Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji856] List of Real Madrid absentees for the Liverpool match:
[emoji777] Vinicius Jr.
[emoji777] Rodrygo
[emoji777] Aurelien Tchouaméni
[emoji777] Éder Militão
[emoji777] Dani Carvajal
[emoji777] David Alaba
You will never walk aloneHeheheh umeona katoto kalivyo kazuri eehh,.?! I knew it kwa maandishi yake haka katoto ka alfumbilisim kamejaaliwa.
Captain Marvelous anajichelewesha pamoja na Baba Swalehe ndio watu wanakubalika nae humu jukwaani. Siye wengine tutafute hela kwanza.
Ynwa’
Ni tag mkuu nipige puri moja 😂😂Heheheh umeona katoto kalivyo kazuri eehh,.?! I knew it kwa maandishi yake haka katoto ka alfumbilisim kamejaaliwa.
Captain Marvelous anajichelewesha pamoja na Baba Swalehe ndio watu wanakubalika nae humu jukwaani. Siye wengine tutafute hela kwanza.
Ynwa’
Love you tooI love you Liverpool 😍
With all my heart
Nimekuwa pamoja nawe kuhusu Gomez!Na uzuri tunakutana mara moja, tugonge hapo kichwani twang’ tutulie [emoji81][emoji81][emoji81]
Nina mashaka na game vs Madrid, its normal kwenye football ukiwa underdog by either, performance or head to head. But always nikiwa na fear na big match huwa tunapata matokeo mazuri sana with good margin of goals.
Madrid is not a possession team but a dominant one when it comes vs LFC recently, why?? it was easy for Ancelotti to play vs Klopp. Sio akiwa Madrid hata akiwa Napoli, atashinda mechi moja kati ya mbili za kukutana nazo.
Will he do vs Slot.? Might be tricky one why? Slot tactics are slightly differ from those of his role model.
The use of double pivot, structures, calmness, composure, decision making (tactics & Subs)…!!!
Battle of energetic MF’s and LW & RW.
Wao wana Mbappe, and Vini Jr ( sijui ni mind game au kweli hatakuwepo don know yet), huku kuna Diaz, Gakpo & Salah…!!! They have Ferde we have Szobo, They have Rudiger we have Vvd and Konate, defensively wanakosa watu wa kazi wa katikati CB’s, wanamkosa Carvajal as their RB, upande wa Gakpo/Diaz. We need to bounce on transition sio kama tulivyocheza vs S’ton. Quick passes.
Nafikiri mpaka sasa Slot atakuwa ametizama Last h2h matches na amejifunza kitu.
My Line up
Kelleher.
Gomez
(if Trent is not fit) why Gomez is good on 1v1 upande wa Mbappe ( kama Vini hatakuwepo na hata akiwepo watapishana upande huo).
Konate
Vvd
Tsimi (if he is fit)
Macca
Gravern
Jones
(kwa ajili ya final products yake assist ir goal, ni mzuri na mwepesi kuwa kwenye box most of the time)
Salah
Diaz (free role, Rudiger ni mzuri 1v1 akiwa na natural ST, i wish Jota angekuwa Fit)
Gakpo. ( hana mambo mengi jambo la kwanza kwake ni mmekaaje la pili ndio yeye).
Ynwa.
Na Lineup yao waliyoitangaza jana jumatatu ni hii hapa. Hii unaielezea vipi ?Na uzuri tunakutana mara moja, tugonge hapo kichwani twang’ tutulie [emoji81][emoji81][emoji81]
Nina mashaka na game vs Madrid, its normal kwenye football ukiwa underdog by either, performance or head to head. But always nikiwa na fear na big match huwa tunapata matokeo mazuri sana with good margin of goals.
Madrid is not a possession team but a dominant one when it comes vs LFC recently, why?? it was easy for Ancelotti to play vs Klopp. Sio akiwa Madrid hata akiwa Napoli, atashinda mechi moja kati ya mbili za kukutana nazo.
Will he do vs Slot.? Might be tricky one why? Slot tactics are slightly differ from those of his role model.
The use of double pivot, structures, calmness, composure, decision making (tactics & Subs)…!!!
Battle of energetic MF’s and LW & RW.
Wao wana Mbappe, and Vini Jr ( sijui ni mind game au kweli hatakuwepo don know yet), huku kuna Diaz, Gakpo & Salah…!!! They have Ferde we have Szobo, They have Rudiger we have Vvd and Konate, defensively wanakosa watu wa kazi wa katikati CB’s, wanamkosa Carvajal as their RB, upande wa Gakpo/Diaz. We need to bounce on transition sio kama tulivyocheza vs S’ton. Quick passes.
Nafikiri mpaka sasa Slot atakuwa ametizama Last h2h matches na amejifunza kitu.
My Line up
Kelleher.
Gomez
(if Trent is not fit) why Gomez is good on 1v1 upande wa Mbappe ( kama Vini hatakuwepo na hata akiwepo watapishana upande huo).
Konate
Vvd
Tsimi (if he is fit)
Macca
Gravern
Jones
(kwa ajili ya final products yake assist ir goal, ni mzuri na mwepesi kuwa kwenye box most of the time)
Salah
Diaz (free role, Rudiger ni mzuri 1v1 akiwa na natural ST, i wish Jota angekuwa Fit)
Gakpo. ( hana mambo mengi jambo la kwanza kwake ni mmekaaje la pili ndio yeye).
Ynwa.
Tuweke kikosi cha youths tu🤕 List of Real Madrid absentees for the Liverpool match:
❌ Vinicius Jr.
❌ Rodrygo
❌ Aurelien Tchouaméni
❌ Éder Militão
❌ Dani Carvajal
❌ David Alaba
😂😂😂😂😂😂Love you too
If we win the league gonna take you to the moon
Huyu mwamba ni hatari na nusu aiseeMohamed Salah's goals & assists have been worth 17 points to Liverpool this season, the most of any player in the division. Without them, Chelsea would lead the league table, and Liverpool would be 13th.🤯
View attachment 3162061