"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Ngumu sana hiyo,mi nilipigaga simu akapokea house girl,akaniuliza nani naongea nae,nikamjibu rafiki yake mwenye simu,akaniuliza nani jina,nikamdanganyq JOHNSON,ilhali mi siitwi hilo jina,nikamuuliza mwenye simu yuko wapi,nikajibiwa yupo kazini,nikamuuliza tena,anarudi saa ngapi,nikajibiwa saa tisa na nusu,nikamuuliza tena yule binti,na mumewe anarudi saa ngapi,dada akanijibu muda huohuo,wanarudigi wote,daah distant relationship ni ngumu.
Kwa hiyo intavyuu,nilijua yafuatayo:-
1.Sikua nimeseviwa kwenye ile simu,nilikua naseviwa jina la mahaba,nikitoa taarifa kua NAKUJA,kesho ntaanza safari.
2.Alikua akiishi na mwanaume mwingine,nikitoa taarifa kua naenda,yule mwanaume haji pale.
3.Nilikua napigwa mizinga,kumbe kuna dume nalitunza pale nyumbani.
USIMUAMINI MTU.
 
😂😂😂😂😂
 
Kikubwa malengo ya pamoja,na kila mmoja kumwona mwenza ni kama yeye.hususani kwa ke.
Sisi kupiga show time ni vyepesi na mambo yakabaki vilevile ila sio kwao.
By the the way mm hua mwaka unakata na hakuna shida.
Akishawajua wanaume jinsi tulivyo basi hahangaiki nao.Kikubwa akuamini TU.
 
Watu wanagonga 7 hata 10 yrs wanawake ni rahisi kuitawala ashki ya ngono, ila nyie makarunguyeye sasa!!!

Faida ya hiyo kanamna kanarudi na usafi wa kimwili na roho

Hasara, akili inakuwa inaruka kwa vipindi, ngozi inafubaa sana hasa usoni

Hakuna tuzo ya kutunza genye. Zagamua safely, naye huko anazagamua. Maisha ndo haya haya.
 
Back
Top Bottom