London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

Mimi naona uislamu ni dini ya mapambano yani wao kutwaa kupambana kufanya comparison mara sijui makanisa yamebomolew imejengwa misikiti, mara sijui nani amesilimu..wakati msikiti ukigeuzwa kanisa hio kwa wakristo sio habari....
[emoji1]
 
Kuna watu

Kuna watu wana pakuana vinyesi kama waarabu
Bora hata hiyo, je ile kufuru tangu kuumbwa kwa dunia haikuwahi kutokea, kwa yule Mwarabu kunya kwenye mdomo wa Ke wa kinaijeria?

Hao watu wana masikio lakini hawasikii, na wana macho lakini hawaoni, wana akili lakini hazidadavui ukweli.
 
Mimi nipo huku
JamiiForums29315118.jpg
 
Kwa wenye imani wanaelewa kipindi kama hiki ni wakati gani, (asomaye na afahamu) aliye kondeni hataweza kurudi kuchukua kitu nyumbani.

So haya mambo siyo ya kushangaza hata kidogo unaweza kusoma Biblia Mathew chapter yote ya 24:1-
 
hao wamefuata nyama ya nguruwe huko ulaya wakaile kwa amani
 
Kwa akili za wazungu walivyo haishangazi.
Jamaa wanapenda sana kujaribujaribu,ukiwaona wanasilimu wala usishangae,hemu tizama namna wanavyogegedwa na wamasai kiwepesi,
Hawa watasilimu leo then kesho wanaendelea na maisha yao.
Yani mzungu aache kusaka noti akashinde msikitini anaswali swala tano ?
 
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani.... utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)

Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa

Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.

Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa waislamu)

Hii ni taarifa njema sana since wazungu wanashabikia ushoga heri miwachukue wawe waumini wa dini pekee ya mnyaaazi
 
Kama unahisi upo Hai Sababu ya Bahati sawa endelea hivyo hivyo.

Hao wanaosilimu ama kuwa na dini wame realize Lengo Lao la kuwa hapa Duniani ni kumuabudu Mungu, na maisha ya Dunia ni mapito tu, Maisha halisi yataanza Tukitoka hapa Duniani.

Ndio Maana unaona wanaancha lifestyle zao na Kumrudia Muumba wao.
 
Nasikia nchi fulani hivi uarabuni kuna jamaa na familia ametokewa na Yesu na kumpa kifungu kinachopatikana kwenye bible.
 
Kama unahisi upo Hai Sababu ya Bahati sawa endelea hivyo hivyo.

Hao wanaosilimu ama kuwa na dini wame realize Lengo Lao la kuwa hapa Duniani ni kumuabudu Mungu, na maisha ya Dunia ni mapito tu, Maisha halisi yataanza Tukitoka hapa Duniani.

Ndio Maana unaona wanaancha lifestyle zao na Kumrudia Muumba wao.
Ni kwanini wazungu na waarabu walihubiri dini zao (uislam na ukristo) kwa watumwa waliowateka na kuwasafirisha kwa majahazi kwenda kutumikishwa kwenye mashamba, ila bado kila ijumaa na Jumapili mwenye watumwa huita mchungaji au sheikh waje shambani kuwahubiria neno la Mungu?

Na wakawa wanabase sana kwenye mahubiri ya ngamia kupenya tundu la sindano, kwamba kuna furaha mbinguni baada ya mateso yao, kwamba heshimu mamlaka (mmliki wako) nk.?
 
Hizi porojo ukisha agiza
Unga nusu
Dagaa wa 7
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani.... utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)

Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa

Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.

Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa waislamu)

Hapa ndio tunapokwama wakristo Yesu anakuwaje Mungu?,mm dhehebu langu ni Roman Catholic ila kuna mambo huwa sikubaliani nayo,kwa mfano kwenye kitabu cha Mwanzo tunaambiwa kabisa Mungu hajazaa wala kuzaliwa alikuwepo tokea enzi,hapo hapo tena tunaambiwa Yesu ni Mungu,inakuingia akilini kweli
Bora wewe umeiona kweli
 
Back
Top Bottom