Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
- Thread starter
-
- #41
Comrade! Hatufanyi mambo kwa kuhisi, hapa tunatumia mlango wa fahamu wa kuona na kuchambua na sio kuhisi. Ukifanya mambo kwa kuhisi utapotea na utajeuka kihoja!Kati yako wewe uliyeona youtube na hao walinzi unahisi nani anajua hali ya kiusalama ilivyo huko ndani ?
Kabisa,sema watu humu wameshakunywa maji ya bendera!Bora hata wew umeongea mkuu. Kama angekuwa ni just raia wa kawaida asingeweza kukaa kwa ukaribu hivo. Maana yake alishakuwa cleared kuwa hiyo sehemu na hakukuwa na ulazima wa security kuanza kupeleka tena mamikono kwa mzee. Siamini kama huyo mzee alijipeleka kusimama hapo. Security hajawaza kwa upana hapo, amefanya action ya kukurupuka. Tlaatlaah
Hata kama angekua anamjua kisingebadirika kitu, why? Kwa sababu snachoongea waziri mkuu na makamu wa raisi hatujui ni maongezi gani!Huyo mlinzi inawezekana hata hamjui Mzee Paul Kimiti ni nani.
huyo ni raia wa kawaida tu gentleman, ndio maana mlinzi hakumruhusu ainterfere au kuchangamana na viongozi wa nchi walio kwenye mazungumzo. Raia anaruhusiwaje kujumuika kwenye mazunguzo ya wenye mamlaka ya kitaifa?Bora hata wew umeongea mkuu. Kama angekuwa ni just raia wa kawaida asingeweza kukaa kwa ukaribu hivo. Maana yake alishakuwa cleared kuwa hiyo sehemu na hakukuwa na ulazima wa security kuanza kupeleka tena mamikono kwa mzee. Siamini kama huyo mzee alijipeleka kusimama hapo. Security hajawaza kwa upana hapo, amefanya action ya kukurupuka. Tlaatlaah
Kupeleka mamikono ni mbinu ya kizamani. Inamaana hata security hajiamini. Kama mzee angesogea si angemuambua 'subiri kidogo wana maongezi' na mzee angesikia. Mtu unaweza kudhani labda ni roboti!Hata kama angekua anamjua kisingebadirika kitu, why? Kwa sababu snachoongea waziri mkuu na makamu wa raisi hatujui ni maongezi gani!
Kubali tu kwamba akili haikutumika. Kwani huyo jamaa hana mdomo? Sijaona kwenye video kwamba mzee alikuwa anatembea. Maana yake jamaa alijishtukia tu na papara akapeleka mkono. Angeweza tu kumuambia, 'mzee tulia wana maongezi,' na hiyo ingetosha kabisa kama angehisi mzee anataka kufanya movement. Sasa mzee anaenda miaka 90 unaanza papara kupeleka mikono. Haijakaa sawa. Wewe najua kawaida yako ni kubisha, endelea kubisha.huyo ni raia wa kawaida tu gentleman, ndio maana mlinzi hakumruhusu ainterfere au kuchangamana na viongozi wa nchi walio kwenye mazungumzo. Raia anaruhusiwaje kujumuika kwenye mazunguzo ya wenye mamlaka ya kitaifa?
haiwezekani kitu kama hicho gentleman, kwamba raia aruhusiwe kuskiliza makamu wa Rais akimuelekeza waziri mkuu wajibu fulani, inawezekana kweli hiyo gentleman?🐒
Sema mkuu umekimbilia kuhitimisha haraka.Comrade! Hatufanyi mambo kwa kuhisi, hapa tunatumia mlango wa fahamu wa kuona na kuchambua na sio kuhisi. Ukifanya mambo kwa kuhisi utapotea na utajeuka kihoja!
Maoni yangu ndio hayo!Au ulitaka nisiseme Kila ninachokiona dhidi ya hoja zako?Gentleman,
we mbona unapinga tu kila kitu na hakuna anaebabaishwa na kupinga kwako? hayo si ndio maoni yako huru ama? Huna haja ya kumkasirikia mwenye maoni tofauti na yako jukwaani na itapendeza zaidi.
tukubaliane kutofautiana bila mihemko, makasiriko wala chuki na itapendeza zaidi.
back to the motion,
hapo,
hapakua na haja na clearance kwasababu, eneo lote hilo lilikua scanned tayari na lilikua salama 100%, kilichozuiwa hapo ni kuingilia mazungumzo ya viongozi hao waandamizi wakuu wa kitaifa.
