LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

Hapa wamarekani wameshahisi kuwahiwa na wengine.maana hao BP wanaofanya na TPDC ni BP wa wapi?

Usikute BP mchongo tu.kuna nchi ingine kabisa ambae ni hasimu wa marekani.
Kwa dunia ya leo, viongozi wa serikali wasiwe na tamaa..
Wawe makini wasije kutuletea magaidi na vita za kijinga.
 
Jadili hoja sio kuwasema watu. Kuwasema watu ni dalili mbaya katika ubongo.
 
Mkopo huo anayekopa ni hizo kampuni,so mrudishaji ni kampuni husika kupitia biashara hiyo ya gas,kwenye madini kule siku zote tukitaka waongeze mrabaha wimbo wao ulikua 'mikopo tunayochukua kuendesha mgodi Ina riba kubwa'...lakini Sasa suala la mwisho ni kwamba negotiations zinaendelea,so hakuna mkataba bado,mtu/Waziri ataelezaje faida ambazo Tanzania itazipata wakati mkataba bado!...
 
Na kwenye rasilimali hapo ndo wazungu huwa wanapeleka Vita,Mara ISIS Hawa!..kule msumbiji sijui nani kakosa mpaka kawapelekea wenzake ISIS,maana wanaochimba nadhani ni USA na france
 
Rejea mswada wa dharura uliopelekwa bungeni tena kwa speed ya 5G awamu ya 4 kupitisha mikataba ile ya hovyo ya Gas tena walipewa kitu kdg, wabunge wa Upinzani wakaipinga sana na siku ya kupiga kura wabunge wa upinzani walitoka NJE!
Nimeuliza uhovyo wa huo mkataba ni upi?..sinauliza namna ulivyopitishwa, sababu gas ya mtwara tunamiliki kupitia tpdc kwa 20%,na juzi niliona tpdc kutaka kununua hisa zifike 50+%,uhovyo wa mkataba ni nini!?
 
Wazo ni zuri sana sana, lakini kunena ukweli moja kati ya sehemu ambazo ngozi hatuna mda navyo ni uwekezaji kwenye elimu na utafiti.
Na tena masuala ya madini na mafuta gharam zake zake siyo mchezo .

Hapo unazungumzia fedha zaidi ya miradi ya SGR na STIGLER mkuu.kwaa maana tutahitaji
-Mining dedicated Universities
-Dedicated Laboratories
-Research facilities
-Exploration equipments
-10 to 20 years za kupata hao wasomi wa kutosha.

Sasa dah,sioni tukifanya such Investment...
 
Sheria ya mikataba kupitiwa bungeni ilitungwa kipindi cha mwendazake huko nyuma mikataba ilikuwa ni siri na ngumu kujua nini kiliendelea
Ule wa dharura wa gas ya mtwara uliopitishwa bungeni ilikua awamu ya nne,Kama nimekosea nitoe wenge mzee
 
Muu
Unaleta masimulizi badala ya kuleta kinachotakiwa kufanyika.Hopelee kabisa.Masimulizi hayabadili gas kuwa pesa Kwa Nchi.
Mkuu nasoma sana Threads zako ,tena Luna huwa unatoa Nondo kweli kweli.
Ila shida yako moja, mtu akileta maono tofauti na yako huwa mwepesi wa kutoa kebehi na lugha ya dhihaka.

Hapo huyo mjamaa katoa maono yake na kuweka hoja zake,
Pinga lake nawe weka hoja zako na namna nzuri kutatua jambo husika.
Kila mtu ana uchungu na hii nchi.
 
Sawa dada angu nimekuelewa
 
Mkuu naomba rejea kwenye ukurasa wa kwanza wa mjadala huu. Nimeeleza kwa kina aina za gesi tulizonazo Tanzania. Nahakika utapata mwanga zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…