Acha dharau.natamani SSH aachane kwanza na project kubwa kama hizi kwanza mpaka amalize mda wake. akija mtu ambae ana balls za kusema no kama JPM ndio afanye hivi vitu.
SSH ndie raisi wa JMT. Unatakiwa kuishi na ukweli huo.SSH ni Rais wa wawekezaji sio watanzania, yupo kulinda maslahi ya wawekezaji sio watz, ukisikiliza speech zake unaweza pata kichefuchefu, kuanzia kutoa work permit kwa foreigners kadri watakavyo hadi kulazimisha mikataba ya extractive industry kusainiwa haraka as if anasubiria mlungula, kuna uharaka gani wa kusaini mkataba wa 30bn USD bila kijiridhisha kila kitu, madhara ya mkataba mkubwa namna hii yatakuwa zaidi ya 50yrs, akikosea atakumbukwa for her naivety for generations.
SSH ameshatoa agizo TODC wamalize negotiations haraka, hizi ni akili kweli, hivi unafikiria saivi TPDC wakiwa wanaingia kwenye chumba cha majadiliano watakuwa wana uwezo kukataa chochote huku tayari wamesha agizwa wasaini mkataba haraka ?Acha dharau.
Mh Samia ni raisi kamili. Anatosha kufanya maamuzi sahihi kwa kutumia wataalamu wanaomzunguka.
Tatizo la Magufuli alikuwa anajifanya mjuaji wa kila fani hivyo kuwazuia wataalamu kutimiza majukumu yao. Tunao wataalamu wa kutosha kwenye sekta ya gesi wakiongozwa na gwiji dk Mataragio ambaye ana uzoefu mkubwa.
Huyu si anashaurika, mbona mnarudisha majeshi nyuma!?Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.
Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza...www.jamiiforums.com
P
Mkuu unapotosha kwa makusudi..... hvi tuwe wakweli kama UG wangeanza kuchimba mafuta toka 2010 je faida yake ingelingana na leo?Issue sio kuweka wazalendo kwenye majadiliano, isipokuwa nature ya majadiliano ya Oil and Gas yenyewe ni back and forth. Waganda wasingekuwa na msimamo wangepata mkataba mmbaya.
Museveni aliweka environmental conditions na project kadhaa ambazo lazima zifanyike kwanza kabla ya bomba la mafuta kujengwa, that is on top of other concession agreements.
Tullow walipoona awawezi hizo conditions mpya wakauza share zao mziki ukabaki wa CNOOC na Total wakidai awawezi fidia costs za Tullow. Ndio kilichochelewesha bomba kujengwa kwa zaidi ya miaka 5 mpaka wawekezaji wenyewe waka backup sio Museveni.
Mtu hajui majadiliano yamekwama wapi anatoka anatoa pressure tu malizeni, matokeo yake week chache baadae watu kwa kuogopa kupoteza mkate wao wanajikuta wanalazimika sasa kukutana na wawekezaji, it’s simple to see who will have the upper hand in that negotiation na mama mwenyewe sidhani ata anajua ni wapi haswa waliposhindana. Walau huko Uganda walisema tatizo lilipo kwenye media sisi kwetu siri.
Hiyo mikataba finance zake ni very complicated na hao watu wanauzoefu ukiendekeza njaa imekula kwako.
Kuwaachia negotiators waende na mbinu zao.Unapendekeza ingekuwaje sasa?
But sheria mlizotunga zimetoa hiyo provision....Mkataba wa 30bn USD hauwezi wekwa wazi, kama mikataba midogo tu kama ya EACOP, Bagamoyo port wanaogopa, je huu mkataba mkubwa zaidi ya yote katika historia ya nchi yetu nani atakuwa na guts za kuuweka wazi?
Kama umepitia mada yote kuna post nimeeleza, sehemu ngumu za majadiliano ya mkataba ni technical na commercial elements.Mkuu unapotosha kwa makusudi..... hvi tuwe wakweli kama UG wangeanza kuchimba mafuta toka 2010 je faida yake ingelingana na leo?
$70 kwa pipa 2010 ama $50 kwa pipa 2021? Alafu unasema ame delay inasaidia kupata best deal?
U can't be serious
Ni wapi walipangiwa? Je mama naye yumo kwenye timu ya majadiliano? Je majadiliano yamekwama au hayajakwama?Tusiwapangie watu kazi zinazohitaji mkakati kwa kulazimisha wakurupuke.
Mama ametoa pressure watu warudi mezani, huko ndio kuwapangia kwenyewe.Ni wapi walipangiwa? Je mama naye yumo kwenye timu ya majadiliano? Je majadiliano yamekwama au hayajakwama?
