Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kawaida ya bluetooth na Wi-fi inaconnect device iliyo karibu.Habari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.
Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tuu awe kati kutoboa ni kazi.
Hivi huwa ni nini lakini?🤣🤣🤣Hivi kwanini mapenzi hayakosagi drama?
Umechagua njia sahihi MkuuLong distance yangu kwanza huwa sipigi simu usiku, sipigi kama sio mda wake wa kuwa kazini, sipigi kama sijapigiwa. Unaweza piga likapokea jamaa ukafa na presha. Ila najua hanichiti maana kila nikienda huwa nakuta pop sound ipo.
Mi namuachaga kibabe baada ya siku mbili tunarudiana tena naona na yeye kaugonjwa kakuniacha kamemuanza 😅😅😅Nafikiri drama ndiyo yanafanya yanoge na kuwa hai. Yaani ni drama acha. Uzuri cha kwanza ni rafiki yangu. Tukigombana kimapenzi, tunabaki kuongea kama marafiki, mara tumerudi kuwa wapenzi 😂😂😂😂😂
Upendo upo ,uhusiano upo ila kwa mwanaume kuchepuka hakuondoi hata kimoja kati ya hivyo , labda kwenu.Sasa uhusiano ukiwa Hai alafu Upendo hakuna Ina faida gani
🤣🤣🤣🤣Hivi huwa ni nini lakini?🤣🤣🤣
Maana mimi naweza kuleta Drama hadi najiambia hapana... nimeenda mbali
🤣🤣🤣🤣tunakuwaga na wazimu wanawake, ila Inasemekana mapenzi bila drama ujue kuna maigizo hampendani,Hivi huwa ni nini lakini?🤣🤣🤣
Maana mimi naweza kuleta Drama hadi najiambia hapana... nimeenda mbali
Shauri yako, wenzio wanaishi nae kiroho safi 🤣🤣🤣Safi sana mkuu, umenipa moyo kumbe kila kitu kinawezekana.
Ni muhimu kuwa positive 😝Long distance yangu kwanza huwa sipigi simu usiku, sipigi kama sio mda wake wa kuwa kazini, sipigi kama sijapigiwa. Unaweza piga likapokea jamaa ukafa na presha. Ila najua hanichiti maana kila nikienda huwa nakuta pop sound ipo.
We mzee si umefukuzwa lakini!!Tatizo la Vijana wa Siku hizi wamekuwa wabishi sana
Kuna Vijana eti vinapigishana video calls na wapenzi wao hadi wanashusha Wazungu
Binafsi nimeshindwa na sioni kama nitaweza kufika Kwa njia hiyo
Kabisa...🤣🤣🤣🤣tunakuwaga na wazimu wanawake, ila Inasemekana mapenzi bila drama ujue kuna maigizo hampendani,
😁😁😁 ni ngumu kumeza babu , ila itabidi iwe hivyo kwa dunia ya sasa ya kuchakarikia fursa mkiwekeana vichwa tu mtakula mawe.Hahaha...........bora achekupe na Wazee, akichepuka na Vijana unadhani kuna chochote utaambulia Mkuu?
Vijana wenyewe hawa ambao hawajawahi kucheza ule mchezo wa Zamani "Kula mbakishie Baba"
Drama za Ma first born hazinaga muamuzi..🤣🤣🤣🤣
Nikajua ni last born tu ndio tuna drama🙆🙆🙆
Ukiona unaacha kwa makelele mengi ujue bado mmo, kuachana ile serious huwa ni kimya hainaga viapo wala niniKabisa...
Mimi hadi huwa najiapiza niache...
Ila vinashindikana🤣
[emoji23]Ilidumu mpaka aliponiambia nimtumie suti kwa ajili ya kaka yake kuolea na mimi nikatuma kuja kugundua ilikuwa ni suti ya bwana harusi anaemuoa yeye kuvaa siku ya ndoa.
Inasikitisha na kufurahisha.Hatari 😅😅
Kwa wenye imani ndio watakuelewa mkuu.Dah pole inauma sana, ila likuepukalo lina heri angekuoa huenda msingedumu au angekupiga matukio makubwa zaidi ya hapo