safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,194
- Thread starter
- #41
AllencyNaam mkuu
Walifanyia kazi katika muktadhwa wa kuyazuia, na wala hawakjyafanyia kazi katika muktadhwa wa kuyaruhusu.
Kuyaruhusu maana yake yangekuwa official.
Kuyakstaza maana yake yalikuwa sio official(kinyume na sheria).
Kuyafanyia kazi katika muktadhwa wa kuyaruhusu na kuyalinda ndio watu wengi walitaka iwe hivyo wakati hayakupelekwa official kwenye jeshi la polisi.