"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Ninakuvumilia coz yatapita
Ukumbuke ww kwangu ni diesel, Ferrari Siwezi tembea bila wewe,

uombapo dua zako , nikumbuke na mimi kipenz changu,

Usishangae nipo kimya, najua hadi jina unalishangaa,

Mti wenye matunda nilipondwa mawe,
Lakini sikukusaliti mpenzi...

I love 💕 you, you are my require
 
Back
Top Bottom