"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Nyie mtadumu kwasababu kila mtu kashahangaika huko sasa mmeamua kutulia pamoja
 
😁😁 babu umetumwa eeee haha
Hahahaha............pole Mkuu, hata sisi tumewahi kupitia hiyo hali tena miaka yetu hata simu za kupigiana mara Kwa mara hazikwepo lakini tuliweza kuvuka

Muhimu hata ukiletewa mtoto ambaye unadhani hujashiriki kumtafuta kubali kuwa ni wako maana Siku zote "Kitanda hakizai haramu" πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Mimi ni miaka miwili, ila ndiyo namuacha kila siku na tunarudiana πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Long distance relationship si ya kila mtu. Ila kwa uwezo wake Mungu, tutafika tunakokwenda.
Kumbe na wewe tajiri mapenzi yanakuchanganya kidogo😁? Vp iyo miaka miwili ni bila mizagamuano kabisa?
 
Waambue vijana waoe/kuolewa,waaachane na vijambazi vya mapenzi vitawaua.
 
Mzee wangu hakuwahi kukaa na mama alikua anaweka mimba na kusepa ila watoto wote ni wake , zaman watu walijua kuvumiliana na walikua na upendo wa kweli.
Hiyo kama ulivyosema ilikuwa zamani

Hata sasa wachache bado wanaendelea, Mwanamke anaweza kuwa anachepuka huku akitumia uzazi wa Mpango.

Mwenyenyumba akifika tu anamtegeshea kitu kinasomaπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…