Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu uchezaji wa Sakho huwa unanitia mashaka sana sijui kwa nini?
 
Bado mtapewa penalty 8.

Khe Khe Khe Khe

Baba Kelvin

Hahahahaha mkuu mm nishagiv up kitambo hatutabeba ndoo. mm ni chelsea mkuu. natamani kufuatilia hii gemu make EPL imekuwa ngumu km 2012
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha mkuu mm nishagiv up kitambo hatutabeba ndoo. mm ni chelsea mkuu. natamani kufuatilia hii gemu make EPL imekuwa ngumu km 2012

Baba Kelvin Leo mkipewa penalty naandamana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom