LNG plant in Lindi

LNG plant in Lindi

Professor Muhongo alipoletwa kutoka S.A jambo la kwanza alilofanya lilikuwa kutengeneza sheria za PSA frameworks za majadiliano. Before that hata sijui walikuwa wanaingia mikataba ya aina gani.

Baada ya sheria za Muhongo serikali ilikuwa aiwezi kutumia any other agreement kwenye kutengeneza mikata ya Oil and Gas zaidi ya PSA tena aliweka na madaraja kabisa ya government share based on reserve amount za visima the higher the reserve goes with government higher shares.

Hilo jambo linaweza kuwa na ukakasi kidogo kutokana na nature of the market prices but it was the best approach which required some amendments. Who knows ni frameworks zipi walitumia huko nyuma zinazofanya Barrick mpaka apate 50% of economic benefits leo it’s absurd.

Kasheshe sasa huyo Professor Muhongo pamoja na kuokoa jahazi, hizo sheria za PSA zilipita kwa hati ya dharura na kuna watu walikuwa wanalilia vitalu vya bure kina marehemu mengi ili baadae wafanye udalalali wa visima. Akawaambia ukweli watanzania wanamitaji ya viwanda vya juisi tu, vinginevyo na wao waka-bid vitalu kama wawekezaji; hayo matusi aliyopokea mungu anajua.

Sasa leo kuna mafisadi wamekimbilia kununua viwanja kusini kwenye maeneo ya mradi na bei za fidia wameziongeza, wao wanachotaka mradi uanze walipwe fidia to hell na mambo mengine, hawa ndio wapiga makelele wakubwa mitandaoni mradi uanze.
Professor alikuwa sawa kabisa na uwekezaji huu sio kuwa na pesa tu ni utaalamu na technology kampuni kama Total na Shlumberger wako vizuri katika mambo ya reservoir sababu wame invest sana. Lakini ziko kampuni nyingi ila reservoir management ni muhimu sana kuwa na wataalamu na data base wasikubali wamiliki wao ni lazima iwe shared.
 
Haya ndo mawazo ya kutoa. Sio mtu anasema majadiliano yachelewe wakati Kuna fursa kama Taifa tunapoteza.

Wataalamu wa haya mambo mnatakiwa mtoe haya mawazo kwa uwazi. Shaurini mahali mnapoona serikali ipafanyie kazi na sio kuanza kulalamika.

Mimi kwa kukushauri, naomba andika makala au article na peleka wizara ya nishati, kopi kwa Katibu Mkuu kiongozi, Tpdc, Mama Samia na mwisho publish iyo article yako hata kwenye magazeti kama Daily News, Mwananchi, Habari leo

y
 
Kama unakili wazi kuwa Kuna vitu vizuri vilishawekwa na unaenda mbali kusema kinachotakiwa ni amendement ndogo tu kwa nini unasema mradi uchelewe majadiliano kwa sababu tu Kuna watu wamenunua ardhi???

Kwani kama mradi una faida za kiuchumi kwa Taifa tena za mda mrefu kwa nini ucheleweshe kwa sababu tu Kuna watu wamenunua ardhi ?? Unateswa na roho mbaya au maendeleo ya haraka ya taifa??
Professor Muhongo alipoletwa kutoka S.A jambo la kwanza alilofanya lilikuwa kutengeneza sheria za PSA frameworks za majadiliano. Before that hata sijui walikuwa wanaingia mikataba ya aina gani.

Baada ya sheria za Muhongo serikali ilikuwa aiwezi kutumia any other agreement kwenye kutengeneza mikata ya Oil and Gas zaidi ya PSA tena aliweka na madaraja kabisa ya government share based on reserve amount za visima the higher the reserve goes with government higher shares.

Hilo jambo linaweza kuwa na ukakasi kidogo kutokana na nature of the market prices but it was the best approach which required some amendments. Who knows ni frameworks zipi walitumia huko nyuma zinazofanya Barrick mpaka apate 50% of economic benefits leo it’s absurd.

Kasheshe sasa huyo Professor Muhongo pamoja na kuokoa jahazi, hizo sheria za PSA zilipita kwa hati ya dharura na kuna watu walikuwa wanalilia vitalu vya bure kina marehemu mengi ili baadae wafanye udalalali wa visima. Akawaambia ukweli watanzania wanamitaji ya viwanda vya juisi tu, vinginevyo na wao waka-bid vitalu kama wawekezaji; hayo matusi aliyopokea mungu anajua.

Sasa leo kuna mafisadi wamekimbilia kununua viwanja kusini kwenye maeneo ya mradi na bei za fidia wameziongeza, wao wanachotaka mradi uanze walipwe fidia to hell na mambo mengine, hawa ndio wapiga makelele wakubwa mitandaoni mradi uanze.
 
