Acha kumpotosha Mkuu ujui anafaidika vipi katika ajira yake hiyo
NB:BORA KIDIGO CHA UHAKIKA KULIKO KINGI USICHOKUA NA UHAKIKA NACHO
Umeongea ukweli mkubwa sana.. kwa jina na cv ya laizer studio yake itapata sana wateja... babu tale sio mjinga ku move on.. kwa kutumia kubebwa na diamond kwenda bungeni
Laizer anafuata nyayo za Maco Chali wa MJ. Unajua maishani tunazidiana ndoto. S2Kizzy alipopata jina tu hakuchelewa akaanzisha chake ona alipofika.Uko sahihi mkuu, ana uwezo sana..its time to get what he is worth
Haaπππ ππππππππππΆππππUsichokijua ni kuwa wasanii wa bongo wako kwa upepo yaani kama biashara ya bar.
Producer ukiwa na upepo kwa wakati huo wasanii wote wanakuja kwako, ukikata wote wanahama wanaenda kwingine. Ni heri abaki hapo kwenye uhakika.
Nyie ndo mnafanya Tanzania iwe masikini hadi leo, na ndo mana Kenya wanakuja kuchukua ajira za wa TZ kwa ushauri kama huu unaoungea....... Kila mtu akijiajiri unadhani maisha yatakuwaje.?Hello dear...
i just think its time to move on, leave Wasafi...
Fungua kampuni yako binafsi,
Wasanii wawe Free kuja kwako,uwatengenezee nyimbo zao..
Awe Diamond,Harmonize au msanii yeyote...
Ila malipo,yawe per nyimbo...
Na sio kwa mwezi tena,
Its scary to gamble especially kama upo kwenye comfort zone ya kulipwa mshahara kila mwezi...
But trust me, you have got a lot of potential...plus ushajijengea jina tayari,hutakosa kazi....
Tumia talent yako uliyopewa na mwenyezi Mungu fully..
Thanks.
Yaah yaani kuna kuwa na ile bar gani ndio habari ya mjini. Utaona wote wanahama bar. Wajanja huwa upepo ukikata wanafanya ukarabati na kubadili muonekano. Utaona tena kundi lote linarudi.πHaaπππ ππππππππππΆππππ
Kama Biashara Ya Bar
Usemacho Kina Ukweli π€¨π ππYaah yaani kuna kuwa na ile bar gani ndio habari ya mjini. Utaona wote wanahama bar. Wajanja huwa upepo ukikata wanafanya ukarabati na kubadili muonekano. Utaona tena kundi lote linarudi.π
Walevi huwa wanaarifiana machaka mapya au yaliyoboreshwa.
[emoji23][emoji23]Yaah yaani kuna kuwa na ile bar gani ndio habari ya mjini. Utaona wote wanahama bar. Wajanja huwa upepo ukikata wanafanya ukarabati na kubadili muonekano. Utaona tena kundi lote linarudi.[emoji3]
Walevi huwa wanaarifiana machaka mapya au yaliyoboreshwa.
Mziki wa kibongo producer ukishatengeneza biti ukalipwa chako ndio basi tena,ktk tasnia ya mziki maproducer hawana heshima wengi wanavuma kipindi fulani baadae wanapotea.Sio kwamba hawajui No bali wakipandisha hela za kutengeneza biti na kutaka win to win endapo kazi aliyo izalishwa itatumika wasanii wanawakimbia.Swahili Je,Zile beats ni mali ya Lizer au ni Wasafi?na je kama ni mali ya Wasafi yeye kama producer beat ni copyright yake ananufaikaje?
Acha kumpotosha Mkuu ujui anafaidika vipi katika ajira yake hiyo
NB:BORA KIDIGO CHA UHAKIKA KULIKO KINGI USICHOKUA NA UHAKIKA NACHO