Lizer wa wasafi...its time to move on

Dahhhh.....
Ebu ngoja niendelee kusoma komenti, labda nitaelewa baadae maana hapa naona beats, laizer, chawa na hapo ndio mnanichanganya zaidi....[emoji69][emoji69]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu tupo pamoja
 

Mkuu ushauri mzuri sana huu wa kutokua na maugomvi na mashindano. I just think if Wasafi wants to keep him ,then walimpe vizuri, 10-20% ya mapato yote ya nyimbo aliyotengeneza ingependeza wamlipe, instead of mshahara. Anyway sijui haya mambo ya Music,especially kujua haki za wasanii,producer or label , ila inaelekea kuna mambo mengi ndani ya carpet.
 
yeye Lizer kuendelea kubaki Wasafi hakumuharibii chochote kile pale anapotaka kufanya kazi na wasanii wengine nje ya Wasafi.
Ameshasema mara kadhaa tu kuwa yupo Free kufanya kazi na msanii yeyote yule kama tu atalipwa pesa yake vizuri.

Ubaya ni kwamba wasanii wengi wanapenda vitonga, hawapendi kulipia studio sessions. Na wanapenda Beats za bure bure..
Wasafi wao ndiyo wanaomlipa vizuri, ndiyo maana yupo bize kufanya kazi nao.
S2Kizzy pia naye alishasema hili Mara kwa Mara kuwa wasanii wengi hawapendi kulipa studio wanapenda beats za bure.
Na kuna utitiri wa producers (music composers ) hivyo ni rahisi kwa wasanii kuendelea kupata beats za bure bure wapendavyo.
Na producer anaye-trend basi wasanii wote wakubwa wanakimbilia kwake kama watu wanavyokimbilia Bar mpya iliyofunguliwa.
Akichokwa anawekwa pembeni.
Akiibuka tena producer mwingine upepo ukamkubali na ku-trend basi naye atakimbiliwa pia vile vile.
MY TAKE:-
Producer kama umeshatengeneza Jina (brand) na uko na Connection za kutosha na Major Stakeholders wa Mainstream Music ya Bongo, basiiii hapo tumia CONNECTION zako na BRAND (jina) yako kuanzisha KAMPUNI na Recording Label itakayosimamia WASANII na kuiSajili rasmi, Halafu chukua Wanasheria wakusaidie kuandaa MIKATABA ya kazi kwa Wasanii wako utakowasaini kwenye RECORDING LABEL yako.
Wasanii wako hao waliopo Label wakifanya Shows/Performance, Online, Matangazo, Endorsement Deals, Image Rights etc. basi mnagawana Percentage za Mapato.
Pia Shows siyo mpaka usubiri uitwe, unaweza kuandaa hata shows zako mwenyewe kama tu ikiwa una Jina tayari kwenye Mainstream Music.
 
Umeongea ukweli mkubwa sana.. kwa jina na cv ya laizer studio yake itapata sana wateja... babu tale sio mjinga ku move on.. kwa kutumia kubebwa na diamond kwenda bungeni
Unajua maana ya kumove on?
 
Haa[emoji16][emoji23][emoji28][emoji57][emoji57][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji55][emoji57][emoji3][emoji23][emoji16]
Kama Biashara Ya Bar
Watu wanafuata bar yenye malaya wapya
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu tupo pamoja
Hapana mwali, tatizo mnaniacha mbali zaidi huku nyuma mwishoni kabisa...πŸ˜•πŸ˜•
 
Hapana mwali, tatizo mnaniacha mbali zaidi huku nyuma mwishoni kabisa...[emoji53][emoji53]

Me na wew tuko seat moja mkuu mwnyewe sielew naona mapichapicha tu[emoji848][emoji848]
 
Mkuu ukifatilia mziki wa bongo , producer si chochote ndo mana lamar anauza ubwabwa na kuosha magari, master J naye haelewek akina makochali hao , Wataalam kama PFunk , Tuddy hawasomeki man water analia lia tuu....

Tatizo linakuja Diamond anathamin Sana wafanya kaz wake ndo mana inafkia hatua watu tusiojua tunahsi huenda wananyonywa ,....

Producer unalipwa Laki moja na msanii, msanii mkubwa ambao ni wachache anakulipa 500K au 1Million per beat, diamond anatoa mpak 5Million, ...juzi S2Kizz kapost gar producer mwenzako kamkatalia kuwa hawez kununua gari ya vile Kwa hela ya production may be ana mishe zingine au Diamond kamtunuku tuu....somtyme wanafikia hatua ya kuimba tuu sasa na wao....mziki wa Tanzania bado ni mchangao
kuendana na haki za maproducer kama ilivyo nje ....
Diamond anajitahdi Sana kiukwel kuwalipa vizur mi siombei Laizer atoke WCB ajijenge Tu pale pale kuna maproducer wakubwa Tu wanataman nafas yake hapo..... Soko halipo fair na kuligeuza ni kazi kwel kwel
 
Watu hawajui Hits Songs za Asley 80% zote katengeneza Zest kwenye studio yake ambayo ipo Tabata karibia na shule ya Remnant Academy,lkn hajunufaika chochote na kazi za Aslay nilisikia akilalamika sana kwa jinsi Aslay alivyo mfanyia.Sasa hivi nimesikia hata ukimpa ofa za pombe mizinga ya Konyagi kazaa anakutengenezea biti na siku hizi nae ameamua kuimba.

Sijajua kama Kala Jeremiah kama nae anamlipa vizuri Zest,manake naye kafanya nae kazi sana na hakauki kwa Zest.

C9 kaachana na kutengeneza biti kafungua banda lake la mabati anauza mitumba na kuna nyimbo za wasanii wakubwa kazishikilia kasema haziachii mpaka alipwe.

Najua dada yangu Rebeca 83 unaona labda Lizer kama ananyonywa lkn ile nafasi ya Lizer WCB maproducer wengi wanaitaka.

Wasanii wanabadilisha mandinga kila siku,lkn maproducer hata baiskeli hawana ndio maana Lamar kaamua kukomaa na Car wash na mgahawa wake,Duke Touch yeye anapiga kazi za fenicha kama kutengeneza masofa,partition hizi maofisini na fenicha nyenginezo,Master Jay issue iliyo mtoa nasikia alinunua eneo kubwa sana Kigamboni miaka ya nyuma akawa anauza viwanja huko ndipo palimtoa,P Funky nae kalalamika sana kidogo kapoozwa na mil 100 aliyoipata baada ya kazi yake kutumika huko ktk filamu Hollywood,Macco Manecky wote wanafanya shughuli zao nyingine.

Labda serikali watakapo tunga sheria za kuzisimamia kazi zao walizo zalisha pindi zitakapo tumika,kidogo wataheshimika na kupata wanacho stahili.
 
Ni kweli kabisa, rejea kisa cha man water na ali kiba
 
Nyie ndo mnafanya Tanzania iwe masikini hadi leo, na ndo mana Kenya wanakuja kuchukua ajira za wa TZ kwa ushauri kama huu unaoungea....... Kila mtu akijiajiri unadhani maisha yatakuwaje.?
Mbona hawamwambii Millard Ayo aanzishe "Clouds" yakeπŸ€·β€β™‚οΈ
 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 

WAPAMBE NUKSI.
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™πŸ™πŸ™
 
Shukrani tena.

Amigo haya mambo yanasumbua kwa mbali namkumbuka majani maana hawakuwa wengi kama sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…