Mzee anajua protocol na ndio maana alipozuiwa akasimama na kutulia tuli, ili hatimae aruhusiwe kusalimia viongozi hao wa kitaifa baada ya kumaliza mazunguzo yao 🐒
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuza kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba mdomoni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa. View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC
Sawa, lakini jiulize huyo mzee alifikaje hapo karibu? kama wewe ni raia wa kawaida, embu jaribu siku moja kama utaweza kufika hilo eneo alilosimama huyo mzee kama utapenya. Maana yake hakufika hapo bure bure. Hiyo ndo hoja yangu imesimama hapo. Alifikaje hapo karibu kiasi cha kuwafanya watu wa security bado wawe hawapo comfortable naye?Sema mkuu umekimbilia kuhitimisha haraka.
Kwa uelewa wangu waziri mkuu alikuwa nje ya nchi na Ndejembi alikuwa Njombe kwahiyo hapo wamekutana kwenye tukio la Nyerere day.
Ukiiangalia hiyo picha kuanzia mbali kuna walinzi wamewazunguka na hiyo picha ni kama vile imepigwa wakati sjerehe imeisha watu wanaondoka ukiangalia vizuri VP ni kama vile anatoa maelekezo PM.
Hivyo basi si sawa kwa mwananchi au kiongozi wa chini kusikia mambo ya viongozi wakuu huo ni ujasusi.
Pia kuwasogelea hovyo hovyo si sawa hata kama wewe ni mkuu wa mkoa mstaafu uende tu kama vile unaenda kumuona mjomba au kaka
Gentleman,Kubali tu kwamba akili haikutumika. Kwani huyo jamaa hana mdomo? Sijaona kwenye video kwamba mzee alikuwa anatembea. Maana yake jamaa alijishtukia tu na papara akapeleka mkono. Angeweza tu kumuambia, 'mzee tulia wana maongezi,' na hiyo ingetosha kabisa kama angehisi mzee anataka kufanya movement. Sasa mzee anaenda miaka 90 unaanza papara kupeleka mikono. Haijakaa sawa. Wewe najua kawaida yako ni kubisha, endelea kubisha.
Nineo gelea habari ya protocol post #15.Hata kama angekua anamjua kisingebadirika kitu, why? Kwa sababu snachoongea waziri mkuu na makamu wa raisi hatujui ni maongezi gani!
Focus kwenye maendeleo ya nchi na wananchi wake sio maendeleo ya hao vibaka wa mali za umaBaki na mawazo hayo, wakati wengine wakiendelea kujipatia maendeleo
Huko ni kujificha kwenye kichaka! Tangu lini watu wakawa na vikao vya aina hiyo? Kama ni kikao hicho, kama ulivyosema, basi hii nchi ina safari ndefu sana, kama viongozi wanakuwa na vikao vya kisela namna hiyo.Hicho ni kikao kikubwa hatakiwi kuwaingilia
HERI YA LAWAMA KULIKO FEDHEHA! ... ANAFANYA KAZI KWA UTARATIBU ALIOPANGIWA!Kuna watu wanafanya kazi kama maroboti.
Walinzi na wana usalama wa Bongo ndivyo walivyo. Wao wanajua kusukuma na kuamrisha tu.Lakini kama kuna utaratibu wa ulinzi si ufuatwe sawa kwa wote tu?
Huyu comrade Tlaatlaah ni Prof. wa kubadilisha goli la hoja! Kuwa naye makini. Huko juu alikuwa anatembea na hoja ya protocal; kaona kashindwa hoja, anahamia kwenye hoja kwamba kulikuwa na mazungumzo ya siri! Hii ni maajabu!Maoni yangu ndio hayo!Au ulitaka nisiseme Kila ninachokiona dhidi ya hoja zako?
Nikirudi kwenye jibu lako,sio suala la security tena bali kuingilia maongezi!Maana huko juu,ukatembea na code ya usalama!Ni vizuri kama umetambua kutokana na Michango ya wadau kwamba ingekuwa ni uzembe kama mtu anafika umbali huo Halafu hakustahili kuwa hapo!
Mimi naamini Kuna njia Bora zaidi ingeweza kutumika na sio hiyo!Angeweza kutumia hata kauli kuwa asubiri na isionekane kwa hadhira kuwa anamzuia kwa mkono!
Hata kimaadili haijakaa sawa,mtu mzima kama huyo unamzuia kwa kumuwekea mkono eneo kama hilo!Mzee kaingiliwa personal space yake!
Bado naamini kulikuwa na namna Bora zaidi Kuliko hivyo!