London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

Ukiona mzungu anakubari jambo kirahisi ujue ana faida nalo hawa hawa wazee wa upinde.
 
Zungumzia dini zilizohubiri mafundisho hayo kwa watumwa
 
Kuna mwanasayansi alienda huko angani kwenye utafiti alivyorudi akasema amesikia nyimbo kama ile wanayoimba waislam misikitini kumbe ni adhana bwana aliyosikia yeye walimficha ficha ili asiongee hadharani maana atawashtua waliolala nyie endeleeni kubisha ila ni swala la muda tu ukweli utajulikana.
 
Kitabu kimetoka kwa mungu ila kina matolea kibao kama vitabu vya nyambari nyangwine wakati mwenyewe aliyekitoa hayupo duniani ila kila kukicha kinafanyiwa edition mara agano la kale mara agano jipya mara nabii shillah hawashtuki wapo tu na sadaka wanatoa mihela mingi mwenzao anahonga tu kweli akili ni nywele nimeamini 🙄.
 
Zungumzia dini zilizohubiri mafundisho hayo kwa watumwa
Mafundisho gani? Na kama unataka kuhusu Ukristo mtafute Mkristo akuelezee ila Uisilamu haujahubiri utumwa kwenye Mashamba.

Infact waisilamu wa mwanzo ni watumwa ambao Mtume na maswahaba wengine walitumia Fedha zao kuwanunua na kuwaachia huru. Sheria zote za kiisilamu zina Encourage kuachia watumwa Huru.

Pia definition kabisa ya Uisilamu ni kuwa Submitted to Allah, unapokuwa Muisilamu unakubali Unamtii Mungu tu na Huogopi kiumbe Chochote Duniani.

Ndio maana leo Hii waisilamu ni watu wagumu sana kuwa Controll, most of Time brainwash inadunda.

Tafuta hizo Historia za Watumwa wa Kiisilamu uone Masheikh walivyokuwa wakiwaunganisha Watumwa na Ku rebel against Slave Masters.
 
Muhammad alisisitiza kwamba wakienda Jihad, wahakikishe wanaua wanaume wote, na watakaobaki wachukuliwe watumwa, pamoja na wake zao na watoto zao.
 
Ni hatari sana kwa waislamu kutawala Ulaya mambo yatakuwa kama Arabia.
 





 
Muhammad alisisitiza kwamba wakienda Jihad, wahakikishe wanaua wanaume wote, na watakaobaki wachukuliwe watumwa, pamoja na wake zao na watoto zao.
Wakienda Jihad wapi? Unajua Mtume kapigana Vita vingapi? Na situation gani ilikuwepo?

Hao unaosema wewe ni prisoners of wars na Wengi baada ya Kukamatwa walikuja kuachiwa Free Ama kwa Ransom. Same Thing inakuwa practiced mpaka Leo.

Majority ya Vita Alivyopigana Mtume yeye ndio alikuwa akijilinda, Alivyoondoka Mecca na kwenda Madina mara kwa mara alivamiwa, Kuanzia Vita vya Badr, Uhud, Khandak na Vyenginevyo alipigana kama Defensive Measures Na Hakuwa akivamia na Kuua wanaume na Kuchukua watumwa wanawake Na Watoto kama unavyosema.

Nenda Kasome Vizuri source zako.
 
Furahia tu ila hamjui lengo la mzungu. Wata edit mafunzo ya kiislam watoto na wajukuu watakuta takataka ambazo hata hazikuwahi kufunzwa.

Utashangaa watataka maimamu wa kike. Watasema wanawake nao waweze kuolewa na mume zaidi ya m'moja. Watabadili maana za vifungu mbali mbali.

Wazungu sio watu wa kujenga nao mazoea hata kidogo maana huwa hawapendi jamii za watu wengine ziwe huru na tamaduni zao.

Unaona wanavyotuharibia tamaduni zetu za kiafrika kwa sasa?!

So usisheherekee usilolijua.
 
Then what happened?
 
Wanaokoka ni wakristo wenzenu kwa asilimia kubwa na waisilamu kidogo sana wenye tamaa ya maisha ya Dunia. Uisilamu haumuhubiri mtu sijui kuwa na maisha mazuri,nyumba au gari.Uisilamu unahubiri pepo
Rudia Tena. Yaaani uislamnunahubili shetani au
 
Watayafunga soon msianze kulia lia
 
Acha uongo na propaganda, Mzungu gani anahamia uislamu. Sema wahamiaji wengi wanaotokea nchi za kiislamu ndio wanaoongeza idadi ya waislamu Ulaya.
 
Uislamu wenyewe ulianzishwa na hao hao wazungu kupitia majesuit wa kikatoliki kwa interest ya kuwini kambi ya masharti, hio hoja yako haiwezi pata mashiko. Hao wazungu wapo calculated miaka 300 mbele, yote wayafanyayo Wana maana yao.
 
Ndugu mwandishi unajipa moyo sana😂😂🤣🤣labda wadanganye wavijijini wenzako eti makanisa 500 yamekuwa misikiti ??!!ulaya ipi hiyo??!! Acha mihemuko hiyo na ndoto zako za mchana mzungu sio muarabu 🤣🤣🤣
 
Nisalimie sr.elton john
 
Rudia Tena. Yaaani uislamnunahubili shetani au
Yaani hutakuja kuta mafundisho ya Uisilamu yanahubiri kwa kusema utafanikiwa kibiashara,sijui utapata pesa,au utaolewa,hapana mafundisho ya Uisilamu huubiri fanya toba,swali kwa mwenyezi Mungu wako ili kesho ujiweke sehemu nzuri peponi.

Kwa namna nyingine Uisilamu umeikinai dunia na kuichukulia ni kama sehemu ya kupita tu,maana ukiwekeza sana na mambo ya dunia utamsahau mwenyezi Mungu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…