Kwa unataka kuwaambia waTz walimchagua yule jamaa anayekaa karibu na soko la samaki ferry sabb ya kupenda uropokaji na upayukaji?Mkuu Mgoloko, yes anaweza kuwa zero, pia ni kweli simjui vizuri, bali nimemsikiliza leo historia yake, alipotoka na mahali alipo sasa, wengi watakubaliana na mimi, kuwa, this man is genius!. Yes ni mropokaji na mpayukaji, hiki ndicho Watanzania wanachokitaka!.
Uchokozi gani?, au kivipi huu ni uchokozi?.pascal acha uchokozi!
Usiulize majibu, uliza maswali!. Jee unajua Watanzania huwa wanachaguaga nini kwenye uchaguzi?.Kwa unataka kuwaambia waTz walimchagua yule jamaa anayekaa karibu na soko la samaki ferry sabb ya kupenda uropokaji na upayukaji?
Sorry, kwa vile leo ni Jumamosi, ni siku ya mapumziko. Kwa walio kazini, kazi njema.Sasa Pascal sasa ni saa ya kazi, kushakucha yani, unatuambiaje tuache kazi tukangalie tv?
Unaweza usione tofauti, ila ukimsikiliza utakubaliana na mimi, ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza kuliko wabunge wengi wasomi.Lusinde huyuhuyu ninaemjua mimi.....hana maajabu na siioni tofauti yake na Mlinga
Inaonekana std 7 na mdarasa mengine ya chini unawachukulia poa sana.....unaonesha dhahiri kuwa huwaamini kabisa watu wenye elimu ndogo ya darasani.Jamaa amemaliza, kiukweli huyu Jamaa ni very interesting person, ana kipaji cha juu sana cha kujieleza, pia ana powers fulani za success. Kuna watu wameacha shule, au kuishia darasa la saba kutokana na mahangaiko tuu ya maisha lakini wana I.Q kubwa. Huyu Jamaa ana I.Q kubwa sana, angesoma elimu ya darasani, angekuwa profesa!, uthibitisho wa I.Q hiyo, ni kupitia kwa Binti yake aitwae Penina, yuko kwenye top 5 ya vichwa mkoa wa mzima wa Dodoma!.
Hongera sana Mhe. Livingstone Lusinde, kuna kitu najifunza kwako!.
Asanteni kufuatilia.
Paskali
Watanzania bwana,ndio maana yule binti wa Kenya alisema haelewi logic ya Watanzania.Infact anataiwa kuwa waziri wa elimu au sheria kama wabunge walivyoomba...Naamini mh magufuli atachukua mapendekezo ya wabunge hao nasisi na wewe tutamuunga mkono.
Shangaa sasa na weweSasa Pascal sasa ni saa ya kazi, kushakucha yani, unatuambiaje tuache kazi tukangalie tv?
Kwa kawaida low life wengi wamejaaliwa kuwa na maneno ya kejeli na mauddhi ma siyo kama havinji sheria la ila kuwa CCM kuna m cover hayo maneno wangekuwa yanatolewa akiwa upinzani tungesha msahauNilimpenda lusinde sana kuanzia pale alipomtingisha zito bungeni,,uzur wa jamaa maisha ya kitaa na maneno ya kihun ambayo anaweza kukuambia tena ya kuudhi halag ha kistaarab inamfanya awe tofaut sana na elim yake ya darasani...
Huyu watu wa ukawa hawatak hata kumwonaga ktk kampen yyte maana anajuaga kuwaumiza kwa maneno ya kuudhi bila kuvunja sheria.. Napenda sna anapotulizaga kelele za wale wasusaji bungen
Kuhusu hoja ya CCM na akili timamu, sio suala la imani, the reality kuna wana CCM wengi nawafahamu kwa karibu, ni watu wenye akili timamu kabisa, na wanaisupport CCM kwenye mema na mazuri, lakini hawaisupport kwenye yale ya kijinga. Hivyo ndani ya CCM, watu wazuri wapo, watu makini wapo, na watu timamu wapo, ila ni wachache, machizi na mazuzu ndio wengi zaidi!.Pascal Mayalla Mimi huwa siamini kabisa pascal Kama kuna mwana CCM ana timamu.
ata akiwa na timamu hana uchungu wowote na taifa hili so siwezi poteza mdawangu kumsikiliza mtu ambaye toka tupate uhuru ata maji niyashida.
Mkuu Bishop Hiluka,Livingstone Lusinde ni zao la siasa za upinzani (Nadhani Chadema au NCCR-Mageuzi), huko ndiko alikofundishwa kujenga hoja...
Mkewe Edna kaishia darasa la nne, yeye aliishia darasa la 3, hivyo wakichanganya ndio inakuwa darasa la saba. Amesema jambo moja la muhimu sana, yeye na mkewe wana elimu kubwa sana isiyo rasmi. Kama serikali ingetumia mbinu za kuitap hii elimu isiyo rasmi ya Watanzania wasio na elimu ya darasani, wanaweza kufanya mambo makubwa, kuliko ma profesa wenye elimu za kwenye makaratasi!.
P.