Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Swansea wanataka kuharibu usiku wangu...
Kwa timu hii, inabidi tufute matumaini ya top 5
Kwa timu hii, inabidi tufute matumaini ya top 5
Kumfunga ManU isiwe hoja.Timu sio mbaya hii mkuu.Imeifunga Man United na So far inaongoza ligi....Game imekataa tu Leo na Kumbuka mfungaji wenu mashuhuri anarudi muda si mrefu.
Liverpool nina uhakika itaperfom vizuri kuliko Chelsea msimu huu.
Sababu katikati ya uwanja tulikuwa wazi sana SG na Lucas walikuwa hawajui wamkabe nani na wamuache nani sababu Coutinho ndio anayeweka mpira na kuchezesha, kengine Wisdom kulia alikuwa wasiwasi umemjaa na Hendo hamsaidii Wisdom wala katikati ya uwanja hamsaidii SG wala Lucas, hatuna lie kazi ya Mascherano japokuwa Glenn Johnson anauzi ila kulia beki muhimu Johnson Kuwepo, Suarez akirudi atacheza winger ya kulia Moses kushoto Sturidge peke yake coutinho nyuma ya sturidge na Suarez then SG atakaa na Lucas. 4,2,2,2 au 4,2,3,1.Kwa ninia Liver walionyesha kuchoka sana kipindi cha pili?
Mkuu Pazi, tuna kazi sana. Coutinho atakuwa nje kama wiki sita hadi mwisho wa October, majeruhi wengine ni Agger, Johnson, Cissokho, Coates na Joe Allen. Kwa mwendo huu tuna mtihani kweli... Ila Jogoo ni Jogoo tu...
Punainen
News hii imenisikitisha sana Kamanda wangu. Yani utafikiri Mi ndiyo mwenye club!
Philippe Coutinho blow for Liverpool Fc GONGA HAPA
Liverpool Fc midfielder Philippe Coutinho will be out until late october with a shoulder injury that needs surgery,the club have confirmed.
Imenitouch sana mkuu!
Copy kwa Kaizer Pazi
Hakuna shida sana Suarez anarudi kati pale then Sturrigde ataenda pembeni..
Wakuu, tunaanza maisha bila Coutinho, na leo tupo na The Saints.. Point tatu muhimu tusonge mbele... YNWA.
Thanks Viper! Kwenye mpira pamoja na mengine yote, bahati pia inahitajika.
Naona leo mambo magumu. Watakatifu wanaingia madhabahuni wanavyotaka! Tutatoka kweli leo?