Liyumba aachiwa lakini PCCB wambeba...

Liyumba aachiwa lakini PCCB wambeba...

FDR.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2008
Posts
1,359
Reaction score
354
Mseminari Liyumba ameachiwa huru punde na mahakama baada ya kujiridhisha kuwa charge waliyoileta mahakamani ni batili, lakini punde vijana wa Hosea wameshamchukua Liyumba na sasa hivi yuko PCCB Makao Makuu...

Wajuzi wa mambo nendeni Kisutu na ktk makorido tupatieni latest
 
Kazi Kweli Kweli;

havi hakuna wasomi makini nchi hii wanaoweza wakafungua chrages bila kukosewa? Imekuwa kama mchezo wa kuigiza sasa.

I wish ningekuwa na uwezo sheria zote za kipuuzi zibadilishwe na badala yake kuweka sheria makini zinazotekelezeka hasa kwa wahujumu nchi.

FDR. jr, toka lini Liyumba ni Mseminari? Angalia Masheikh na Makasisi/wachungaji wasije wakakukomalia. Kumbuka dada zetu nao bado hawajaamua kufungua mashitaka yao!
 
Mseminari Liyumba ameachiwa huru punde na mahakama baada ya kujiridhisha kuwa charge waliyoileta mahakamani ni batili, lakini punde vijana wa Hosea wameshamchukua Liyumba na sasa hivi yuko PCCB Makao Makuu...

Nimefurahi ameachiwa. Jana katika hali ya ubinadamu nilimuwaza sana huhu kiumbe Liyumba. Huenda kweli ana makosa, ila ninachojali mimi ni haki yake ya dhamana kukosekana kwani iko wazi ila ni ngumu kuitimiza. Ni vema kupitia kifungu cha sheria za makosa ya jinai kuhusu wizi/upotevu/matumizi mabaya ya madara/ etc.

Hao PCCB wenyewe hawako competent!!! Waiachie mahakama na DPP waandae mashataka mapya kama yapo. Leteni za motomoto huko. Pengine mchana huu atasomewa mashtaka mapya ndiyo maana PCCB wamemdaka!!!!! Tusubiri!!!!
 
At times mimi nachoka kabisa na mambo yanavyokwenda hii nchi.
Kila kukicha nachanganyikiwa na habari zinazokuja. Vitu vinakuwa ndivyo sivyo.
So hao pccb hawana wataalamu wa sheria...
Thanks for the habari wenye dataz zaidi wazimwage
 
We would like more updates on what will happen when he is there with PCCB
 
. Kumbuka dada zetu nao bado hawajaamua kufungua mashitaka yao!

Kama nia ni kuona yupo jela labda muwaombe hao dada zenu lakini kwa makosa hayo mengine huyo mzee alikuwa ni daraja tu la akina Balali et al. wataendelea kumlinda kwa usanii hadi hapo roho itakapo uacha mwili.
 
Mseminari Liyumba ameachiwa huru punde na mahakama baada ya kujiridhisha kuwa charge waliyoileta mahakamani ni batili, lakini punde vijana wa Hosea wameshamchukua Liyumba na sasa hivi yuko PCCB Makao Makuu...

Wajuzi wa mambo nendeni Kisutu na ktk makorido tupatieni latest

Naanza kutafakari kauli ya Mwanakijiji kuhusu kesi ya Mramba et al kuwa ni kiini macho. Tusubiri mwisho wa kesi za EPA na kina Mramba.
 
Hakimu Lema amekubaliana na upande wa utetezi kuwa kweli hati ya mashtaka ina makosa na kwa maana hiyo imefutwa so inasubiriwa hati mpya toka upande wa mashtaka.

Watabaki chini ya ulinzi wa kova hadi iletwe hati mpya.
 
Swali langu hao waliokuwa wanaandika hati hiyo ya awali hawakuwa na ujuzi wa namna ya kuiandika hati hiyo? si ni wanasheria hao?

