Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kisa English kisa mzaliwa wa Liverpool kisa mshabiki wa LFC Lambert timu zake ndio hizo hizo ingekuwa Spurs au a Everton ningewaelewa yeye kwenda huko ila kuja LFC washaharibu siku yangu Loice Remy 8million tu.
 
Mie ndio wamuitemesha juice yangu ya embe sky sports news sitizami tena hizi news zinatowa Hamu ya msosi bora nishibe ugali wangu wa Muhogo na nyama choma na majani.

kuna mambo akina Rodgers wanafanya yanashangaza sana,euro 9m kwa mchezaji at 32?
 
Deal ya Lallana inachukua muda mrefu kwasababu, Team yake ya awali Bournermouth, itapata 25% ya hela ya usajili, so kwa mtindo huo, Liverpool ilitakia itoe £25mill kwa ajili ya lallana, which ni kitu ambacho liverpool wasngekubali, so ili kuilainisha deal ni kwamba Lambert atoke kwa £9mill na lallana kwa £16mill, ili wachukue wachezaji wawili, kwa £25mill, rather than mchezaji mmoja kwa kiasi hicho, so kwa mpango huo, kama lallana atachukuliwa kwa £16mill, Bournermouth watapata kamisheni ndogo kulinganisha na kama wangemtoa kwa £25mill..

Duh! Hata kama,Lambert hana hadhi ya kuichezea LFC.
 
And now, #Echo and Ben Smith are reporting kuwa fee tuliyoitoa kwa Lambert ni £4 and add ons...syo £9 kama ilivyokuwa reported awali..

So ni great bznec + Lallana and Lovren!!!
 
WE ONLY OFFERED £4mill FOR LAMBERT!!

He's a LIVERPOOL FAN, And i dont think if he will moan about being a BackUp, we already have Suarez, Sturridge, Borini and Aspas!!!

Sioni kitu kinachowafanya watu walalamike humu ndani!!!..
 
U got, Suarez, sturridge and Borini, what more do you need!!!

Lambert ni kama back up tu..

Loic Remy angekubali vipi kuja kukaa bench pae #LFC ???!!.

ila sio ajabu sana,last yr chelsea walimsajili eto'o akiwa 33,nimeangalia statistics za Lambert last season,ana magoli 15,assist 10,sio mbaya sana kwa matumizi ya benchi.
 
WE ONLY OFFERED £4mill FOR LAMBERT!!

He's a LIVERPOOL FAN, And i dont think if he will moan about being a BackUp, we already have Suarez, Sturridge, Borini and Aspas!!!

Sioni kitu kinachowafanya watu walalamike humu ndani!!!..
magazeti tu Kumbe ndio yameandika9m ila ni 4M source za kweli BBC Mie naona Borini na Aspas wauzwe au Borini abaki Aspas na Assaidi wauzwe.
 
watu humu tunalalamikia bei ya kumnunua mzee wa miaka 32 kwa pesa ambayo ingeweza kununua talented young player,ie Loic Remmy
 
ila sio ajabu sana,last yr chelsea walimsajili eto'o akiwa 33,nimeangalia statistics za Lambert last season,ana magoli 15,assist 10,sio mbaya sana kwa matumizi ya benchi.

We paid £35mill for Andy Caroll, and sikuona watu wakilalamika kuhusu hilo, today we've bid £4 for Lambert, watu wanalalamika!!!
 
magazeti tu Kumbe ndio yameandika9m ila ni 4M source za kweli BBC Mie naona Borini na Aspas wauzwe au Borini abaki Aspas na Assaidi wauzwe.

Borini yupo vizuri,kimeo hapo ni Aspas! Wa kuuzwa ni Aspas ana miaka 27 hawez kutolewa kwa mkopo,Asaidi,na Toure
 
watu humu tunalalamikia bei ya kumnunua mzee wa miaka 32 kwa pesa ambayo ingeweza kununua talented young player,ie Loic Remmy

Tumeoffer only £4mill!!

Loic Remy anauzwa around £10, and kama ulivyosema ni young, so atakubali vipi kuja kuwa BackUp pale LFC??..kuna kitu gani cha ziada ambacho Remy kamzidi Sturridge???!!!
 
magazeti tu Kumbe ndio yameandika9m ila ni 4M source za kweli BBC Mie naona Borini na Aspas wauzwe au Borini abaki Aspas na Assaidi wauzwe.

Borini should stay!!

Aspas ndo wa kuondoka!!
 
Tumeoffer only £4mill!!

Loic Remy anauzwa around £10, and kama ulivyosema ni young, so atakubali vipi kuja kuwa BackUp pale LFC??..kuna kitu gani cha ziada ambacho Remy kamzidi Sturridge???!!!

kama ni part ya deal kwa lallana sina tatizo nayo(japokuwa lalana mwenyewe simkubali wala nini,hiyo pesa tungeweza kumpata mtu kama Raktik),afu ile deal ya Suso inaonekana ni permanent sio loan.
 
kama ni part ya deal kwa lallana sina tatizo nayo(japokuwa lalana mwenyewe simkubali wala nini,hiyo pesa tungeweza kumpata mtu kama Raktik),afu ile deal ya Suso inaonekana ni permanent sio loan.

dont believe kila kinachoandikwa, suso release clause yake ni £10mill, so we cant just pay £16 + 10mill (suso)..kwa ajili ya Moreno tu, hana thamani ya £26mill!!!
 
Tumeoffer only £4mill!!

Loic Remy anauzwa around £10, and kama ulivyosema ni young, so atakubali vipi kuja kuwa BackUp pale LFC??..kuna kitu gani cha ziada ambacho Remy kamzidi Sturridge???!!!
Kumbuka huyo Sturridge ama Suarez kuna muda wataumia then nani ata-take over?
Lazima kuwe na attacking options nyingi na sio kuwa na SAS tu inakuwa ni rahisi kwa timu pinzani kujua game plan yenu. Angalia bench la MCity. Lazima tujifunze kwa Pellegrini na sio kung'ang'ania SAS tu
 
LFC hapa ndo huwa inanishangaza! Nimeona sky sources wanasema LFC imekaribia kumsajili Lambert,mzee wa miaka 32 kwa euro kati ya 8 na 10 mil,hiyo pesa mbona inatosha kumsajili Loic remy? Au kwa kuwa sio mwingereza? Poor BR na transfer comitee yako kama haya ni ya kweli.
Ukifuatilia hizo rumours utaumia kichwa,so far nimeshasikia Liverpool inataka kuwasajili Adam Lalana,Jay Rodriguez,Rickie Lambert,Albelto Moreno,Dejan Lovren,Alexis Sanchez,Shaqiri,Emre Can,Pedro na wengineo
 
Back
Top Bottom