Livingstone Lusinde anafaa kuwa Waziri wa Wizara ngumu na nyeti nchini

Naunga mkono hoja, kiukweli kabisa huyu ni genius fulani basi tuu!.
P
 
Kule Arumeru enzi hizo kwny kampeni za ubunge za sioi vs nasari,kibajaji alisema rangi ya kijani ni rangi Bora kabisa afu likauliza migomba Ina rangi gani?Mahindi?Viazi then likasema kila kilichopo shambani Ni rangi ya CCM then likauliza hivi rangi ya CHADEMA ikitokea kwny mhindi inakuaje?Hio Ni rangi ya laana

Then akamalizia akasema kale kazee(Dr. Slaa) kanatembea na kanarusha rusha tu ule mkono wake na kanatembea Kama kamejinyea vile.

Huyo ndio aspirant PH.d wetu.
 
Umeona uje ujipakulie minyama mwenyewe...

Kizuri cha jiuza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…