Yote Tisa, kumi alilotaka kulisema ni hilo namaba 5, "5). Wabunge tuko humu ndani sababu ya Magufuli na Samia, kuna watu wako humu walikuwa hawachaguliki, akawatetea Wakachaguliwa sababu ya Magufuli na Samia"
Ni kweli kama uliingia bungeni kwa ujanja ujanja tu wa Tume kwa amri ya Magu, kwanini usisifie hata pumba. Je anajua kuwa ile mifuko ya Sandarusi iliyokuwa inaelea baharini sasa hivi haipo tena? Hii ni sababu kubwa ya kumkosoa Magu, na ni ushindi kwa watanzania. Na vile vile ni FUNZO kwa kiongozi yeyete ajaye kutoiga hilo ambalo ni ufunjaji mkubwa wa haki ya binadamu ya kuishi.
Pampja na Wa ETHIOPIA WANA VITA KALI SASA HIVI, lakini hiyo mifuko nhaionekani, kwa sababu walikuwa wanasema eti Sandarusi hizo ni za wakimbizi wa ki- Ethiopia. Du siasa achana nazo, ukifa ndio midomo ya watu inatapika mabaya yako yote.