Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

Jamaa wa Manure akibeti kijingajinga imekula kwake, shenzy type!
 
Yaani huko hata akiwa mtabiri feki ataaminika tu. πŸ˜€πŸ˜€

Hongereni Swahiba japo niseme extra time ndio iliyowaokoa mana wale jamaa sio. πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Wao walishindwa nini kuitumia hiyo extra time? Arguments za kitoto!
 
Vipi umeshaznduka?
Nimuite Fermino tena uzimie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa. Umejuaje Mkubwa? πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Pia yamekujaje hayo. 😎😎😎 Ila mshukuruni sana Firmino. πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Ngoja nimshukuru Firmino maana tulimtoa Manure kuja kutufungia goli! Flamenco itabidi mtusamehe tumechezesha mchezaji wa Manure kwa mujibu wa Shadeeya!
 
Ngoja nimshukuru Firmino maana tulimtoa Manure kuja kutufungia goli! Flamenco itabidi mtusamehe tumechezesha mchezaji wa Manure kwa mujibu wa Shadeeya!
Hahahaa. Haya bana Mkuu ngoja nitoke muendelee kumpa vipande vyake mpiga ramli wenu. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mleta uzi huyo.
 
Sema wale mabeki wa flamingo wanakaba sio kitoto kwakweli maana sio kwa style ile ya kukata umeme.
 
Utakuta aliyeandika huu upuuzi ni baba wa familia kabisa ana mke na watoto.
Mtani huwa nakuona kwenye uzi wa Liverpool ujue.

Nawaza nchecheto uliokuwa nao jana baada ya kumaliza 90 mins mkiwa patupu. πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…