Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hizi fixtures zilizobaki zinatufavour sisi Liverpool.
Hivyo Slot hapaswi kufanya bottling kwa njia yoyote kwenye hili kwasababu kila nikiangalia kuanzia January mpaka sasa tumepoteza points nyingi sana (6) kwa Manure, Forest, Everton.

Pia nimegundua weakness kubwa sana kwa Slot kuhusu matches za AWAY Timu ina struggle kushinda tofauti na kipindi cha Klop

Ngapi tupeni matokeo tupo shamba
2-1 dk 88
 
IMG-20250216-WA0002.jpg
 
Screenshot_20250216_224707_com.android.chrome~2.jpg

Kuna balaa ndugu zangu tuwe n subira na haya mambo maana hatari ipo huko mbeleni.
Leo Liverpool vs Wolverhampton ndani ya Anfield kipindi cha pili hatujapata kupiga shuti hata moja kumlengaA golikipa hii kwangu ni ishu kubwa sana na inaogopesha ukizingatia tulikuwa Anfield hivyo sapoti ya nyumbani ilikua kubwa. Kila kukicha XG yetu inarudi nyuma kwa mwendo kasi.
Ni kama vile wachezaji wetu wameshajichokea. Yaani.
Leo vs different team naamini tungeonge mengine. Slot asake changamoto zilizopo anaji sort vipi maana hapo mbele kuna mechj visiki.

YNWA
 
Tukimfunga Aston Villa tutakuwa tumebakiza Man City (A), Brighton (A) na Chelsea (A) wa kuwahofia.

Arsenal, Spurs na Newcastle hawa wote wapo home siwezi kuwahofia.
Kila kukicha ma kocha wapinzani wanabuni namna ya kutuzuia kufunga hivyo Slot ni wakati na yeye atoke kwenye comfy zone tunatoka.

YNWA
 
View attachment 3238473
Kuna balaa ndugu zangu tuwe n subira na haya mambo maana hatari ipo huko mbeleni.
Leo Liverpool vs Wolverhampton ndani ya Anfield kipindi cha pili hatujapata kupiga shuti hata moja kumlengaA golikipa hii kwangu ni ishu kubwa sana na inaogopesha ukizingatia tulikuwa Anfield hivyo sapoti ya nyumbani ilikua kubwa. Kila kukicha XG yetu inarudi nyuma kwa mwendo kasi.
Ni kama vile wachezaji wetu wameshajichokea. Yaani.
Leo vs different team naamini tungeonge mengine. Slot asake changamoto zilizopo anaji sort vipi maana hapo mbele kuna mechj visiki.

YNWA
Nimeshindwa kuelewa HT talk ya Slot ilikuwaje kwakuwa wachezaji wamerudi uwanjani wakiwa very sluggish na wame lose concentration. May be ilikuwa ni game management kupunguza intensity lakini it nearly cost us.

But all in all kinacho matter ni point tatu, lets roll on next time out.
 
Kila kukicha ma kocha wapinzani wanabuni namna ya kutuzuia kufunga hivyo Slot ni wakati na yeye atoke kwenye comfy zone tunatoka.

YNWA

Yani kila nikiangalia Winning back to back za Arsenal na nikiangalia away performance yetu basi napata wasiwasi kuwa tunaweza kufanya bottling kwenye huu msimu.

Mabeki wetu sikuhizi ukiwapressurize kidogo tu basi unatufunga goli.
 
Anord alikaribia kidogo kutoa zawadi [emoji52]
 
Back
Top Bottom