Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kawaida ya bluetooth na Wi-fi inaconnect device iliyo karibu.Habari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.
Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tuu awe kati kutoboa ni kazi.
Ishi kwa machale tu na jiandae kisaikolojia mapema ukitupwa uwe ulishajiandaa.