safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,194
- Thread starter
- #21
Naam mkuuUnasema watu wanaojielewa, Hawawezi kufanyia kazi taarifa za mitandaoni ambazo sio official?
Walifanyia kazi katika muktadhwa wa kuyazuia, na wala hawakjyafanyia kazi katika muktadhwa wa kuyaruhusu.Sasa mbona Polisi walizifanyia kazi, kwa kuziandikia Katazo official, Kudeploy Polisi na JWTZ , kupiga Curfew in major Cities na Kuwalipa watu Posho?
Kuyaruhusu maana yake yangekuwa official.
Kuyakstaza maana yake yalikuwa sio official(kinyume na sheria).
Kuyafanyia kazi katika muktadhwa wa kuyaruhusu na kuyalinda ndio watu wengi walitaka iwe hivyo wakati hayakupelekwa official kwenye jeshi la polisi.