safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,194
Hakuna Kiongozi wa Chama chochote, wa Taasisi yoyote aliyepeleka barua polisi kuwajulisha kuwa wataandamana,kuruhusu jambo ambalo haliko official utakuwa ni uwendawazimu mno.
Taarifa za mitandaoni haziwezi kuwa official, kama kuna viongozi fulani walikataa wito wa polisi kwa kudai hawajaitwa official basi na polisi wanayo haki ya kukataza maandamano hayo kwa kigezo kile kile kwamba hawajawasilisha maombi yao official.
Kama mtu atakuja na stori za habil naomba aweke ishahidi wa barua hizo kwa sababu barua hizo sio siri.
Watu wanaojielewa hawawezi kufsnyia kazi taarifa za mitandaoni wakafi taarifa hizo munaweza kuziwasilisha official kwa ushahidi.