Livingston Lusinde: Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna wanaomsema vibaya Magufuli

Hizo nguzo alitolea mfano huyo niliyekuwa namjibu,hivyo jibu lilitokana na yale aliyoyaibua mchangia mada,pili swala la usomi ni kuelewa siyo kushinda mitihani tu kama Magufuri na ukaendelea kuamini katika zama za Mawe,ubabe,uongo na sifa za kijinga.
 
Yaani kuna vituko kweli mle mjengoni. Anaewashambulia wenzie kwa kumsema vibaya mwendazake yumo mle mle mjengoni. Waliokuwa hawachaguliki wakabebwa na mwendazake wamo mle mle mjengoni huku wakigonga meza wakimshangilia kibajaji. Kwanini nisiwaite mazuzu kama Bwege alivyowahi kuwaita.

Aliwaambia "ninyi wabunge wa CCM mtu akiwauliza :
1. Mna njaa?? Eee
2. Mmeshiba?? Eee
3. Nje kuna mvua?? Eee
4. Nje kuna mvua?? Eee

Mazuzu nyie
 
Kuna haja ya kuwa na kiwango cha chini cha elimu kabla mtubhajagombea ubunge. Yaani bingu lina wabunge wanaopigania maiti!
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Daaah mkuu rasimu ya katiba ya jaji Warioba nadhani iliweka angalau awe graduate but I stand to be corrected...
 
Naunga mkono.

95% ya wabunge wa kuchaguliwa walibebwa na Magufuli walikuwa hawachaguliki mfano Mwana FA na Mbeya mjini!
Wa Arusha Mjini vipi?Singida Mjini,Ikungi(Singida Mashariki) kwa uchache
 
Kwahiyo anataka hao watu wafanywaje wanaomsema vibaya Magufuli? Tatizo anasahau kuwa watu wanamsema vibaya sio kwa kumchukia yeye kama yeye Magufuli Ila matendo yake maovu aliyoyatenda. Na ajue nao wanatumia haki yao kama yeye alivyotumia ya kwake.
 
Hayati Mwl. Julius K. Nyerere, muasisi na baba wa taifa hili anasemwa na kukosolewa na nchi na amani vipo, atakuwa Mwendazake John P. Magufuli ambaye binafsi namuona kama hakuwa na mbele wala nyuma...?

Lusinde acha utani wa kijinga bwana...!
Wameamua kuabudu maiti, ajabu sana.
 
Reactions: BAK
Kwamba watetezi wa magufuli ndio wavunjifu wa amani nchini,mbona waliopita wanasemwa vibaya na amani haijavunjwa.
 
Kuna dawa za kuweka dishi lake sawa. Sasa kuna siku huwa anaacha kuzinywa basi ndiyo hushuka hapa na madudu yake lakini akinywa akiandika hapa utadhani wa ufipa. 😂😂😂😂

Hahaaaa ila wewe mara moto mara baridi.

Hueleweki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbunge Yuko sahihi kabisa. Tuache ushabiki, Magu kazi kapiga. Hakuna mwanadamu alokamilika, lakini katenda makuu daima yatatukuka nje na ndani ya nchi.

Tuache kulaumu tu, kila MTU hasa hawa walomadarakani miaka lukuki watwaambie wamefanya nini?
Magu kitu gan ww, Yesu mwenyewe pamoja na Mudy wanasemwa sembuse Magu!!!
 
Ila ni kweli wajameni Mama Janet kapendeza na kutakata sana baada ya Magufuli kufariki! Nilidhani ni Mimi tu ndo nimeona hicho kitu lakini kuna mdau mmoja pia kakugusia hilo.
Magufuli alikuwa ni jiwe kweri kweri , ngoja leo hata akina Membe nao wapumue!
 
Hapo ni wewe hujaelewa maana ya kutetewa
 
Hizo nguzo alitolea mfano huyo niliyekuwa namjibu,hivyo jibu lilitokana na yale aliyoyaibua mchangia mada,pili swala la usomi ni kuelewa siyo kushinda mitihani tu kama Magufuri na ukaendelea kuamini katika zama za Mawe,ubabe,uongo na sifa za kijinga.
Hajathibitisha vipi kama ametunga uongo.. mimi nikisema mbowe ni dikteta na anatembea na baadhi ya wanawake wa chama chake utaamini vipi kama ni kweli? Rais anahusikaje na kuuza nguzo? Hivi ndivyo mnafunfishwa shule? Hata kujenga hoja na kuisimamia hamjui?
 
Mbona hamjawatetea Wamachinga walioachwa na Magufuli?.
 
PUMBAVU nyingi kama alivyokuwa anazipenda yeye mwenyewe Magufuri, kwanza hakupenda ukweli,pili alikuwa msaliti,tatu alikuwa mchoy na mwisho mwuaji.
Pamoja na povu lote ukitoka nyumbani ukiwa unaenda kazini unapita kwenye barabara ambazo kwa zaidi ya asilimia 90 ina mkono wa Hayati Magufuli akiwa waziri na akiwa raisi.
 
Inawezekana pia wewe ambaye uwezo wako wa kupambanua Mambo hujafikia hatua aliyofikia Lusinde kwenye kuongoza watu
 
Mtu kama huyu anatakiwa aende akapate elimu japo ya O-level ndio anaweza kujielewa, tofauti na hapo ni kuendelea kuwa na watu wa ajabu kabisa ktk kutunga sheria za nchi.

Na ipigwe marufuku kama huna japo degree 1 mtu asiruhusiwe kugombea ubunge.
Kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, swala la elimu lisimzuie haki yake ya kuchaguliwa? Kusoma sana hakuwezi kumfanya mtu awe na uwezo mzuri wa kuongoza
 
Watanzania Katiba Mpya ni muhimu sana kabla watu aina ya samurai hawajayakwaa madaraka makubwa ya nchi huko mbeleni tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…