"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Long distance relationship ni sawa nakupewa kazi yakulinda bahari ya Hindi watu wasiogelee! Unalinda Mbezi beach wenzako Bagamoyo wanaogelea 😂😂
 
Mkuu acha tuu, ukiwa financially stable haina shida sasa hapa bado najitafuta, ninavyoandika hapa yupo arusha kwao katoka dar last week lengo lake anifate mwanza kunisalimia nikiangalia bado mambo hayajakaa sawa akija atachoma mtaji yani nawaza acha kabis. Nimem'miss sana na ninatamani aje ila ndio hivyo, ashaanza kulalamika hapa anadai nishapata mtu mwingine.
It is well.......
 
Back
Top Bottom