Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah bora Liverpool leo!! tunalala vizuri maana huku nyumbani Rage anatufanya vibaya!! Na Okwi huyo Yanga...
 
Back again ni mda wa kurudisha makombe yetu yotevyulikopesha..tumewapa mda wameshindwa kuutumia..we are back officially..
 
Naam na nyie mliokua mnasumbua miaka ya 80 Kua mabingwa Mmeanza Kua Kero mitaani na kauli mbiu yenu You will never walk alone! Eti mnaota ubingwa na nyie! Leo mnapigwa mzidi kupotea!

Leo mnatembea peke yenu!
Jana tulitembea wengi mkuu,kuna wapinzani lakini sio Chelsea.Arsenal kaanza kuloose point mapema.
Cardif anakuja pale Anfield,then tunawafuata Man city halafu tunaenda kuvunja daraja la Chelsea..

"Nlikuwepo":bolt:
 
vipi jamani matokeo?? mbona kimya tujuzeni tulio mbali na runinga
Tottenham 0-5 Liverpool
article-2524046-1A1FCC4E00000578-595_154x115.jpg

And this man was Man of the Match
BbipQ3iCQAAYdJ1.jpg
 
Jana tulitembea wengi mkuu,kuna wapinzani lakini sio Chelsea.Arsenal kaanza kuloose point mapema.
Cardif anakuja pale Anfield,then tunawafuata Man city halafu tunaenda kuvunja daraja la Chelsea..

"Nlikuwepo":bolt:

Zzzzz,,,,,,,,,
 
Unaota wewe! Eti mnavunja daraja! Yani siku hiyo Yule mnyonya damu Kwa meno atakabwa mpaka chupi ichomokee kichwani!

Tena nawasubiri Kwa hamu nije niwaoneshe Kandanda!
 
Kipindi kile mlisema Tores ndiye anaye wafunga mkanunua kwa bei kubwa. Saizi huyu bwana magoli atafunga matatu ili mnunue bei kubwa zaidi ya Tores
 
Halafu anasema kabisa eti atatuonyesha KANDANDA!!!! kwa timu gani???? Chelsea?Ikiwa Crystal Palace alokuwa mwanzo mwisho anadefend mkaishia kumpiga goli mbili kwa moja,sasa ndio mnataka kunitunishia kifua mie?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kipindi kile mlisema Tores ndiye anaye wafunga mkanunua kwa bei kubwa. Saizi huyu bwana magoli atafunga matatu ili mnunue bei kubwa zaidi ya Tores

Yani siku Hiyo Huyo Zombi mnyonya damu atakua mchumba tu!

Ntamkabizi Luiz uone atakavyo mfanya!
 
Halafu anasema kabisa eti atatuonyesha KANDANDA!!!! kwa timu gani???? Chelsea?Ikiwa Crystal Palace alokuwa mwanzo mwisho anadefend mkaishia kumpiga goli mbili kwa moja,sasa ndio mnataka kunitunishia kifua mie?

"Nlikuwepo":bolt:

Wewe kweli unabisha tu! Crystal Palace mchumba tu Yule
 
Mchumba mbabe!!Inasikitisha kuona mpaka leo Mourinho hana forwad wa kumtumainia wala first eleven ya uhakika.Mlichopishana nyie Chelsea na Man U ni BAHATI tu....

Wewe Kumbe Mbado!

Tangu lini Happy One Akawa na timu moja tu?!
Kila mchezaji Wa Chelsea lazima acheze kila mmoja lazima afunge sio kutegemea Shyrose tuuuuuuuu!

Lazima anyonywe damu safari hii! Asifikiri yeye ni Zombi peke yke!
 
Back
Top Bottom