"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Habari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.

Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tuu awe kati kutoboa ni kazi.
Kawaida ya bluetooth na Wi-fi inaconnect device iliyo karibu.

Ishi kwa machale tu na jiandae kisaikolojia mapema ukitupwa uwe ulishajiandaa.
 
Long distance yangu kwanza huwa sipigi simu usiku, sipigi kama sio mda wake wa kuwa kazini, sipigi kama sijapigiwa. Unaweza piga likapokea jamaa ukafa na presha. Ila najua hanichiti maana kila nikienda huwa nakuta pop sound ipo.
Umechagua njia sahihi Mkuu

Ni kama miaka ya zamani Baba kabla hajarudi nyumbani unawapa watoto hata Koti tu walipeleke nyumbani.

Ili kama kulikuwa na wizi wowote ulifanyika basi mwizi wako ajiandae kukimbia 😅
 
Nafikiri drama ndiyo yanafanya yanoge na kuwa hai. Yaani ni drama acha. Uzuri cha kwanza ni rafiki yangu. Tukigombana kimapenzi, tunabaki kuongea kama marafiki, mara tumerudi kuwa wapenzi 😂😂😂😂😂
Mi namuachaga kibabe baada ya siku mbili tunarudiana tena naona na yeye kaugonjwa kakuniacha kamemuanza 😅😅😅
 
Long distance yangu kwanza huwa sipigi simu usiku, sipigi kama sio mda wake wa kuwa kazini, sipigi kama sijapigiwa. Unaweza piga likapokea jamaa ukafa na presha. Ila najua hanichiti maana kila nikienda huwa nakuta pop sound ipo.
Ni muhimu kuwa positive 😝
 
Tatizo la Vijana wa Siku hizi wamekuwa wabishi sana

Kuna Vijana eti vinapigishana video calls na wapenzi wao hadi wanashusha Wazungu

Binafsi nimeshindwa na sioni kama nitaweza kufika Kwa njia hiyo
We mzee si umefukuzwa lakini!!
 
Hahaha...........bora achekupe na Wazee, akichepuka na Vijana unadhani kuna chochote utaambulia Mkuu?

Vijana wenyewe hawa ambao hawajawahi kucheza ule mchezo wa Zamani "Kula mbakishie Baba"
😁😁😁 ni ngumu kumeza babu , ila itabidi iwe hivyo kwa dunia ya sasa ya kuchakarikia fursa mkiwekeana vichwa tu mtakula mawe.
 
Back
Top Bottom