London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

Uislamu wenyewe ulianzishwa na hao hao wazungu kupitia majesuit wa kikatoliki kwa interest ya kuwini kambi ya masharti, hio hoja yako haiwezi pata mashiko. Hao wazungu wapo calculated miaka 300 mbele, yote wayafanyayo Wana maana yao.
👇👇👇
Upo sahihi niiliisoma mahali flani 👇👇

VATICAN NA CHIMBUKO LA UISLAMU.

NOTE:Kwanza kabisa kwenye Qur'an kuna kisanga kimoja hivi kwamba, et mtume Muhammad alikua akipokea Qur'an kutoka kwa malaika Jibril au Gabriel ambaye nae alipokea kwa Mungu, alipokea na kutokewa maelekezo hayo akiwa kwenye Pango.

🤙Sasa ukweli mchungu ni huu kwamba, muhammad alikua akikaririshwa aya wakiwa wamejificha ndo huko pangoni, mtu huyo anae mwita Jibril au malaika Gabriel ni mtawa mwaminifu wa kanisa katoliki ambaye anaitwa Waraquah, ambaye yeye na Khadijah walikua Mabinamu. Huyu ndiye Jibril ambae alikua ana mkaririsha muhammad aya za kutungwa na Roman empire yaani Papa na cabinet yake walipotaka kuichukua Yerusalem. Alafu anaejifanya Allaj ni Papa maana yeye ndio alitoa maagiza mambo yatengenezwe na huyo Binamu yake Hadijah ndo alikua anamfundisha muhammad wakiwa sirini na kumkaririsha Qur'an, ambapo muhammad anamwita Jibril yaani malaika gabriel kupoteza Boya yaani kucheza na akili za watu kwa malengo ya kiutawala na Mind control yaani utumwa wa Fikra. Sikia na kaa katika utulivu nikuonyeshe Thamani ukiroho Wa Afrika na nguvu ya maandiko ya Wa Afrika. Miungu yao yote hayo majina ni ugigisaji wa Miungu na maandiko ya Misri ya kale Kemet. Walichukua ujuzi wetu wenyewe na kuubadili kidogo kucheza na Akili za watu. Kaa katika utulivu dawa ipenye vizuri.

Sikia, mnae muita Muhammad hata sio Muhammad, yaani wakatoliki walimuandaa tu mtu toka mda mrefu wakimfundisha cha kufanya mtu huyo alikua anaitwa "Abu al-Qaism Ahmad Ibn Abd Allah Mustafa Ala-min Ibn Abd al-Mutalib ibn Hashim" Huyu jamaa nimetaja majina yake kibao ili kuwaonyesha chimbuko lake na babu zake hakuitwa Muhammad kwa kifupu tumuite Abuu, sasa wakatoliki wakachukua Jina la mungu wa misri wa mto nile "MU- HAP- MEHT" Wakabadili kuwa "MU- HA -MED" Kisha wakampachika ABUU. Tunaenda sawa?. Unaona kilicho fanyika? Yaani Qur"an na Uislamu ni kituko cha hali ya Juu. Zile sala wanazo sali ni YOGA za kufungua Kundalini zilizofanywa na Wamisri wa kale wao wakazibadili kua Sala na ile mitindo ya kukaa na ishara za vidole na yote yanayo fanyika kwenye Sala ni Mafunzo ya kisufi ya kufungua kundali, isipo kua walialibu walipo muingiza Mungu Bandia/Fake.

Kwahiyo Muhammad ni mtu wa kutengenezwa kama Yesu ..yaani jina lake hasa ni Abuu kama nilivyo taja vizuri hapo juu, Tunaelewana?

Sasa sikia neno lenyewe "Salaat" lina maanisha "Burning Fire" yaani moto unao ungua. Hii inaendana na maana ya Kundalini ya "Serpentine Fire". Yaani moto wa nyoka. Neno la kiarabu " Salaat" linaundwa na maneno mawili "sa" na "Laat". Sa ni Maombi na Laat linatokana na neno Al-laat, mke wa Allah kwenye thiolojia ya kale ya kiarabu.

Nguvu ya Kundalini inachukuliwa kama udhihirisho wa nguvu ya Kike ya kiungu kama mke wa Ra ama mungu jua kwenye thiolojia ya misri. Yote ni nguvu ya kike inayotengeneza nguvu hai ya Kundalini na inalinganishwa na ufahamu na sasa unatujia kama mtindo wa maombi ya jua yanayoitwa " Sa-laat" "Al-laat" inahusiana na Venus na mungu mke wa misri wa sayari venus.

Hii ni sawa na kundalini kwenye chakra ya mzizi yaani Root chakra, ambayo ni chakra ya kwenye kitako cha uti wa mgongo. Chakra hiyo ya kwenye kitako au mlango wa fahamu ina kazi ya kuhifadhi nguvu ya Kundalini au nguvu ya kujamiana, (Sexual Ra) ambayo ni Libido kwa mujibu wa kanuni za saikolojia ya Sigmund Freud, maarufu kama Freudian psychoanalysis.

Elementi tano zinajipachika kwa siri kwenye salaat tano za jua yaani 'Five solar salaat' maombi ambayo waislamu wanayopaswa kufanya kila siku. Maombi hayo ama sala tano kwa hakika ni maombi ya kunyanyua nguvu ya Kundalini.

Maombi hayo matano ya waislamu ni Fajr, Dhur, 'Asr, Maghrib na 'Isha.