Kwa hiyo si kwamba Liyumba ameachiwa huru bali amefutiwa mashtaka yale yake kwa kuwa hati imekosewa na hivyo kapelekwa kituo cha kati kwa kamanda Kova akisubiri iletwe hati mpya. Yeye pamoja na mwenzake
 
Hakimu Lema amekubaliana na upande wa utetezi kuwa kweli hati ya mashtaka ina makosa na kwa maana hiyo imefutwa so inasubiriwa hati mpya toka upande wa mashtaka.

Watabaki chini ya ulinzi wa kova hadi iletwe hati mpya.

KWA HIYO HAJAACHIWA HURU!au sijakuelewa?
 
Learned brazas wa kibongo bwana!!! Kila siku nimekuwa nikisisitiza kwamba sirikali inayoongozwa na msanii lazima iwe na watendaji uchwara na makanjanja!!

Haya tuliyaona wengine toka kitambo, ni muda tu bado, hata kina Daniel Yona, Mramba et al wote watakuwa acquitted soon!!

Watabaki kina Babu seya na walalahoi wengine wasiokuwa na network za maana hapa mjini!!
 
Swali langu hao waliokuwa wanaandika hati hiyo ya awali hawakuwa na ujuzi wa namna ya kuiandika hati hiyo? si ni wanasheria hao?

HILI NI SWALI LA MSINGI!
kuna kitu kitaalamu wanaita 'professional ethics'.nchi za wenzetu,somebody 'responsible' anapokiuka maadili ya kazi,he/she will be PERSONNALLY LIABLE!na lazimishwa 'kustep-down' ili sheria i act-upon!

kibongo-bongo!.......................HAINA MBAYA
 
Swali langu hao waliokuwa wanaandika hati hiyo ya awali hawakuwa na ujuzi wa namna ya kuiandika hati hiyo? si ni wanasheria hao?

hao hao tumewasomesha kwa kodi zetu mpaka majuu huko kila angle ya dunia imradi wapate elimu kumbe wanaenda kutalii na kuzunguka zunguka na kupiga misere miingi kwenye majiji ya watu utendaji kazi ni wa kimazoea tu yaani tunakazi.
 
KWA HIYO HAJAACHIWA HURU!au sijakuelewa?
Geoff HAWAJAACHIWA HURU bali wamefutiwa mashtaka yao kwa kuwa hati ilikuwa na makosa so makosa bado yapo ila inatakiwa iandikwe hati mpya ya makosa hayo. Ndio maana hawajaruhusiwa kwenda makwao bali watakuwa chini ya ulinzi kituo cha kati kwa Kova.
 
Makosa katika hati hutokea, sio Tanzania tu. Hapa tunazungumzia sheria na si yale tunayofikiri ndio yanakuwa sheria.
 
nani kakwambia hr manager na project manager wanaweza kuchukua $200m za benki kuu peke yao, uongo uliokubuu...
mtuhumiwa wa tatu ni marehemu....
ccm watueleze hizo hela zimeenda wapi
liyumba hana tofauti na marehemu
kama peter nyoni anaweza kuwa shahidi wa watuumiwa wa epa kumfunga liyumba ni kumuonea isitoshe liyumba ametumia hizo hela na madada zetu...
siwezi kuamini hata siku moja liyumba na kweka wamechukua $200m, nina imani kabisa zaidi ya $150m zimechukuliwa na serikali(ccm)
 
huu ndio muelekeo wa kesi zote za kifisadi... watazichomoa "technically", kesi ya mramba na yona kila siku inabadilishwa....ni kweli ni kiini macho....skapegoat...
 
Kwa kweli sitaki kuamini kile ambacho kimekuwa kikinikereketa siku zote kuwa Mahakama zetu, mahabusu zetu na magereza zetu ni kwa ajili ya walalahoi na si vigogo.
 
Back
Top Bottom