Mseminari Liyumba ameachiwa huru punde na mahakama baada ya kujiridhisha kuwa charge waliyoileta mahakamani ni batili, lakini punde vijana wa Hosea wameshamchukua Liyumba na sasa hivi yuko PCCB Makao Makuu...

. Kumbuka dada zetu nao bado hawajaamua kufungua mashitaka yao!
Mseminari Liyumba ameachiwa huru punde na mahakama baada ya kujiridhisha kuwa charge waliyoileta mahakamani ni batili, lakini punde vijana wa Hosea wameshamchukua Liyumba na sasa hivi yuko PCCB Makao Makuu...
Wajuzi wa mambo nendeni Kisutu na ktk makorido tupatieni latest
Hakimu Lema amekubaliana na upande wa utetezi kuwa kweli hati ya mashtaka ina makosa na kwa maana hiyo imefutwa so inasubiriwa hati mpya toka upande wa mashtaka.
Watabaki chini ya ulinzi wa kova hadi iletwe hati mpya.
Swali langu hao waliokuwa wanaandika hati hiyo ya awali hawakuwa na ujuzi wa namna ya kuiandika hati hiyo? si ni wanasheria hao?

Geoff HAWAJAACHIWA HURU bali wamefutiwa mashtaka yao kwa kuwa hati ilikuwa na makosa so makosa bado yapo ila inatakiwa iandikwe hati mpya ya makosa hayo. Ndio maana hawajaruhusiwa kwenda makwao bali watakuwa chini ya ulinzi kituo cha kati kwa Kova.KWA HIYO HAJAACHIWA HURU!au sijakuelewa?
...bwana nani hivi huyo Babu seya anakosa gani??naomba kuelimishwa tafadhali.Watabaki kina Babu seya na walalahoi wengine wasiokuwa na network za maana hapa mjini!!
Makosa katika hati hutokea, sio Tanzania tu. Hapa tunazungumzia sheria na si yale tunayofikiri ndio yanakuwa sheria.