Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Mkuu Mgoloko, yes anaweza kuwa zero, pia ni kweli simjui vizuri, bali nimemsikiliza leo historia yake, alipotoka na mahali alipo sasa, wengi watakubaliana na mimi, kuwa, this man is genius!. Yes ni mropokaji na mpayukaji, hiki ndicho Watanzania wanachokitaka!.
Kwa unataka kuwaambia waTz walimchagua yule jamaa anayekaa karibu na soko la samaki ferry sabb ya kupenda uropokaji na upayukaji?
 
Wenzie waliniingia na diploma sasa wana masters sasa yeye mpaka leo hajiendelezi na fursa anayo ingemsaidia
Halafu cha kushangaza kwenye issues za kitaaluma lazima achangie pumba tena kwa matusi.
Mbona profesa Maji marefu yuko calm?.
 
Nilimpenda lusinde sana kuanzia pale alipomtingisha zito bungeni,,uzur wa jamaa maisha ya kitaa na maneno ya kihun ambayo anaweza kukuambia tena ya kuudhi halag ha kistaarab inamfanya awe tofaut sana na elim yake ya darasani...

Huyu watu wa ukawa hawatak hata kumwonaga ktk kampen yyte maana anajuaga kuwaumiza kwa maneno ya kuudhi bila kuvunja sheria.. Napenda sna anapotulizaga kelele za wale wasusaji bungen
 
Lusinde huyuhuyu ninaemjua mimi.....hana maajabu na siioni tofauti yake na Mlinga
Unaweza usione tofauti, ila ukimsikiliza utakubaliana na mimi, ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza kuliko wabunge wengi wasomi.
P.
 
Jamaa amemaliza, kiukweli huyu Jamaa ni very interesting person, ana kipaji cha juu sana cha kujieleza, pia ana powers fulani za success. Kuna watu wameacha shule, au kuishia darasa la saba kutokana na mahangaiko tuu ya maisha lakini wana I.Q kubwa. Huyu Jamaa ana I.Q kubwa sana, angesoma elimu ya darasani, angekuwa profesa!, uthibitisho wa I.Q hiyo, ni kupitia kwa Binti yake aitwae Penina, yuko kwenye top 5 ya vichwa mkoa wa mzima wa Dodoma!.

Hongera sana Mhe. Livingstone Lusinde, kuna kitu najifunza kwako!.

Asanteni kufuatilia.

Paskali
Inaonekana std 7 na mdarasa mengine ya chini unawachukulia poa sana.....unaonesha dhahiri kuwa huwaamini kabisa watu wenye elimu ndogo ya darasani.

Ila sio mbaya hiyo ndo hulka yetu....uwezo wa kupambanua mambo yasiyohitaji taaluma hautegemei sana elimu rasmi,

ndomana jamaa kafanikiwa na watu wengi wenye elimu za hivyo wapo na wanaishi vizuri na wanasaidia wengine kuliko hawa wasomi wabobezi tulionao.
 
Infact anataiwa kuwa waziri wa elimu au sheria kama wabunge walivyoomba...Naamini mh magufuli atachukua mapendekezo ya wabunge hao nasisi na wewe tutamuunga mkono.
Watanzania bwana,ndio maana yule binti wa Kenya alisema haelewi logic ya Watanzania.

Hivi mnasahau kwamba elimu whatever, inamsaidia mtu kuwa a quick leaner in any other field na kuona mbali.By the way,atawasilianaje na wawekezaji wa nchi za nje? Hivi akiambiwa aende Washington kutetea mradi for funding na wataalam ataweza kweli.How about a local proposal ya wataalam wake wa Wizara,can he peruze through it?Na kukiwa na international treaty ambayo anatakiwa asome na aishauri serikali ataweza kweli.Further more, yeye hatakuwa na ziara za nje za kikazi?Je,mnasahau kwamba makabrasha mengi Wizarani yanaandikwa kwa Kiingereza and that he also needs to learn through reading na vitabu vingi vizuri, not forgetting many journals ni za Kiingereza?Do not be short sighted, darasa la tatu hawezi kuwa Waziri. Itakuwa kituko!Siwaelewi,are you suggesting that we do not need education institutions instead tutumie elimu ya mtaani?This is a joke.