Kama unakili wazi kuwa Kuna vitu vizuri vilishawekwa na unaenda mbali kusema kinachotakiwa ni amendement ndogo tu kwa nini unasema mradi uchelewe majadiliano kwa sababu tu Kuna watu wamenunua ardhi???

Kwani kama mradi una faida za kiuchumi kwa Taifa tena za mda mrefu kwa nini ucheleweshe kwa sababu tu Kuna watu wamenunua ardhi ?? Unateswa na roho mbaya au maendeleo ya haraka ya taifa??
Sheria ni framework tu ya majadiliano sio kwamba shughuli imeisha kuna nitty gritty aspects za finance pia.

Soma post number #115 ya Heijah amekuelezea kuna initial investment costs gharama za exploration (god knows how much) + investment cost ya plant ($30 billion na yenyewe ina annual principle + interest charge za mkopo) $30 hadi deni liishe unaweza kuta umelipa $60 billion + na kila mwaka kuna operation costs; hizo ni fixed cost ambazo lazima zitoke kwanza.

Hayo mambo yanapelekea watu waamue how many million cubic tonnes za Gas wazalishe kwa mwaka, kuna bei za soko za Gas na mafuta pia ambazo sio stable zinachangia uamuzi wa kuzalisha kwa mwaka, kuna supply and demand vipi demand inaposhuka sana ikabidi wapunguze production who is to cover finance costs for that year or charges if the income is too low.

Ujazungumzia economic benefits za shares mwekezaji anataka asilimia kadhaa ya faida based on certain price, bei ikishuka sio percentage zako za share of profit tu zinapotea bali atataka na kodi upunguze ili yeye alipwe kwanza faida zake, bei zikipanda anataka pia avune zaidi.

Ni hivi finance za hayo mambo ni complicated kuliko unavyodhania kwenye kichwa chako ndio maana hayo majadiliano kuchukua miaka sio jambo la kushangaza kabisa.

Bado ujazungumzia mazingira na mambo mengine ya uwekezaji kama conflict resolution za baadae raisi mwingine akija akakuta mkataba mmbovu akaamua kubadili sheria, etc.

Ukifanya mchezo unajikuta unapokea mapato kiduchu kwa muda mrefu kama ilivyokuwa kwenye madini na kuvunja mkataba wenyewe uwezi.

Sio mambo ya kukurupusha, tuliamua kusomesha wataalamu wa ku negotiate hiyo mikataba waachwe wafanye kazi sio kuendekeza njaa na siasa za majukwaani.
 
Ni wapi huko duniani majadiliano ya mikataba ya gesi yamechukua miaka zaidi ya 6?? Nijibu hapa tu
 
Haya ndo mawazo ya kutoa. Sio mtu anasema majadiliano yachelewe wakati Kuna fursa kama Taifa tunapoteza.

Wataalamu wa haya mambo mnatakiwa mtoe haya mawazo kwa uwazi. Shaurini mahali mnapoona serikali ipafanyie kazi na sio kuanza kulalamika.

Mimi kwa kukushauri, naomba andika makala au article na peleka wizara ya nishati, kopi kwa Katibu Mkuu kiongozi, Tpdc, Mama Samia na mwisho publish iyo article yako hata kwenye magazeti kama Daily News, Mwananchi, Habari leo

y
Nadhani ni wazo zuri nitalifanyia kazi nitaandika na kujaribu kuwatumia nafasi ulizonitajia kwa wahusika sina uhakika nitawafikishiaje ila nataka nitoe mchango wangu kusaidia hili jambo liende sababu naamini kabisa foreign direct investment ni muhimu sana kwa nchi maana tutapa faida kubwa na hapa sio pesa tu ila ujuzi wa watanzania. Na hapa muhimu sana katika PSA kuwa na ratio ya expats na watanzania na mgao wa % uendane na watanzania ku replace wageni japo slowly wakianza kuwa qualified na ili wawe qualified watapitia level tofauti mwisho wa siku PSA ikiwa inaisha unakuwa na rasilimali watu ready to run operation.
 
Ni wapi huko duniani majadiliano ya mikataba ya gesi yamechukua miaka zaidi ya 6?? Nijibu hapa tu
Kujadiliana na watu wavivu wa kujifunza kama wewe ni shida huwa mnaingia kwenye mijadala amna ata ABC za industry husika, mnaanza kutukana watu hawajui wakati wewe ndio hujui.

Ata mtu anapojaribu kukuwekea a very easy to read article upate elimu kidogo amsomi kupata premise ya mjadala, sio huu hiyo knowledge inaweza kukusaidia huko mbeleni.

Link nyingine hiyo nakuwekea Uganda Tullow ndio ilishinda bid 2004 exploration ilianzia 2006 mafuta wamepata 2009. Kama nilivyoeleza awali rarely big companies wanashiriki kwenye upstream exploration hao Total na CNCOOP wameingia kununua share kwa Tullow baada ya kisima kuonekana kina mafuta. Sasa tafuta uone Tullow ni nani hiyo ni government sponsored entity huko UK.