I don't think so. Msimchukulie poa Samia hata Kidogo. Hakuna kilaza anayeweza kupata contract renewal kutoka shirika la kimataifa kwa miaka 10. Wengine mna nature ya kuwa pessimistic tu for nothing. Kwanza mnajidanganya kudhani resources sina mipaka. Ndio maana mi binafsi siamini katika natural resources badala yake naamini katika knowledge build up tu ili kufikia maendeleo ya kweli.Mama ametoa pressure watu warudi mezani, huko ndio kuwapangia kwenyewe.
we jamaa hunacjokijua kwenye project za oil and gas, unajua umuhimu wa cotracts zilizosainiwa mwezi uliopita, yaani TTA na SHA? unajua mikataba ya nchi na nchiHuu mradi na Bagamoyo ndio miradi ya uhakika kutiliwa mkazo itekelezwe lakini ule wa bomba la mafuta ya Uganda inaonekana Total na washirika wake hawana nia ya kujenga wanapiga dana dana sasa ni juu ya Uganda atajua cha kufanya
hawawezi, kama kiongozi lazima ujue ABCs kabla hujakubaliKwani hawana uwezo wa kumweleza Kiongozi kama mchakato unalipa au la!?
Contract renewal tena? mada inazungumzia upande wa serikali kujipanga kwenda kumaliza majadiliano ya mradi wa kuvuna gesi hakuna mkataba huo as yet.I don't think so. Msimchukulie poa Samia hata Kidogo. Hakuna kilaza anayeweza kupata contract renewal kutoka shirika la kimataifa kwa miaka 10. Wengine mna nature ya kuwa pessimistic tu for nothing. Kwanza mnajidanganya kudhani resources sina mipaka. Ndio maana mi binafsi siamini katika natural resources badala yake naamini katika knowledge build up tu ili kufikia maendeleo ya kweli.
Nilichomaanisha ni kwamba Samia si Kilaza wa kiwango hicho mnachofikiria maana kama angekuwa hivyo asingeweza kudumu kwenye projects za WFP kwa miaka yote hiyo. Mi namuona Samia ni far better kuliko mtangulizi wake when it comes to presidency.Contract renewal tena? mada inazungumzia upande wa serikali kujipanga kwenda kumaliza majadiliano ya mradi wa kuvuna gesi hakuna mkataba huo as yet.
Nakubaliana na wewe unaposema enhancing knowledge comes first, but then faida yake baada ya hapo ni kwenye kufanya informed decision.
On that note nchi imetengeneza wataalamu wa kufanya hizi negotiations tuwaache sio wanasiasa kuwashinikiza wafanye haraka wakati mambo yenyewe ni tactical.
Ni sawa na kumsikiliza speaker yeye anaamini kabisa kukutana na wakurugenzi wa China Merachants wenye interest na mradi wa Bagamoyo katika ziara yake ya kikazi ilikuwa accident, rather than a set up which looked like an accident wamshawishi kuunadi mradi wao bungeni and it worked.
Sasa watu wanapokaa kimya au kutishia kujitoa aina maana ndio mwisho hizo ni pressure tactics, anapokuja kiongozi na kushinikiza watu wake warudi mezani tena publicly that is just senseless to say the least. Inaonyesha juu wapo despatate na kuwapa bargaining powers investors.
Walau Magufuli was not complacent on technical matters, asipopaelewa hashinikizi sana analaumu hao watu wanamkera lakini hatoi force.Nilichomaanisha ni kwamba Samia si Kilaza wa kiwango hicho mnachofikiria maana kama angekuwa hivyo asingeweza kudumu kwenye projects za WFP kwa miaka yote hiyo. Mi namuona Samia ni far better kuliko mtangulizi wake when it comes to presidency.
Ukisikia Ukipenda Chongo Huita Kengeza ndio huku sasa. All ze best sir/madamWalau Magufuli was not complacent on technical matters, asipopaelewa hashinikizi sana analaumu hao watu wanamkera lakini hatoi force.
Mfano Magufuli katika taasisi ambazo zilikuwa zinamkera ni NEMC lakini hakuna hata siku moja alilazimisha waache kufuata process zao if anything alitaka ziwe za haraka tu.
Magufuli akiongelea technical issues za miradi pamoja na kuongezea chumvi zake kupinga ukija kusikiliza maelezo ya mtaalamu unaona kabisa pamoja na hayati ku twist mambo kadhaa kwa kile anachoamini (either ana support project au against) ukija sikiliza maneno ya wataalamu unaona he was briefed on where the empasse lies.
Sasa mtu anatoka tu na kuwapa watu pressure malizeni wakati negotiations ni tactic that’s just complacency at best.
I love mama too, but mine is usually tough.Ukisikia Ukipenda Chongo Huita Kengeza ndio huku sasa. All ze best sir/madam
Kuunganisha dots ni muhimu. Mkuu unajua ni nani main contributors in terms of funds WFP? Tumeelezwa, makampuni haya yako cosponsored na baadhi ya serikali za nchi zao. Zipo njia nyingi za kufanya lobbying.kama angekuwa hivyo asingeweza kudumu kwenye projects za WFP kwa miaka yote hiyo