1. Fajr (Alfajiri) moto (Kunyanyua kwa nguvu/Nishati)

2.Dhur (Mchana) mbao (Kutanuka kwa nishati/nguvu ya kundalini)

3.'Asr (Mchana) metali (Kuimalika kwa nishati/Nguvu ya kundalini)

4.Maghrib (Machweo) maji (kuzama kwa nishati/Nguvu ya kundalini)

5/'Isha (Usiku) dunia/ardhi (nishati imara ya kundalini)

6.Nafl

7.Istikhaarah

Ingawaje kuna salaat 5 ni maombi matatu tu ama sala tatu tu zilizo idhinishwa kwenye Qur'an.

Soma mwenyewe huko Qur'an 24:58

Qur'an 2:238

Na mengineyo tutayaona huko

Ni mambo ya Kundalini Tupu waliyo kopi misri na kuyaharibu kwa kuingiza ya kwao wakachanganya kutengeneza Dini za kijini na kwa lengo kuu la Utawala na Mind Control.
 
Mjinga utamuona tu na ujinga wake,yaani wewe unajifunza Uisilamu kwa kupitia propaganda ya simulizi za kikristo,kwa stairi hiyo hutakuja kujua ukweli. Mbona ukweli kwenye Uisilamu uko wazi wala hauitaji nguvu nyingi,ebu mtafute huyu shehe Othamani Maalim halafu muombe mawaidha yake kwenye you tube au Tv yake utapata kila kitu cha kweli kuhusu Uisilamu
 
Uislamu ni ukatoliki.Uislamu ni tawi ukatoliki,wao ndio walioandika QURAN thus QURAN inafanana na Biblia.
 
KWA BWANA YESU KILA GOTI LITAPIGWA, NA KILA ULIMI UTAKIRI KUWA YESU NI BWANA!

Jesus is Savior
 
Mjinga utamuona tu na ujinga wake,yaani wewe unajifunza Uisilamu kwa kupitia propaganda ya simulizi za kikristo,kwa stairi hiyo hutakuja kujua ukweli. Mbona ukweli kwenye Uisilamu uko wazi wala hauitaji nguvu nyingi,ebu mtafute huyu shehe Othamani Maalim halafu muombe mawaidha yake kwenye you tube au Tv yake utapata kila kitu cha kweli kuhusu Uisilamu
Sio propaganda chukua sikiliza chimbuko la uislamu kisha tafakari.Bi Khadija mke Mkubwa wa Mtume alipewa utajiri na majesuit wa kikatoliki yeye na mapadre wengine watano ndio waliouanzisha uislamu kwa kumtumia Mtume Muhammad wakiwa nyuma yake.
Kwa ushahidi uislamu ni ukatoliki. Uislamu ni tawi la ukatoliki kama ilivyo orthodox, lutheran, anglican, Coptic churches.

Mtu akishaanza kupost ishu za dini dini tu humu jf tayari anakua amepotoka.
Hutamkuta tena kwenye mada nyingine za kuchekecha ubongo zaidi ya hizi hizi za dini na blah blah za kubishana na kukashfiana mambo ya dini.

Yote kheri kikubwa uhai sky soldier .
 
Wenzenu wanapofunga makanisa msiwaone wajinga washajua ukweli kuwa habari za Mungu ni upimbi

Wajanja washa sanuka nyie mnakwama wapi ebu Shtukeni na nyie
Ndiyo wanafunga Makanisa na Kuhama Dini Wameona Habari za Mungu mwenye Nafsi Tatu tatu ni za Kizushi sana.Wamehamia Kwenye dini Ya Mungu Mmoja Ambaye Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Wala Hana Mshirika
 
Halafu huko unamkuta Issa bin Mariam na aya nzima ya sulat Mariam.

Kweli wazungu wamewaweza.
 
Kwa Hakika Quran Haijawahi Kudanganya,Huo Ni Utangulizi Na Bado Wataendelea Kuingia Katika Uislam

Quran 110;Surat Nasr
110:1Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
110:2Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi kwa Makundi,
110:3Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.

Hayo Ni Maneno Aliyoambiwa Mtume Muhammad Yakatimia uislam Ukaenea, Na Yatatimia Tena Zama za Mwisho Watu Wataingia katika Uislamu Makundi Kwa Makundi
 
Ndiyo wanafunga Makanisa na Kuhama Dini Wameona Habari za Mungu mwenye Nafsi Tatu tatu ni za Kizushi sana.Wamehamia Kwenye dini Ya Mungu Mmoja Ambaye Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Wala Hana Mshirika
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu tasa asiyezaa kuwa yupo?
 
Wakienda Jihad wapi? Unajua Mtume kapigana Vita vingapi? Na situation gani ilikuwepo?

Hao unaosema wewe ni prisoners of wars na Wengi baada ya Kukamatwa walikuja kuachiwa Free Ama kwa Ransom. Same Thing inakuwa practiced mpaka Leo.

Majority ya Vita Alivyopigana Mtume yeye ndio alikuwa akijilinda, Alivyoondoka Mecca na kwenda Madina mara kwa mara alivamiwa, Kuanzia Vita vya Badr, Uhud, Khandak na Vyenginevyo alipigana kama Defensive Measures Na Hakuwa akivamia na Kuua wanaume na Kuchukua watumwa wanawake Na Watoto kama unavyosema.

Nenda Kasome Vizuri source zako.
Mtume alieneza dini yake kwa upanga, sio kwamba alikuwa anajilinda. Tukiachana nae; Mapapa wa Vatican walikuwa wana miliki watumwa openly kabisa..., hao ni wakuu wa dini ya wakatoliki
 
Mh kwa nnavowajua wazungu wataipindua pindua waimodernize walete na mengineyo.
 
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani, utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)

Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa.

Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.

Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na Ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa Waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa Waislamu)

Yesu Kristo bado anakupenda wewe mwanampotefu
 
Back
Top Bottom