LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

ChoiceVariable

Walau siku hizi umejirekebisha kwa kupunguza kutukana watu humu na kuwapa label za wivu wakiwakosoa chawa wanaokulipa.

Back to the discussion Tanzania sio sawa na hayo makampuni Equinor, Shell na Exxon Mobil; hayo ni giants wa ‘oil and gas’ industry in terms of revenue na assset value na nadhani wote wapo kwenye top ten kwenye industry.

They don’t come bigger than those kwenye oil and gas na awaendi kwenye reserves tia maji tia maji, ukiona mmoja wapo yupo sehemu elewa hapo kuna reserves kubwa na ukiona watatu kama hao wapo pamoja basi hiyo reserve sio ya kitoto kabisa. Hao watu wanaweza kuwa na data kushinda serikali kuhusu ivyo visimsna pamoja na geogology ya hilo eneo kwenye faida za unitisation.

Equinor yenyewe ina ‘fund wealth value’ ambayo inamilikiwa na nchi yao ‘Norwegian wealth fund’ ambayo reserve iliyopo ni zaidi ya $1.3 trillion hizo hela wana invest kwa kukopesha. Bado as businesses Shell, Equinor na Exxon si ajabu capital reserves zao kila mmoja zinavuka $50 billion. Kwa pamoja hawakosi $150 billion.

Kwa maana hiyo wanaweza fund huo mradi bila ya kukopa wao wenyewe, au wakapata hiyo hela through ‘Norwegian wealth fund’ with low interest. Sasa how much hiyo hela inatoka private banks kuna huge implications kwenye return let alone kama ni necessary yote hiyo si ajabu $25 billion is more than enough kwa hiyo investment.

Nchi kama Tanzania aiwezi dengua na uwekezaji kama huo si JK, Magufuli wala Samia; Issue ipo kwenye win-win situation maana hivyo vitalu jamaa tayari wana exclusive rights ambazo uwezi wanyang’anya bila ya kulipa fines kubwa za billions of money.

Na haya mambo negations zake ni complicated hao wawekezaji hawana haraka kwa sasa wana biashara zenye faida na option za kwenda kwingine. Ila awawezi acha kuja na position ambayo ni very unfair and favourable to them. Lazima uwe makini, kudengua pia ni sehemu ya negotiations ili usionyeshe desperation ni kitu critical kwa host nation hasa maskini.

Wizara akaenda kupewa poyoyo asiejua lolote kuhusu game linavyochezwa yeye anachojua ni kuonekana mtu progressive mbele ya wazungu sijui yeye ni business minded etc with his stupidity (ignorance is bliss).

Anachojua kuna $42 billion bila ufahamu wa nitty gritty details za hizo investment akitokea kwenye media anatoa amri nimeagiza waanze makubaliano na wamalize ndani ya muda fulani na hadithi zake za local contents; huyu ndio kaiingiza nchi katika disadvantage kwenye hizo negotiations from the outset kwa uropokaji wake.

Sasa kumbuka hizi talks zilishaisha isha na contract drafted. Hizo draft baada kufika serikalini lazima kuna mambo wamebaini madhara yake ya muda mrefu ndio maana wamesita ku-sign toka December tarehe iliyopangwa. Nyie badala ya kuacha serikali ifanye mambo kwa utaalamu mnaleta ushabiki wa kishamba bila kujua madhara yake ya muda mrefu na kwamba hizo kelele zina faida kwa wawekezaji kwenye Kuipa serikali pressure.
 
Huu ndo ukweli mkuu mia kwa mia🙌🏾

Sasa ebu toa ushauri wako tufanyeje?
 
Next nonsensical post nakupeleka ignore list.

Au unaweza endelea bila ya kuni quote sina muda wa kujibu utoto.
 
Bila shaka unawazungumzia Patrobas.

Kila jambo linaanzia na nia ya dhati, sidhani kama tukiwa na nia ya dhati Kwa kuwekeza kwa watu wetu na kuwa watalaam wabonezi + plus vifaa tutashindwa.

Unataka kuniambia tukitengeneza watalaam wetu tutakosa fund ya kufanya hata exploration kwenye dhahabu, almasi nk pamoja na kuchimba?.
Hata hiyo gas na mafuta gharama kubwa sana IPO kwenye offshore exploration hasa kwenye kuhire drill rigs au drill ships pamoja na accessories zake, naamini hizi onshore tunaweza kuzifanya na hata kuchimba.