Majadiliano ya pili ya kuanza kutoa mafuta kwenye vitalu na Uganda yalianza 2010 wakaafikiana kwenye technical na commercial aspect kabla 2015, Museveni akaleta hoja mpya za environment na support za local community wakati wanajadili hayo Tullow wakajitoa 2017 kwa kuuza share zao zilizobaki on top ya hoja mpya za Museveni ukaibuka mzozo mwingine wa capital gain tax. Hadi kuafikiana bomba kuanza kujengwa ni 2021 piga hesabu ni miaka mingapi ya majadiliano?

Huo ni mradi wa nchi kavu mkataba wake sio mgumu vile. Sasa unajua environmental concern za marine life kwenye hii miradi with off shore rigs + jumlisha na environmental concern za kujenga LNG hiyo Gas ya baharini inatoka imechanganyika na maji ambayo ni asilimia kubwa, halafu ndio mafuta na Gas.

Umeshajiuliza kama LNG inampango wa kuzalisha 7million tonnes annually ni kiasi gani cha maji machafu yatamwaga? maana kwenye kuchakata inabidi uyatoe maji kwanza ambayo ni very toxic so lazima ujue yanaenda wapi.

Ni hivi watu wanapokuwa wanakosoa kama huna uelewa wa industry yenyewe sometimes bora ufuatilie mjadala au uulize maswali kistaarabu uone wana agenda zao au ni legit concerns; ufafanuliwe kuamua kuliko kuingia kwenye mijadala na kuanza kutukana watu wakati clueless kwenye ABC zake.

Kama nilivyokwambia hayo majadiliano ni tactical and complacency kuzungumza alichozungumza huyo mama mumwambie kazi ya kuendesha nchi inataka umakini sio ya kufurahisha watu.
 
Unajua kuwa waganda wanalalamika kuwa sie Tanzania tumekuwa na terms Nzuri kwa Bomba la Mafuta na Total kuliko walivyofanya wao???

Kuna logic gani ya kufanya majadiliano Kwa muda wote huo alafu wanakuja kulalamikiwa kuwa wamejadiliana hovyo kuliko tulivyojadiliana na kukubaliana sie na hao Total ikizingatiwa sie tumejadiliana kwa muda mfupi??
 
8922D8E7-4A71-41EE-8A07-7A636986BEF2.jpeg

Hiyo ni roughly share ya barrel la mafuta kwa mkataba wa PSA kati ya host nation na mwekezaji.

Bomba la mafuta ni sehemu ya logistic (transportation) hesabu zake ni tofauti na za mkataba wenyewe wa PSA. Bomba ni sehemu ya operation costs na hesabu zake ni kama za service costing.

Tanzania hapo atalipwa hela ya ulinzi wa bomba, port fees na rights za mafuta kupita Tanzania but we have nothing to do with Uganda PSA or whatever contractual framework they have used na wawekezaji wao.

Tatizo lenu mnaokota okota habari mitandaoni na kuongea vitu ambavyo haviwezekani kabisa.

1140953D-2D1A-4052-9366-EF324DA90E81.jpeg

Walioharakisha hao hapo ☝️kwenye hiyo mikataba kuna kitu kinaitwa ‘freezing clause’, maana yake nini? Uwezi badili mkataba huko mbele ukija baini ulikuwa mmbaya throughout its life hao Msumbiji wameridhia hiyo condition.

Sasa kama wamerdhia clause kama hiyo tells you the quality of their negotiators, wakati watu kama nyinyi huku ndio mtakuta kutwa mpo mitandaoni ohoo Msumbiji wamesha sign sisi tunachelea wakati amuelewi ata hiyo nchi imejiingiza kwenye matatizo gani ya kimkataba huko mbeleni.

Sisi tumeweka sheria ambayo ina challenge ‘freezing clauses’ na mambo mengine ya ovyo ovyo yanayowekwa kwenye ‘stabilazation clauses’ za mkataba.

Na hiyo clause ni muhimu sana kwa wawekezaji ni kitu ambacho awawezi kukubali kisiwe permanent kirahisi sisemi hiyo ndio sababu ya mkataba wetu kuchelewa maana sababu zinaweza kuwa luluki.

Tatizo sasa ni watu kama wewe ambao hamjui lolote kuhusu hiyo industry au ata majadiliano yamekwama wapi lakini kutwa makelele ohoo mbona wengine wamefanya hivi; haya mambo sio ya kuiga nani kafanya nini. Unaingia na position yako na kuisimamia kidete mpaka mwisho kama una amini ni kwa maslahi ya nchi sio tumbo lako.
 
Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.

P

Wewe wasiwasi wako nini wakati majadiliano yatafanyika!!---- majadiliano maana yake ni Win-Win situation.

Inatakiwa katika majadiliano tusiweke "Wachumia tumbo/ Wajasiria tumbo" kuiwakilisha nchi.
 
Back
Top Bottom