Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Akili za kimasikini hizi. Matajira wanapanua wigo, they are taking risk. Wanapasua vichwa, hawakai kwenye comfort zone.Acha kumpotosha Mkuu ujui anafaidika vipi katika ajira yake hiyo
NB:BORA KIDIGO CHA UHAKIKA KULIKO KINGI USICHOKUA NA UHAKIKA NACHO
Labda sija eleweka vizuri au uja nielewa ,na maana sometimes ili mtu afanikiwe ina bidi uwe Risk taker ila siyo kwa kukurupukaAkili za kimasikini hizi. Matajira wanapanua wigo, they are taking risk. Wanapasua vichwa, hawakai kwenye comfort zone.
Hebu fikiria Toyota angekuwa anategemea soko la Japan peke yake je leo ingekuwa kampuni kubwa?
Challenge muhimu Mkuu ila siyo una ingia ulingoni kwa kukurupuka kwa kuwa una jina , muhimu uwe na mikakati thabit, Lizer ni producer mzuri ila siyo the best kuliko wote bongo kinacho fanya anukie ni ilo uwaridi pembeni yakeWakuu mbona waoga wa challenge mpya ??
Mlimdanganya mavoko na yule baunsa wa diamond hata yule dogo alikuwa mtu wa mavazi wa diamond, wote wanatia huruma kwa sasa... Kuna vita kubwa na unafiki kwenye huu muziki bora kujijenga kimaisha kwa mshahara wa uhakika unoupataUmeongea ukweli mkubwa sana.. kwa jina na cv ya laizer studio yake itapata sana wateja... babu tale sio mjinga ku move on.. kwa kutumia kubebwa na diamond kwenda bungeni
Hivi yule mpiga picha sijui kifesi nae aliishia wapi?Mlimdanganya mavoko na yule baunsa wa diamond hata yule dogo alikuwa mtu wa mavazi wa diamond, wote wanatia huruma kwa sasa... Kuna vita kubwa na unafiki kwenye huu muziki bora kujijenga kimaisha kwa mshahara wa uhakika unoupata
Hakuna anachofanya beats zake sare sare kama uniformsHello dear...
i just think its time to move on, leave Wasafi...
Fungua kampuni yako binafsi,
Wasanii wawe Free kuja kwako,uwatengenezee nyimbo zao..
Awe Diamond,Harmonize au msanii yeyote...
Ila malipo,yawe per nyimbo...
Na sio kwa mwezi tena,
Its scary to gamble especially kama upo kwenye comfort zone ya kulipwa mshahara kila mwezi...
But trust me, you have got a lot of potential...plus ushajijengea jina tayari,hutakosa kazi....
Tumia talent yako uliyopewa na mwenyezi Mungu fully..
Thanks.
Wewe ni mwanaume?Chawa mmeanza tayar ,.... ila kwenye My number one ya Rayvanny ft Zuchu, mwamba kagonga beat tamu kinyama hasa Zuchu anapoanza filimbi nitapuliza kuita ndege waje, a magnificent tune ever
Dahhhh.....
Ebu ngoja niendelee kusoma komenti, labda nitaelewa baadae maana hapa naona beats, laizer, chawa na hapo ndio mnanichanganya zaidi....[emoji69][emoji69]
Laizer anabebwa na brand ya Wasafi ingawa pia Ni producer mzuri Rebeca 83 Ushauri wako sio mzuri Kuna kipindi T-touch alin'gaa Sana jiulize Sasa hiv Yuko wapi? Abidad Yuko wapi? Man Walter aliwahi kusema baadhi ya kazi alikuwa halipwi na Alikiba mpaka ugomvi ukatokea jiulize Kama kiba hamlipi vipi kuhusu Wasanii wengine?sio kujitegemea ndio kufanikiwa kumbuka kifesi aliondoka Wasafi kwa hiko kichaka Cha kujiajili jiulize Sasa hiv Yuko wapi? Wakati mwenzake Luakamba anazidi kun'gaa na amepiga hatua kubwa Sana.Mlimshauri Mavoko asepe Wasafi Yuko wapi Mavoko now?Hello dear...
i just think its time to move on, leave Wasafi...
Fungua kampuni yako binafsi,
Wasanii wawe Free kuja kwako,uwatengenezee nyimbo zao..
Awe Diamond,Harmonize au msanii yeyote...
Ila malipo,yawe per nyimbo...
Na sio kwa mwezi tena,
Its scary to gamble especially kama upo kwenye comfort zone ya kulipwa mshahara kila mwezi...
But trust me, you have got a lot of potential...plus ushajijengea jina tayari,hutakosa kazi....
Tumia talent yako uliyopewa na mwenyezi Mungu fully..
Thanks.
Wacha uoga. Huyo aliyemwajiri alithubutu kwa kurisk kidogo alichopata ili apate kikubwa. Hapa ni talent, mtaji na uthubu tu baassiAcha kumpotosha Mkuu ujui anafaidika vipi katika ajira yake hiyo
NB:BORA KIDIGO CHA UHAKIKA KULIKO KINGI USICHOKUA NA UHAKIKA NACHO
pumbavuWewe ni mwanaume?
Kama harmonize nyimbo zake no creativityHakuna anachofanya beats zake sare sare kama uniforms
Huyo S2Kizzy mwenyewe pia anavimba Town kwa sababu ya kupata sapoti ya hao hao akina Diamond. Ambao ndiyo wanamlipa vizuri kwa kazi anayofanya (kuwagongea beats).Laizer anafuata nyayo za Maco Chali wa MJ. Unajua maishani tunazidiana ndoto. S2Kizzy alipopata jina tu hakuchelewa akaanzisha chake ona alipofika.
😲Kuna watu mna utani.
Mwanamuziki yeyote wa wasafi akitaka kutoa ngoma ambayo ana lengo iwe ya kimataifa laizer hua anawekwa kando.
Ila wakitaka nyimbo zina beats basic ndiyo laizer anahusika. Ngoma kama Sikomi, Kijuso na nyimbo zote zenye beat komedi ndiyo mambo ya laizer.
Leo atoke afanye nini? Huko nje kuna wakina S2Kizzy wakina Chali, T Touchez n.k hawezi survive.