

Lakini hii yote haiondoi ukweli kwamba Klopp ni Mwamba na kwa nafasi yake amefanya kututoa matopeni.
We are grateful for even such small step he Made.
 
nimeona umeendesha mdahalo na jamaa bila hisia za ki alfu mbili mbili. [emoji81]

YNWA
Kwahiyo ulikuwa unaniona Mimi wa elfu2 mwenzio🤣🤣🤣🤣🤣
Mie mtoto wangu wa kwanza ni wa ,92
Wewe Mona wa 90 na ngapi?😂😂
.....
Juzikati nilikuwa hospital na mgonjwa amelazwa
Sasa mkamwana wangu akaja kuniona,
Nikawa nimemchukua mtoto wake ambaye ni mjukuu wangu nikatoka naye nje ili yeye apate nafasi ya kuongea na mgonjwa.
Kule nje nikawa nambembeleza mtoto kuwa nyamaza bibi nyamaza bibi
Kuna mzee wa makamo akapita,akacheka,akauliza huyo ni mjukuu wako?nikamwambia ndiyo
Akakataa katakata😂😂😂
Eti wa mtoto wako kabisa?nikamwambia mtoto wa dada,Mimi si mama yake 🤣🤣🤣
Dada zangu wakamwambia huyo ni mjukuu wake kweli

Akawa kila akipita ananiita bibi huku anacheka sana😂

Mie mkubwa
Hadi Nina wajukuu
 
Kama ni nzuri mbona yeye klopp alishindwa msimu uliopita na akaishia kuwa wa 3 ligi na kikombe Cha Europa hata fainali hakufika na hii hii timu ambayo anayo slot tulia timu isukwe dada na mtaalamu slot kocha kijana sio klopp alishazeeka akili
Klopp ana heshima yake
Usimkosee Klopp heshima Kwa kumpinganisha na Slot tena mapema hivi
slot hajaikuta timu aliyoikuta Klopp
 
Slot ni kocha ambae wengi mnamchukulia kawaida kawaida ila msimu huu tunabeba kombe Moja kati ya haya EPL au UEFA na watu hawatoamini unaweza ukaona kama masihara ila Mimi kocha Bora namuona mapema sana nimemfuatilia pre season na hizi games 3 nimesha gonga mhuri huyu ni mtu sahihi 100% na Madrid akija pale anfield atateseka sana msimu huu
 
Hatujamchukulia poa
Lakini kumuheshimu yeye haimaanishi tumdharau Klopp
 
Sio kwamba nimemdharau klopp ila nimeongea uhalisia ambao wengi mnaona kama Dharau ila huo ndio ukweli klopp hakupaswa aondoke Liverpool na kombe 1 la EPL sababu uwezo wa kuchukua zaidi ya 1 alikua nao Kwa asilimia kubwa sana
 
Back
Top Bottom