Msidanganyike,watu ambao hawajasoma ni very good at bridging the lack of education gap by good communication skills.Hata hivyo at the end of the day, output yao ni minimal.Tunae Mbunge ambae nae ni Ex-Std.III.Akiongea utapenda,ila output nil.Nadhani Watanzania tunahitaji a drastic change in our mindset,we are very illogical.
 
sasa kupitia shida kisha ukabahatika kupata utajiri ndiyo uwezo mkubwa wa uelewa,ufahamu na kujieleza? Hizo ni kudra tuu za mwenyezi Mungu wacha kumpamba mtu kupitiliza. Kimsingi nimtu mjanja mjanja basi hivyo vingine ni munkari wako tuu paskali. Wakati mwingine unaweza kumwona mtu msafi saaana kwavile tuu wewe umechafuka sana nadhani mtu anaweza mwona kibajaji anauwezo mkubwa kutegemeana nayeye alivyo. Hizi siasa hata Mrema alionekanaga kichwaaaa kwa mahisia tuu ya watu kumbe kawaida tuu.
 
Nilimpenda lusinde sana kuanzia pale alipomtingisha zito bungeni,,uzur wa jamaa maisha ya kitaa na maneno ya kihun ambayo anaweza kukuambia tena ya kuudhi halag ha kistaarab inamfanya awe tofaut sana na elim yake ya darasani...

Huyu watu wa ukawa hawatak hata kumwonaga ktk kampen yyte maana anajuaga kuwaumiza kwa maneno ya kuudhi bila kuvunja sheria.. Napenda sna anapotulizaga kelele za wale wasusaji bungen
Kwa kawaida low life wengi wamejaaliwa kuwa na maneno ya kejeli na mauddhi ma siyo kama havinji sheria la ila kuwa CCM kuna m cover hayo maneno wangekuwa yanatolewa akiwa upinzani tungesha msahau
 
Pascal Mayalla Mimi huwa siamini kabisa pascal Kama kuna mwana CCM ana timamu.

ata akiwa na timamu hana uchungu wowote na taifa hili so siwezi poteza mdawangu kumsikiliza mtu ambaye toka tupate uhuru ata maji niyashida.
Kuhusu hoja ya CCM na akili timamu, sio suala la imani, the reality kuna wana CCM wengi nawafahamu kwa karibu, ni watu wenye akili timamu kabisa, na wanaisupport CCM kwenye mema na mazuri, lakini hawaisupport kwenye yale ya kijinga. Hivyo ndani ya CCM, watu wazuri wapo, watu makini wapo, na watu timamu wapo, ila ni wachache, machizi na mazuzu ndio wengi zaidi!.

Hivyo ukipata fursa ya kumsikiliza mtu, msikilize with an open mind, usimhukumu kwa pre conceived bad ideas. Mimi leo nimemsikiliza Kibajaji ni very brilliant fellow japo hakusoma.

By listening to everyone, you have everything to gain and nothing to loose, and by not listening, you have everything to loose and nothing to gain.

P
 
Livingstone Lusinde ni zao la siasa za upinzani (Nadhani Chadema au NCCR-Mageuzi), huko ndiko alikofundishwa kujenga hoja...
Mkuu Bishop Hiluka,
Yes it's true na hili amelisema wazi, alianzia CUF, akahamia Chadema ndipo akaingia CCM na kufika.
P
 
Hivi huyu ubunge umewasaidia waliomchagua au umemsaidia yeye kubadilisha historia yake? Tunahitaji viongozi watakaowasaidia watu na sio kinyume chake.

Huyu Lusinde, anachosifu ni jinsi alivyobadilishwa na wananchi lakini hakuna mahali popote anapoonesha mafanikio ya wananchi kutokana na yeye kuwa kiongozi wao. Viongozi wa namna hii hawana msaada kwa wananchi. Uongozi usitumike kama nusura ya maisha yao mabaya.
 
Hahahahaha lol! Hiki kinywaji ulichokunywa jana usikiguse tena.

Mkewe Edna kaishia darasa la nne, yeye aliishia darasa la 3, hivyo wakichanganya ndio inakuwa darasa la saba. Amesema jambo moja la muhimu sana, yeye na mkewe wana elimu kubwa sana isiyo rasmi. Kama serikali ingetumia mbinu za kuitap hii elimu isiyo rasmi ya Watanzania wasio na elimu ya darasani, wanaweza kufanya mambo makubwa, kuliko ma profesa wenye elimu za kwenye makaratasi!.

P.
 
Back
Top Bottom