"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Watu wanagonga 7 hata 10 yrs wanawake ni rahisi kuitawala ashki ya ngono, ila nyie makarunguyeye sasa!!!

Faida ya hiyo kanamna kanarudi na usafi wa kimwili na roho

Hasara, akili inakuwa inaruka kwa vipindi, ngozi inafubaa sana hasa usoni
Huo usafi wa mwili na roho niliupata kabla ya balehe, baada ya hapo ni kuupa mwili kadri unavyotaka🤣🤣🤣.

Binafsi naona kuna hasara nyingi kukaa mbali na mtu wako kuliko faida.

Sisi wakristo tunaamini hata Adam alipomwacha Hawa peke yake ndipo Nyoka akapata chance ya kufanya yake.
 
Ingekuwa ya karibu hayana vurugu ningekubaliana na wewe kabisa lakini ndo kwanza full kero za kila namna,
 
Mwanza --- Arusha

Siku 3 tu mahusiano kufa!

Screenshot_20240820-171008.jpg
 
Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tuu awe kati kutoboa ni kazi.
Wahuni wanajifaidia tu akiulizwa Bwana yuko wapi anachofanya anawasogeza Makaburini yule pale ajali ya Fuso ilitokea pale Njombe zikagongana USO kwa uso alifia pale pale Masikini anaanza kuliaa wee Wahuni wanabembeleza kituo kinachofuata Muunganiko Lodge, Restaurant , Bar & Lounge kinachukuliwa Chumba cha Daktari mtu anaenda kufanyiwa upasuaji
 
Back
Top Bottom