Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
[emoji1]Mimi naona uislamu ni dini ya mapambano yani wao kutwaa kupambana kufanya comparison mara sijui makanisa yamebomolew imejengwa misikiti, mara sijui nani amesilimu..wakati msikiti ukigeuzwa kanisa hio kwa wakristo sio habari....
Bora hata hiyo, je ile kufuru tangu kuumbwa kwa dunia haikuwahi kutokea, kwa yule Mwarabu kunya kwenye mdomo wa Ke wa kinaijeria?Kuna watu
Kuna watu wana pakuana vinyesi kama waarabu
Hii ni taarifa njema sana since wazungu wanashabikia ushoga heri miwachukue wawe waumini wa dini pekee ya mnyaaaziUislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani.... utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)
Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa
Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.
Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa waislamu)
Kama unahisi upo Hai Sababu ya Bahati sawa endelea hivyo hivyo.Fumbo la Maisha ya Binadamu: JICHO LA MUNGU
https://youtu.be/pSHVbLPWA28?si=A8eovqRdbZqxvM3u ====================== Kuwa hai ni bahati kubwa sana, lakini kuwa kiumbe chenye akili kuliko viumbe vyote duniani ni bahati mara 10,000 zaidi! (Hongera!) Hivyo mpaka hapo wewe ni unique kwa kiwango ambacho ubongo wako hauna uwezo wa kung'amua...www.jamiiforums.com
Nasikia nchi fulani hivi uarabuni kuna jamaa na familia ametokewa na Yesu na kumpa kifungu kinachopatikana kwenye bible.Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani.... utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)
Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa
Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.
Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa waislamu)
Zina ongeza umaskini hasa hawa Wanatudanganya tu mungu atulinde na atupe maarifaHizo dini zinatusaidia Nini kututoa kwenye umasikini
Meaning?Upande huu wazungu wamesha fanikisha adhma yao, sasa wanahamia upande wa pili. Mlengwa ni Afrika
Ni kwanini wazungu na waarabu walihubiri dini zao (uislam na ukristo) kwa watumwa waliowateka na kuwasafirisha kwa majahazi kwenda kutumikishwa kwenye mashamba, ila bado kila ijumaa na Jumapili mwenye watumwa huita mchungaji au sheikh waje shambani kuwahubiria neno la Mungu?Kama unahisi upo Hai Sababu ya Bahati sawa endelea hivyo hivyo.
Hao wanaosilimu ama kuwa na dini wame realize Lengo Lao la kuwa hapa Duniani ni kumuabudu Mungu, na maisha ya Dunia ni mapito tu, Maisha halisi yataanza Tukitoka hapa Duniani.
Ndio Maana unaona wanaancha lifestyle zao na Kumrudia Muumba wao.
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani.... utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)
Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa
Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.
Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa waislamu)
Bora wewe umeiona kweliHapa ndio tunapokwama wakristo Yesu anakuwaje Mungu?,mm dhehebu langu ni Roman Catholic ila kuna mambo huwa sikubaliani nayo,kwa mfano kwenye kitabu cha Mwanzo tunaambiwa kabisa Mungu hajazaa wala kuzaliwa alikuwepo tokea enzi,hapo hapo tena tunaambiwa Yesu ni Mungu,inakuingia akilini kweli