Shida yetu kubwa akili zote ziko kwenye siasa kuanzia wanasiasa wenyewe, wananchi mpaka watalaam watendaji.
 
Tatizo la tanzania. Mladi unachelewa, wananchi hawaelimishwi vya kutosha juu ya matumizi yao majumbani nk. Hata wale wanaotumia ges majumbani bei ya ges inapanda kila leo.

Mimi naona watu waelimishwe kwanza juu ya matumizi gas majumbani, ishushwe bei hadi kila mwananchi aweze kuitumia, ikuwezekana kila kata iwekewe kituo maarum cha kujaza ges nchi nzima.
Hadi ifike wakati kila mtu aone kutumia ges ni kitu cha kawaida kama watu wanavyotumia mkaa au kuni. Isiwe mtu mkitumia ges aonekane spesho.
Wakifanikiwa hili, hata ikiwa inasafirishwa mwananchi analizika.
Haiwezekani unatangaza matilioni kuingia nchini wakati huo kwa mwananchi bei zinapanda kila uchao.
 
Mkuu umemaliza kila ,hawa wanaopiga kelele leo kuwa tunachelewa na ndio hawahwa wataanza kupaaza sauti kuwa tumepigwa.Ningekuwa na uwezo ningemeambia mheshimiwa Rais hili swala halina haraka hadi pale itakaponekana uwepo wa win win deal na sio vinginevyo .
 
Huyo mimi nilishamuweka kwenye ignore list kwahiyo sijui hata alichoandika. Lakini kutokana na hii response yako, inaonekana sina haja ya kufahamu alichosema.
Hata jina lake ni laana tu huyu jamaa ni mshari sana ni wa kumtupa kapuni tu
Ana matusi ya kijinga na hana hoja ni wale mama zao wakiwa wanawaita wanasema we mbwa njoo
Unategemea nini hapo
Just ignore him for good he's nothing
 
Huu ni mjadala wa kitaifa kuhusu mradi mkubwa wa gesi Tanzania. Wachangiaji tunawaomba humu.
 
Kwanini serikali isitafute consultant wa kimataifa mwenye uzoefu na Biashara ya gesi ili atusaidie ku-nogotiate hii deal ya kimkakati!!
Mama Samia na yeye sometimes awe anasimama kama Mkuu wa nchi ili kusukuma masuala nyeti,unawezaje kuvuta miguu kwenye deal ya pesa ndefu kama hii!
 
Si salama kufanya miradi ya fossil fuels tena siku hizi ambapo miradi hiyo inaendelea kupata pingamizi kutokana na climate concerns.
 
Watatumia mabilioni ya Dola kuhonga wanasiasa Ili tu mambo yasiende.
tatizo la wanasiasa wetu manyangau wanaweza kuihujumu kama walivyofanya awamu ya 4 ambapo wabunge wa CCM walihongwa na 'watawala' wakabariki mikataba ya hovyo kabisa!
 
Thamani ambayo ExxonMobil wanawekeza kwenye mradi huu ni kubwa kuliko GDP ya Tanzania kwa mwaka.
 
tatizo la wanasiasa wetu manyangau wanaweza kuihujumu kama walivyofanya awamu ya 4 ambapo wabunge wa CCM walihongwa na 'watawala' wakabariki mikataba ya hovyo kabisa!
Mkataba gani wa hovyo wa gas ulisainiwa awamu ya 4!?..uhovyo wake ni upi!?
 
tatizo la wanasiasa wetu manyangau wanaweza kuihujumu kama walivyofanya awamu ya 4 ambapo wabunge wa CCM walihongwa na 'watawala' wakabariki mikataba ya hovyo kabisa!
Mkataba gani wa hovyo wa gas ulisainiwa awamu ya 4!?..uhovyo wake ni upi!?
Hata jina lake ni laana tu huyu jamaa ni mshari sana ni wa kumtupa kapuni tu
Ana matusi ya kijinga na hana hoja ni wale mama zao wakiwa wanawaita wanasema we mbwa njoo
Unategemea nini hapo
Just ignore him for good he's nothing
Mama yangu!!?..nyie mnatukana watu mkirudishiwa matusi yenu mnalia,mama yako alikuleaje!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…