Lizer wa wasafi...its time to move on

Waswahili yatuuafika stage hii
Acheni uongo na kuabudu watu, eti Diamond anakipa watu vizuri mbina maisga yak wanitoka hapo hayaekeweki?

Unabwabwaja jwa ujasiri utafikiri unaonaga salary slip za hao wafanyakazi waje
 
Jeje beat kanyonga "KP Vibes" wa Nigeria... Acha uongo
 
Yaani siku analogwa atoe mguu nje ataona hiyo nafasi itakavyopigwa fasta fasta. Kuna watu kama 1K wanaimezea mate hiyo nafasi na wengine ni wazuri na wakali kuliko huyu mnayemwambia atoke ila hawajapata nafasi ya kusikika tuu
 
Waswahili yatuuafika stage hii

Acheni uongo na kuabudu watu, eti Diamond anakipa watu vizuri mbina maisga yak wanitoka hapo hayaekeweki?

Unabwabwaja jwa ujasiri utafikiri unaonaga salary slip za hao wafanyakazi waje

Multiple ID at work
 
Umeongea as if hujui producers wanavyofanywa na wasanii...watapiga beats naww kama mwaka kisha watakukimbia.. it's better abaki hapo hapo kama wanamlipa fresh

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Kwani lini nyimbo za Bongo ziliwahi kuwa dhahabu labda?

Wabongo kitu pekee tunachoweza kukifanya kwa ufasaha kabisa ni kupondana
 
Kuna producer mkubwa sana hapa bongo alipost ndinga yake mpya mitandaoni.......maproducer wenzake wakubwa wakamjia juu kwamba labda kama amenunua kwa hela za mishe nyingine na sio hizi za kutengenezea beat wasanii
Kwa sababu kwenye industry ya muziki Tz producers ndio wanaonyonywa balaa kwa malipo kiduchu

Producers ni kama baa mpya vile ukivuma upepo kila msanii atakukimbilia na vilaki laki vyao na mikopo, na baada ya muda anavuma Mayu wanakuhama na hawakulipi

Hakuna producer hata mmoja aliyedumu kwa game miaka lukuki
 
Kwani lini nyimbo za Bongo ziliwahi kuwa dhahabu labda?

Wabongo kitu pekee tunachoweza kukifanya kwa ufasaha kabisa ni kupondana
Unamjua P funk majani, Master J au umezaliwa mwaka 2000.

Wazee wa nyimbo za views
 
Unamjua P funk majani, Master J au umezaliwa mwaka 2000.

Wazee wa nyimbo za views
Ninapo sema hakuna maproducers waliodumu mda mrefu sikumaanisha hawadumu wanakufa...........nilimaanisha wanaodumu kwenye game

Hao akina Master J na Majani wanapiga issue zao zingine kabisa
 
Challenge muhimu Mkuu ila siyo una ingia ulingoni kwa kukurupuka kwa kuwa una jina , muhimu uwe na mikakati thabit, Lizer ni producer mzuri ila siyo the best kuliko wote bongo kinacho fanya anukie ni ilo uwaridi pembeni yake

yaaah labda ivyo ila mzee, nilichokuwa napinga mimi ni namna ulivyopresent ulichokisema ni kama utaka kusema jamaa mlango wa WCB ukifunga hana code ya mlango mwingine, kwenye hilo ndio huwa siamini sababu kuna namna ambayo Mungu huwa anajua kuyaweka mambo level kwa watu wake sababu anajua leo na kesho.
 
Wacha uoga. Huyo aliyemwajiri alithubutu kwa kurisk kidogo alichopata ili apate kikubwa. Hapa ni talent, mtaji na uthubu tu baassi
Siyo uwoga Mkuu
Labda sikueleweka vizuri Mkuu
 
Naomben kuuliza hv ni producer gan alitengeneza beat ya benpol moyo mashine pale kati kuna mlio mmoja hatar sn kuna siku nilikuta bar namwaga mauno baa nzima iliinuka kila mtu na wake aisee ile beat sitaosahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…