Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muda gani?Ndio mechi ya Everton.
YNWA
Hizi fixtures zilizobaki zinatufavour sisi Liverpool.
Hivyo Slot hapaswi kufanya bottling kwa njia yoyote kwenye hili kwasababu kila nikiangalia kuanzia January mpaka sasa tumepoteza points nyingi sana (6) kwa Manure, Forest, Everton.
Pia nimegundua weakness kubwa sana kwa Slot kuhusu matches za AWAY Timu ina struggle kushinda tofauti na kipindi cha Klop
2-1 dk 88Ngapi tupeni matokeo tupo shamba
Sio jeraha kubwa. Itakua nadhan wiki, hivyo anaweza kuwepo mechi ijayo wekedi ama sub mechi ya Aston Villa.Kwa muda gani?
Wanapigania kutoshuka daraja, ni hatari kukutana na timu kama hizo kipindi hikiUshindi mgumu, Wolves walikuwa vizuri
Kabisa wanakuwa wapo overconfidentWanapigania kutoshuka daraja, ni hatari kukutana na timu kama hizo kipindi hiki
Kila kukicha ma kocha wapinzani wanabuni namna ya kutuzuia kufunga hivyo Slot ni wakati na yeye atoke kwenye comfy zone tunatoka.Tukimfunga Aston Villa tutakuwa tumebakiza Man City (A), Brighton (A) na Chelsea (A) wa kuwahofia.
Arsenal, Spurs na Newcastle hawa wote wapo home siwezi kuwahofia.
Nimeshindwa kuelewa HT talk ya Slot ilikuwaje kwakuwa wachezaji wamerudi uwanjani wakiwa very sluggish na wame lose concentration. May be ilikuwa ni game management kupunguza intensity lakini it nearly cost us.View attachment 3238473
Kuna balaa ndugu zangu tuwe n subira na haya mambo maana hatari ipo huko mbeleni.
Leo Liverpool vs Wolverhampton ndani ya Anfield kipindi cha pili hatujapata kupiga shuti hata moja kumlengaA golikipa hii kwangu ni ishu kubwa sana na inaogopesha ukizingatia tulikuwa Anfield hivyo sapoti ya nyumbani ilikua kubwa. Kila kukicha XG yetu inarudi nyuma kwa mwendo kasi.
Ni kama vile wachezaji wetu wameshajichokea. Yaani.
Leo vs different team naamini tungeonge mengine. Slot asake changamoto zilizopo anaji sort vipi maana hapo mbele kuna mechj visiki.
YNWA
Kila kukicha ma kocha wapinzani wanabuni namna ya kutuzuia kufunga hivyo Slot ni wakati na yeye atoke kwenye comfy zone tunatoka.
YNWA
Anord alikaribia kidogo kutoa zawadi [emoji52]Yani kila nikiangalia Winning back to back za Arsenal na nikiangalia away performance yetu basi napata wasiwasi kuwa tunaweza kufanya bottling kwenye huu msimu.
Mabeki wetu sikuhizi ukiwapressurize kidogo tu basi unatufunga goli.